Browsing Category
Mahaba
Changamoto Za Kuchanganya Mapenzi Na Kazi
NI wiki nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu kwenye ukurasa huu, mada tunayoendelea nayo ni ile tuliyoianza wiki iliyopita, ya namna ya kukabiliana na changamoto za kuchanganya mapenzi na kazi.
Jambo la msingi unalopaswa…
Mambo ya Kufanya Ikitokea Mpenzi Wako Kachepuka!
MPENZI msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa, tena kusalitiwa kunakouma zaidi ni pale unapobaini mpenzi wako kampa penzi mtu unayemjua halafu ukijilinganisha wewe na huyo aliyepewa…
Mambo Matano Yanayoumiza Wengi Katika Uhusiano
KUNA mambo mengi ambayo husababisha wenye uhusiano kuumia roho zao. Leo tuyayaeleza mambo hayo kama ifuatavyo:
KUFICHA MAMBO
Kuna jambo hata ukijaribu kulificha, ukweli wake utajulikana tu hususan kama utakuwa na…
Kama Haoni Umuhimu Wako, Muombee Aishi Miaka Mingi!
JUMATANO nyingine Mungu ametukutanisha. Kama ilivyo kawaida, hapa huwa tunajadili mambo mbalimbali yahusuyo masuala ya mahusiano. Ili uweze kuishi vizuri, binadamu unahitaji mahusiano mazuri na binadamu wenzako. Iwe ni rafiki wa…
Mbinu 5 za Kumbaini Mpenzi Mchepukaji
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa.
Siku zote anayesaliti huwa anajiona…
Ukiwa na Tabia Hizi, Mwanaume Lazima Akukimbie!
MUNGU ni mwema wapenzi wasomaji wa safu hii. Wikiendi nyingine tena tunakutana na kuweza kupeana darasa la uhusiano. Kujifunza ni muhimu, hakika ukifuatilia makala haya ya leo, utajifunza kitu. Twende pamoja!
Kupitia safu hii nimekuwa…
Mitandao Ya Kijamii Inaweza Kukupa Mume, Mke Mwema?
MITANDAO ya kijamii imerahisisha sana mambo. Wapo wanaoitumia vizuri na kuweza kufanikisha mambo mbalimbali ikiwemo biashara na fursa mbalimbali ikiwemo ajira na mambo mengine kadha wa kadha. Katika ulimwengu wa wapendanao, wapo pia…
Mbinu Mahususi za Kumpata Mke, Mume mwema!
NI Jumamosi nyingine Mungu ametujaalia pumzi ya kuendelea kuishi. Tunakutana kwenye eneo letu la kujidai, eneo la kupeana darasa la uhusiano. Tujifunze mambo mbalimbali ya uhusiano maana bila kujifunza wakati mwingine ni rahisi…
Faida, Hasara Za Wapendanao Kuambizana Ukweli!
UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili mambo yaende. Wanaitumia hiyo kama silaha wakidai kwamba wanawake ni watu ambao wakijua kila…
Madhara ya mke kuwa muongeaji kupitiliza Yapa Hapa
USHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasiri wa kuzungumza kwelikweli hata kama waliomzunguka wote ni wanaume. Akianza kuongea jambo lake…
Utamjuaje Mpenzi Ambaye Anakusaliti? Soma Hapa
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja, japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa. Siku zote anayesaliti huwa…
Mfanyie Haya Mpenzi Wako Penzi Lidumu
KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha nakudumisha penzi lako kwa umpendaye.…
Achana Na ‘Siwezi Kuishi Bila Yeye’, Kuna Maisha Bila Yeye!
HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri…
Makosa Yanayosababisha Wanawake Wasiolewe Yapo Hapa!
WAHENGA huwa wana misemo yao ile kwamba sijui kuolewa ni bahati, kuolewa ni tabia na mingine mingi tu. Leo nataka tujadili juu ya makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya na kujikuta wakishindwa kuolewa. Wanawake wengi wamekuwa…
Kauli Wanazopenda Wanaume Kuzisikia Kwa Wenza Wao, Zipo Hapa
HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano. Ukimfanyia yale anayoyapenda, sio kwamba atafurahi tu bali unamtengenezea…
Unaweza Kupata Mwenza Sahihi Mitandaoni?
DUNIA ya sasa mambo yamekuwa rahisi. Teknolojia imefanya vitu vingi ambavyo vilikuwa vinachukua mlolongo mrefu kutendeka kwa muda mfupi tu. Waswahili wanasema ni kama vile kumsukuma mlevi jinsi ambavyo mambo yamekuwa rahisi.
Kama…
Namna Ya Kuishi Na Mpenzi Mwenye Mawazo Hasi, Soma Hapa
MTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli za kuudhi na zisizo za kiungwana na muda wote anaamini kwamba yeye hakosei.
Mtu wa namna…
Jinsi Ya Kukwepa Kurubuniwa na Kumsaliti Mpenzi Wako.. Wanaume/Wanawake Soma Hapa
WAPO watu ambao wameoa au wana wapenzi walioahidiana kwa mambo mengi, lakini wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kuvutwa kimahaba na watu wengine. Hali hii huwatokea wawapo masomoni, kazini, kwenye biashara, mbali au pengine hata karibu na…
Mbinu za Kumfanya Aamini Kama Kweli Unampenda kwa Vitendo
NENO ‘nakupenda’ ni dogo lakini lina maana kubwa sana kwa anayelitamka na anayetamkiwa. Kwa bahati mbaya sana, siku hizi neno hilo limekuwa kama mzaha, kila mtu analitamka, wakati mwingine hata mahali pasipostahili na wakati mwingine…
Kwa nini wachumba wanakupiga kibuti kila mara? Soma Hapa
UHUSIANO wa kimapenzi kwa vijana wengi hukumbwa na changamoto nyingi. Zipo sababu kadhaa zinazosababisha hilo, lakini kubwa zaidi ni ugeni wa mambo ya mapenzi na kutokupata elimu sahihi juu ya maisha ya urafiki na uchumba kabla ya ndoa.…
Sababu ya Ndoa za Sasa Kuvunjika Mapema
NAMSHUKURU Mungu kwa kunilinda, kuniongoza na kunijalia pumzi bure ili nizungumze nawe kupitia safu nzuri ya maisha na uhusiano ya XXLove. Mpenzi msomaji wimbi la kuvunjika kwa ndoa nyingi za zama hizi ni kubwa mno, tena wanandoa…
Ukiona Dalili Hizi, Mwenzako Anamchepuko
KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika uhusiano wa wengi. Wengi wetu wameumizwa…
Vyakula Vya Kula Kwa Mgonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo
LEO tutaangazia vyakula vya kuepukwa na wagonjwa wa vidonda vya tumbo lakini pia tutaeleza vyakula vinavyofaa kuliwa na hao wenye matatizo hayo. Ili kupunguza makali au kujiepusha kabisa na ugonjwa huo wa vidonda vya tumbo (ulcers),…
Mbinu Sahihi za Kumaliza Stress za Mapenzi, Soma Hapa
SIKITIKO la mahaba lashinda msiba! Umewahi kusikia maneno hayo ya wahenga? Bora usimuliwe lakini usipitie kipindi cha sikitiko la mahaba. Hakuna kipindi ambacho unaweza kuhisi kama dunia imefika mwisho kama pale unapoumizwa na yule…
Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!
KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake.
Mapenzi humfanya mtu awe kipofu.…
Jinsi Ya Kuepuka Kupotezewa Muda Kwenye Mapenzi
RAHA ya uhusiano wa mapenzi ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana mapenzi ni chachu ya maendeleo. Ili uingie kwenye familia, inakupasa uingie katika muda sahihi na mtu…
Uvumilivu Una Kikomo, Hata Kama Ni Mzuri Vipi Bora Umuache!
KUNA huu msemo usemao, mvumilivu hula mbivu. Hakuna ambaye ni mgeni wa msemo huu, hukuna asiyejua elimu tunayoipata kutokana na msemo huu. Hakika siku zote mvumilivu mwishowe hula mbivu licha ya kwamba inatahadharishwa kuwa makini sana…
Mambo 7 ya Kufanya Mpenzi Wako Asikuache
KILA binadamu anao udhaifu wake hasa pale anapogundua sehemu na mahali gani muhimu penye upungufu kwake na akataka kuziba pungufu lile.
Katika mapenzi endapo mwanamme atamtambua alichokikosa mwanamke huko alipotoka na yeye akaweza…
Marafiki, Wanajenga, Wanabomoa Uhusiano, Jifunze!
DUNIANI tunaishi kwa kutegemeana. Kwenye maisha kila mtu anamhitaji mwenzake kwa namna moja au nyingine. Anahitaji msaada wa mawazo, ushauri na hata fedha hivyo mtu huwezi kuepuka marafiki. Marafiki ndio ambao wanaweza kukupa msaada…
Madhara Ya Kumchunga Mpenzi Wako Bila Sababu!
MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha wapenzi wao licha ya imani…
Utajuaje Kama Uliyenaye Ni Mtu Sahihi Kwako? Soma Hapa
UNAPOANZISHA uhusiano mpya, bila shaka unakuwa na matarajio makubwa ndani ya moyo wako kuhusu yale unayotarajia mwenzi wako atakufanyia au atakuonesha. Hata hivyo, mara nyingi watu wengi husukumwa zaidi na matarajio yao bila kuzingatia…
Silaha 5 za Mwanamke Kumteka Mwanaume Kimapenzi
KATIKA maisha ya mapenzi watu wanapaswa kuelewana na kusikilizana mno. Hii ndiyo silaha kubwa zaidi kuliko zote na rahisi zaidi ya kukaa pamoja kwa muda mrefu. Pia mkisikilizana itasaidia wawili mnaopenda kudumu kwenye ndoa u uhusiano wenu…
Mambo Wasiyopenda Wanaume Kwa Wanawake
KUPITIA safu hii nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa wanawake. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake.
Jamaa…
Unaumia Kusikia Uliyenaye Ameshatembea na Wengi? Soma Hapa
KWA neema yake Mungu, ni Jumatatu nyingine tunapokutana mimi na wewe kupitia ukurasa huu. Hapa marafiki zangu tunajadili na kujifunza kwa pamoja kuhusu elimu ya uhusiano. Ukiweka dhamira ya kujifunza naamini hutatoka hivihivi.
Kuna…
Wanawake wenye vyeo, Madaraka hawafai kuolewa?
Mwaka huu ulipanga kufanya nini na mwenzi wako? Nini ambacho hakijakamilika? Kwa sababu gani hamjakamilisha? Mkishajua wapi mmekwama, basi ni suala la msingi sana ili kuweza kufikia ndoto zenu ambazo mlizianza siku za nyuma.
Muhimu…
Madhara ya Wapenzi Kugombana na Kununiana Mara kwa Mara
MWISHONI mwa wiki iliyopita, nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi ambaye amekuwa akiufuatilia ukurasa huu na kujifunza mambo mbalimbali.
Alikuwa na shida iliyomfanya anitafute na alichonieleza,…
Maswali 10 Unayotakiwa Kumuuliza Mtu Unayetaka ‘Kudate’ Naye!
WIKI hii nitazungumzia maswali 10 ambayo unatakiwa kumuuliza mtu unayetaka kudate naye ili majibu yake yakupe mwanga wa kinachoweza kutokea ndani ya uhusiano wako.
UPO SINGLE AU NI MTALAKA?
Unapoanza uhusiano mpya na mtu, moja ya…
Kama Anakuliza Kila Siku, Unamng’ang’ania Wa Nini?, Soma Hapa
TUNAPOKUTANA kama hivi, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani wapo ambao muda huu wako kitandani wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali huku wengine wakiwa wameshatangulia mbele za haki.
Ndugu zangu, mapenzi yamekuwa yakiwaliza…
Mbinu za Kumfunga Breki Mwanaume Anayechepuka
HOFU kubwa anayoweza kuwa nayo mwanamke aliye katika ndoa au katika uhusiano wa kudumu, ni mumewe au mpenzi wake kumsaliti kwa kutoka na mwanamke mwingine!
Wengi hubaki na hofu kubwa ndani ya mioyo yao kwamba itakuwaje kama mume au…
Ukitaka Penzi Lako Lidumu, Fanaya Haya Tangu Mwanzo!
HAKUNA muda ambao hisia za mapenzi na msisimko huwa mkubwa kama kipindi ambacho ndiyo kwanza mnaanzana. Ukiwauliza watu wengi leo ambao wanateswa na mapenzi, wanatamani siku zirudi nyuma ili warudie kufaidi mapenzi kama ilivyokuwa siku…