×

Habari

Vodacom Τanzania Open Golf Championship 2025 Mguu Sawa

 Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Chama cha mchezo wa Gofu Tanzania (TGU), kimewakutanisha jumla ya wachezaji 150...

READ MORE

Diamond Afuta Ujumbe wa Kuoa Mke wa Pili, Mashabiki Washangaa

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, ameibua maswali mapya...

READ MORE

Vigogo CHADEMA Waburuzwa Mahakamani, Wamo John Heche na Mnyika

Dar es Salaam – Katika hatua isiyotarajiwa, aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, pamoja na wenzake...

READ MORE

Kevin Mbogo wa CCM Afariki Dunia Baada ya Ajali ya Gari Dar

Aliyekuwa mmiliki wa Home Grand Hotels, TCCIA Region Treasurer, na mfadhili wa CCM Wazazi, Kevin Williams Mbogo, amefariki dunia kwa...

READ MORE

Diddy Ahukumiwa Miaka 4 Jela kwa Kesi ya Usafirishaji wa Wanawake

Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean ‘Diddy’ Combs amehukumiwa kwenda jela miezi 50 (sawa na miaka 4...

READ MORE

Rais Dkt.Mwinyi amteua Prof.Abdi Talib Abdalla kuwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Prof.Abdi Talib Abdalla kuwa Naibu Makamu...

READ MORE

Dkt. Samia: Tunaboresha Usafiri wa Anga Kuongeza Fursa za Utalii Arusha – Video

Wakazi wa Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, leo Ijumaa Oktoba 3, 2025 wamejitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea wa...

READ MORE

Vodacom Yawainua Wanawake Na Vijana Kupitia Mpira Wa Kikapu 

Mkurugenzi wa Tehama wa Vodacom Tanzania Plc, Bw. Athumani Mlinga, akimkabidhi Amini Juma, mchezaji wa Dar City Basketball, hundi ya...

READ MORE

Ajali ya Moto Kibaha: Watoto Watatu Wafariki Dunia

Watoto watatu wamefariki dunia baada ya nyumba ya ghorofa moja kuteketea kwa moto katika Mtaa wa Kitende, Kwa Mfipa, Wilaya...

READ MORE

Dkt. Samia Aahidi Kuimarisha Utalii na Michezo Arusha

Arusha, Oktoba 2, 2025 – Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Makonda: Dkt. Samia Amebarikiwa na Mungu, Atapata Miaka Mitano Tena

Arusha, Oktoba 2, 2025 – Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Paul Makonda, amemwagia sifa Mgombea Urais wa...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aendelea na Kampeni za CCM Mtwara Vijijini, Awanadi Wagombea Ubunge na Madiwani

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi Oktoba 02, 2025 anaendelea...

READ MORE

Rais Samia awezesha mageuzi Makubwa Ocean Road

  …..Madaktari wake waenda Comoro kutoa tiba …..Wamo pia wa JKCI, MOI, Muhimbili na Benjamin Mkapa MADAKTARI bingwa wa Taasisi...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Ndani ya Jimbo la Nanyamba, Mtwara

Picha za matukio mbalimbali ya Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel  John Nchimbi...

READ MORE

Stanbic Yazindua  Wiki Ya Huduma Kwa Wateja  Kwa  Kauli  Mbiu “Mission Possible”

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Wateja Maalum wa Benki ya Stanbic, Omari Mtiga akizungumza na baadhi ya wafanyakazi...

READ MORE

Rais Samia Avunja Bodi Ya DART na UDART, Ateua Wenyeviti Wapya

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja bodi za Wakala na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka na kuteua wenyeviti wapya bodi. Kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Akagua Huduma za Mabasi ya Mwendokasi Kivukoni – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mabasi mapya 60 ya Mwendokasi kutoka kampuni ya Mofat yataongezwa katika barabara ya Kivukoni-Kimara na...

READ MORE

Benki Ya Absa Tanzania Kuendelea Kuwawezesha Wajasiriamali Wengi Zaidi Nchini

  Meneja Huduma za Jamii na Matukio wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (kulia), akizungumza na baadhi ya...

READ MORE

Serikali Yapinga Ripoti ya Human Rights Watch, Yaitaja Kujaa Upotoshaji

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza kusikitishwa na ripoti iliyotolewa na Shirika la Kimataifa la Human Rights Watch...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Awasili Mtwara Kuendelea Kusaka Kura za Kishindo za Dkt. Samia

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Alhamisi Oktoba 2,2025 amewasili...

READ MORE

Rais Samia Awatumbua Mabosi DART na UDART, Wapya Wateuliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wapya kuongoza taasisi zinazohusika na...

READ MORE

TANESCO Yatoa Tahadhari Kwa Wateja Kuhusu Changamoto ya Malipo ya Umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeeleza kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme (LUKU) hali inayosababisha Wateja wake kushindwa kununua...

READ MORE

Kanisa Katoliki Lavunja Ukimya – Askofu Ruwa’ichi Asema “Hatuna Ugomvi Na Serikali” – Video

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amesema Kanisa Katoliki halilumbani wala kushindana...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Awahimiza Wafanyabiashara wa Machinga Complex Kumpigia Kura Dkt. Samia

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia na kuzungumza na Wananchi wa Ilala-Machinga...

READ MORE

Shangwe za Wananchi Zatikisa Mkutano wa CCM Usa River (Picha +Video)

Shamra shamra na hamasa kubwa zilitawala jana Oktoba 1, 2025 – katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa...

READ MORE

Nmb PLC Yaorodheshwa Moja ya Benki 40 Bora Afrika

-Ni Benki # 1 Tanzania; Ndani ya 5 Bora Afrika MasharikiBenki ya NMB Plc imeorodheshwa miongoni mwa Benki 40 Bora...

READ MORE

JKCI, HTAF waanzisha shindano la insha shuleni kuhusu magonjwa ya moyo

TAASISI ya Moyo ya Jakata Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Heart Team Africa (HTAF), wameanzisha shindano la insha shuleni ikiwa...

READ MORE

Shamra Shamra za CCM Zatikisa Boma Ng’ombe, Wananchi Wajaa Uwanjani

Wananchi wa Boma Ng’ombe, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi...

READ MORE

SBL Yaimarisha Ushirikiano Wa Kibiashara Wa Nafaka Kupitia EAGC

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeungana na Baraza la Nafaka Afrika Mashariki (EAGC) kuendeleza mpango wake wa Shamba ni...

READ MORE

Dkt.Nchimbi Awanadi Wabunge wa Mkoa wa Dar

Picha za matukio mbalimbali za Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel  John Nchimbi...

READ MORE

Dar Es Salaam: Mkuu Wa Mkoa Chalamila Ahaidi Kuondoa Shida Ya Mwendokasi Kimara

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Oktoba 1, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha...

READ MORE

Mashindano Mujarab, Ushindi Mkubwa Na Vodacom Tanzania Open 2025

Washindi wa Vodacom Tanzania Open 2025 wakiwa katika picha ya pamoja jijini Arusha, wakiwemo Njoroge Kibugu (Kenya) kwa upande wa...

READ MORE

ALAF Yazindua Mpango wa Siku Mbili wa Elimu ya Afya kwa Wafanyakazi

Kampuni ya ALAF Limited, inayoongoza katika suluhisho mbalimbali za ujenzi, leo imezindua mpango wa siku mbili wa kuwaelimisha wafanyakazi kuhusu...

READ MORE

Mwanamke Adaiwa Kumuua Mtoto, Polisi Waanza Msako Mkali

Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamtafuta Christina Kishiwa, mwenye umri wa kati ya miaka 30 hadi 40, kwa tuhuma za...

READ MORE

Video: Aliyekuwa Rais wa DRC Joseph Kabila Ahukumiwa Kifo kwa Uasi

Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Septemba 30, 2025, imemhukumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Joseph...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Kampuni ya Network Yashirikiana na Flydubai Kuzindua Malipo ya Simu kwa Wateja

Wasafiri wa ndege nchini Tanzania sasa wanaweza kufurahia urahisi wa kulipia tiketi zao kupitia simu za mkononi, kufuatia makubaliano kati...

READ MORE

Majaliwa Mgeni Rasmi Mkutano Wa Wadau Wa Lishe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Septemba 30, 2025 ni mgeni rasmi katika mkutano wa kumi na moja wa wadau wa...

READ MORE

Mfumo wa Kidijitali Kukusanya Taarifa za Matukio ya Wanyamapori Wakali na Waharibifu

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekuja na mkakati wa kupata taarifa sahihi na kwa haraka kupitia Mfumo wa...

READ MORE

Mkurugenzi wa FBI Awataka Watu Kutoombeleza Kifo cha Mama Mlezi wa Tupac

Mkurugenzi wa FBI, Kash Patel, ametoa kauli tata akiwataka watu kutoombeleza kifo cha Assata Shakur, mama mlezi wa Tupac Assata...

READ MORE