×

Habari

Kortini Wakituhumiwa Kuendesha Biashara ya Madawa

WATU wanne wamepandisha kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo kosa la kuendesha...

READ MORE

EU Yalaani Kunyongwa kwa Bondia Navid

UMOJA wa Ulaya (EU) umeungana na jamii ya kimataifa kulaani mauaji ya kikatili dhidi ya mwanamasumbwi wa Iran, Navid Afkari....

READ MORE

Magufuli Asimulia Bashiru Alivyouza Ndizi

MGOMBA rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Magufuli, amesema kuwa alizunguka nchi nzima kutafuta mtu ambaye anafaa kuwa Katibu...

READ MORE

Ibrah Ashukuru Harmonize Kwa Zawadi ya Gari -(Picha +Video)

Msanii anayetumikia Lebo ya Konde Gang iliyo chini ya mwanamuziki Harmonize, Ibraah, leo ametinga ndani ya +255 Global Radio na...

READ MORE

Mtanzania Akamatwa na Dawa za Kulevya China

Polisi wa Macau China wamemkamata Mtanzania waliemtaja kwa jina moja tu la Dossa mwenye umri wa miaka 39 kwa tuhuma...

READ MORE

Akiba Commercial Yazindua Huduma Ya Malipo Ya Serikali

Benki ya Akiba Commercial leo imezindua huduma ya malipo ya serikali ambapo sasa wateja wa benki hiyo wataweza kufanya malipo...

READ MORE

Kijana wa Miaka 32 kwa Tuhuma za Mauaji

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Bariki Kajuni mwenye miaka 32 ambaye ni mkazi wa Makambako, Mkoa wa Njombe...

READ MORE

Huawei Yatoa Mafunzo ya 5G kwa Watumishi wa Umma

Watumishi 24 na wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (MWTC), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kampuni ya Mawasiliano...

READ MORE

Nantambalele Foundation Yatoa Taulo za Kike Kwa Wanafunzi

Jumla ya watoto 150 wa Shule ya Msingi Nzasa iliyopo mkoani Pwani wamepewa taulo za kike (Pedi) kutoka katika shirika...

READ MORE

Zimamoto Yatoa Tamko Shule Kuteketea Nchini

JESHI la Zimamoto na Uokoaji nchini limewataka wamiliki wa shule nchini kuhakikisha wanafunga vifaa maalumu vya awali vya kuzimia moto...

READ MORE

Tanzania Yaruhusu Ndege za Kenya Kutua Nchini

Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), imeruhusu ndege kutoka Kenya kuanza kutua nchini ikiwa ni baada...

READ MORE

STAMICO Yanunua Mitambo Ya Kisasa Zaidi Kuwahi Kutokea Nchini

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limenunua mitambo mitatu ya uchorongaji yenye teknolojia ya kisasa zaidi kuwahi kutumika hapa nchini....

READ MORE

Mtwara: Baba, Mtoto Wafariki Ajalini

WATU watano wakiwemo baba na mtoto, wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyohusisha mabasi mawili ya...

READ MORE

Watanzania Kuingia Kenya Bila Kuwekwa Karantini

SERIKALI ya Kenya imetoa orodha ya nchi 147 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye...

READ MORE

Anaswa na Kichwa cha Mtoto Mbele ya Bunge

POLISI nchini Uganda wametibitisha kuwa kichwa cha mtoto kilichokatwa, kilichopatikana katika kikapu cha mwanamme aliyekamatwa kwenye lango la bunge nchini...

READ MORE

JPM Aagiza Mkuu Shule Iliyoteketea Kagera Aachiwe

SELEMAN ABDUL, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais Dkt. John Pombe...

READ MORE

Membe: Wapinzani Tumekumbwa na Ukata

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema mazingira magumu ya siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na...

READ MORE

Tanzia: Kamanda Shana Afariki Dunia

ALIYEKUWA Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano, Septemba 16,...

READ MORE

Video: Dkt Magufuli Akiwa Katika Mkutano Wa Kampeni Mkoani Kagera

 MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, ameendelea na mikutano yake ya kampeni...

READ MORE

Trump Aapa Kulipiza ‘Mara 1,000’ Shambulio la Iran

  RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameapa kwamba shambulio lolote litakalofanywa na Iran litajibiwa mara 1,000 kwa ukubwa, baada ya...

READ MORE

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yatoa zawadi za Kompyuta kwa wanafunzi walioshinda baada ya kuandika Insha kuhusu mazingira kwenye maadhimisho ya siku ya tabaka la Ozone

Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom  Tanzania Foundation , Sandra Oswald akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya uhifadhi...

READ MORE

Alichokisema Mkurugenzi wa NEC kwa Wanahabari

Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa Kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa...

READ MORE

Nchi 15 Kutuma Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2020...

READ MORE

Huawei Yatoa Mafunzo Ya Teknolojia ya 5G Kwa Watumishi Wa Umma.

Watumishi 24 na wahandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (MWTC), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kampuni ya Mawasiliano...

READ MORE

TAMNOA Washiriki Warsha Kujadili Mbinu Za Kudhibiti Utapeli Kwa Simu

Katika warsha hiyo iliyoandaliwa na GSMA, kupitia mtandao au webinar, wawakilishi kutoka makampuni ya simu waliweza kuchangia mada mbalimbali. Kutoka...

READ MORE

Tundu Lissu Amlilia ‘Mr White’ ”Alikuwa Mtu Mwema”

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu  leo Septemba 15, 2020 ametoa pole...

READ MORE

Kortini Wakituhumiwa Kuhujumu Uchumi, KutakatishaFedha

WATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka matano ikiwemo kosa la uhujumu uchumi na...

READ MORE

Infinix Zero 8; 64+48 Kamera Yazinduliwa Tanzania

Mara baada ya tetesi za muda mrefu juu ya ujio wa Infinix ZERO 8, hatimaye kampuni ya simu ya Infinix...

READ MORE

Samia Afanya Kampeni Jimboni Madaba, Ruvuma

    (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

READ MORE

EU Kuipa Tanzania Bilioni 70 Kupambana na COVID19

Umoja wa Ulaya (EU) umesema uko tayari kutoa Euro 27 milioni (TZS 70 bilioni) kwa serikali ya Tanzania kwa lengo...

READ MORE

Wamiliki wa Pool Table Waagizwa Kuzisajili

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.   GBT...

READ MORE

Magufuli Aahidi Kujenga Uchumi Unaojitegemea

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  John Magufuli, amesema dhamira yake ni kuijenga nchi katika uchumi wa kujitegemea, kwa...

READ MORE

Mgombea Urais Kufuta Kodi Majengo, NIDA, Pasipoti Bure

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza...

READ MORE

Magufuli: Dkt. Bashiru Alikuwa Muuza Ndizi Kemondo – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli,  amesema kuwa mkoa wa Kagera...

READ MORE

JPM: Muleba Mna Mabishano Yenu Yanawapa Shida – Video

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amewaonya wananchi wa Muleba Kusini...

READ MORE

Katibu Mkuu Wizara ya Madini Aipongeza STAMICO Akifungua Kikao cha 6

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Simon Msanjila, leo amelipongeza Shirika la Madini la Taifa ‘STAMICO’ kwa...

READ MORE

Wasafi Watoa Tamko Kufuatia Tuhuma za Kutumia Nguvu za Giza!

KWA muda mrefu sasa, kumekuwa na madai mazito kwamba, mwanamuziki mkubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na wenzake walio...

READ MORE

IGP Sirro: Damu ya Mtanzania Haiendi Hovyo

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, amesema kuwa licha ya kwamba chanzo cha moto ulioteketeza bweni la...

READ MORE

Mgombea Ubunge Zanzibar, Turky Afariki Dunia

  ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia alikuwa anatetea kiti...

READ MORE