×

Habari

Tume ya Uchaguzi Yabadili Majina ya Majimbo Matatu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebadilisha kwa majina ya majimbo ambapo Jimbo la Chilonwa litaitwa Chamwino, Mtera linaitwa Mvumi...

READ MORE

Siri Misikiti, Shule za Kiislamu Kuungua Moto

MFULULIZO wa matukio ya ajali za moto katika misikiti na shule mbalimbali za Kiislamu jijini Dar es Salaam, yamewatikisa viongozi...

READ MORE

Juliana Lumumba: Ubelgiji Irejeshe Meno, Mifupa ya Baba

JULIANA LUMUMBA, mtoto wa aliyekuwa waziri kuu wa kwanza wa nchi ambayo leo inajulikana kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,...

READ MORE

Madagascar Hatarini Kuelemewa na Wagonjwa wa Corona

MAOFISA kutoka katika baadhi ya hospitali jijini Antananarivo, Madagascar,  wametahadharisha kuwa huenda maeneo ya kutoa huduma yakaelemewa na wagonjwa kutokana...

READ MORE

‘Uchokozi wa Kisiasa’ Marekani Yafunga Ubalozi wa China

SERIKALI ya Marekani imeitaka China kufunga ubalozi wake mdogo katika jiji la Texas katika Jimbo la Houston, kufikia Ijumaa —...

READ MORE

WHO Kufanya Utafiti Dawa Mitishamba za COVID-19

SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) na kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika (CDC) yameanzisha juhudi kuangalia uwezekano wa madawa...

READ MORE

Mahakama Yatenda Haki; Aliyeua Mke, Watoto Wawili

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga, Julai 13 mwaka huu, ilitenda haki kwa kumhukumu Yustine Robart (35) kunyongwa hadi kufa baada...

READ MORE

Liverpool Wakabidhiwa Kombe Lao, Man U Yapanda Tatu Bora

Liverpool Julai 22, 2020 wamepewa Kombe lao la Ubingwa wa EPL 2019/20 baada ya kumalizika mchezo dhidi ya Chelsea waliyowafunga...

READ MORE

Stella: Mwanamke Aliyeolewa na Ndugu Wawili wa Familia Moja

KATIKA hali ya kawaida ndoa inapovunjika, uhusiano kati ya mwanamke na mashemeji hukatika pia. Lakini kwa Stella Mutahi, kuvunjika kwa...

READ MORE

Wafahamu Popo Wanaoishi na Virusi vya Corona

WANASAYANSI wanasema wamechunguza vinasaba vya popo sita duniani. Maisha yao yanajumuisha kidokezo cha vinasaba vyao vinavyowafanya kuwa na kinga ya...

READ MORE

Wazee 15 wa ‘Nitumie kwa Namba Hii’ Wanaswa – Video

WAKAZI 15 wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Rais JPM Aagiza Mbuyu wa Mwl. Nyerere Kufanywa Makumbusho

Mti wa Mbuyu uliopo Chamwino, Dodoma ambao Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...

READ MORE

JPM: Takukuru Mnanivuruga, Mnajenga Gereza? – Video

RAIS  John Magufuli ameeleza kutoridhishwa kwake na gharama zilizotumika katika ujenzi wa Jengo la ofisi za Ofisi Tume ya Kuzuia...

READ MORE

JPM: Takukuru Msijipendekeze Chato – Video

RAIS John Magufuli ameelezwa kukerwa na kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kuomba fedha kiasi...

READ MORE

Makamu wa Rais Mgeni Rasmi CRDB Bank Marathon

Dar es Salaam, Julai 21, 2020 – Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amemshukuru Makamu wa Rais, Mama...

READ MORE

Magufuli: Wanasiasa Msichokoze Vyombo vya Dola

RAIS John  Magufuli amevitaka vyama vyote vya siasa kufanya kampeni za staha na kuheshimu sheria za nchi, sheria na taratibu...

READ MORE

JPM Atangaza Siku ya Uchaguzi Kuwa Siku ya Mapunziko – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kuwa tarehe 28, Oktoba, 2020 ambayo itakuwa...

READ MORE

Ole Sendeka Aongoza Kura za Maoni CCM Jimbo la Simanjiro

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro...

READ MORE

Lowasa Aongoza Kura za Maoni Jimbo la Monduli

Fredy Lowasa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa, Julai 21, 2020 ameibuka mshindi wa kura za maoni...

READ MORE

Kura Za Maoni-Sengerema: William Ngeleja Ashika Namba 2

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo Sengerema katika Bunge lililopita, William Ngeleja ameshika nafasi ya pili akiwa na kura 120 katika kura...

READ MORE

Kura Za Maoni-Bunda Mjini: Maboto Aongoza, Wasira Ashika Nafasi ya Pili

Robert Maboto ameibuka kidedea kwa kupata kura 140 huku Mzee Stephen Wassira akiwa nafasi ya pili kwa kura 115. Namba...

READ MORE

Hamis Taletale Ameongoza Morogoro Kusini-Mashariki

Hamis Taletale maarufu kama Babu Tale ameongoza katika kura za maoni kwa kupata kura 318 Nafasi ya pili katika kura...

READ MORE

Kura Za Maoni-Tarime Vijijini: Mwita Waitara Ameongoza

Naibu wa Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara ameibuka kidedea kwa kupata kura 291. Alikuwa Mbunge wa Ukonga Bunge lililopita James...

READ MORE

Jela Maisha kwa Kubaka Mwanafunzi wa Miaka 5

MAHAKAMA ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu mkazi wa Katubuka Manispaa ya Kigoma/Ujiji, Jeremia Kilahunja (49), kifungo cha maisha jela kwa...

READ MORE

Mwijaku: Wajumbe CCM Msifanye Kama Kigamboni

MTIA nia wa ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kawe, ambaye pia ni msanii na mtangazaji...

READ MORE

Gwajima, Mashinji, Mwijaku Washindwa Kawe

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dkt. Vincent Mashinji,  ameshindwa kura za maoni za Chama Cha...

READ MORE

Mwijage Atoboa Kura za Maoni Muleba Kaskazini

Aliyewahi kuwa waziri wa Viwanda nchini na Mbunge wa Muleba Kaskazini mkoani Kagera, Dkt. Charles Mwijage (CCM) ameibuka kidedea katika...

READ MORE

Zair Atumia Watoto Kumvuta Mondi Geto!

ZARINAH Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ni mwanamama mrembo. Ni mfanyabiashara mwenye makazi yake pale Durban, Afrika Kusini. Zari ni...

READ MORE

NEC Yatangaza Tarehe ya Uchaguzi Mkuu

#BreakingNews: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kama ifuatavyo: Uteuzi wa...

READ MORE

Kauli ya Makonda Baada ya Kura za Maoni Kigamboni

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewashukuru wale wote waliompa pole nyingi baada ya matokeo ya...

READ MORE

Hasunga Kidedea CCM Vwawa, Songwe

WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga, ameibuka kidedea baada ya kutangazwa mshindi wa kura za maoni wakati wa Mkutano Mkuu wa...

READ MORE

Huduma za Simu Zinavyoisaidia Tanzania Kukuza Uchumi Wake

Takwimu za uchumi za hivi karibuni zinaonesha kuwa kuna kila sababu ya kuwa na matumaini na hali ya uchumi wa...

READ MORE

Mnyeti Kidedea Misungwi, Amshinda Kitwanga

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ameibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha...

READ MORE

Shilingi 100 Yatosha Kukupa Mamilioni na Parimatch Casino

Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya maboresho yake katika tovuti yao ya kubashiri, imeamua kuwapa...

READ MORE

Prof. Ndalichako Aibuka Kidedea Kasulu Mjini

Prof Joyce Ndalichako ameshinda katika kura za maoni ndani ya CCM kuwania Ubunge wa Kasulu Mjini kwa kupata kura 405,...

READ MORE

Abbas Mtemvu Aongoza Kura za Maoni Temeke

Abbas Mtemvu ameongoza kwa kura 203 katika Jimbo la Temeke akifuatiwa na Doris Kilave kura 182 huku watatu akipata kura...

READ MORE

Shigongo, Tizeba Wafungana Kura za Maoni Buchosa

WATIA nia wawili katika Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric James Shigongo na aliyekuwa mbunge wa Jimbo...

READ MORE

Bashe Aibuka Kidedea Kura za maoni Nzega Mjini

Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewashinda watia nia wenzake 12 wa Ubunge jimbo la Nzega Mjini kwa kura 367...

READ MORE

Magufuli: Kura za Maoni CCM Zihesabiwe Hadharani – Video

RAIS John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameagiza wasimamizi wa uchaguzi ndani ya chama hicho...

READ MORE