
Browsing Category
Maisha
Mambo Wasiyopenda Wanaume Kwa Wanawake
KUPITIA safu hii nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa wanawake. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake.
Jamaa…
Fanya Hivi Kama Unaona Mpenzi Wako Hamuendani!
NI Jumatatu nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana elimu ya uhusiano. Ulimwengu huu ni mzuri kama utampata mtu sahihi. Mtu ambaye mnapendana kwa dhati na hakuna hata mmoja wenu ambaye anamsumbua au kumyanyasa mwenzake. Kizazi…
Hizi Hapa Mbinu Za Kukabiliana Na Maumivu Ya Mapenzi
KARIBU jamvini mdau. Ni Jumatatu nyingine tumekutana kupeana maujanja ya mapenzi na maisha kwa jumla. Unachopaswa kujua ni kwamba kila kitu kinastahili kulindwa na penzi lako linahitaji zaidi ya ulinzi. Hata kama unaona mambo ni…
Sababu Zinazowafanya Wanawake Wasiolewe Zipo Hapa
IJUMAA nyingine tunakutana kwenye kilinge chetu cha kupeana mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Ili uishi vizuri na mwenzi wako ni vizuri kujitathimini, kujisahihisha pale unapoona unakosea.
Hakuna sababu ya kujifanya…
Wanawake wenye vyeo, Madaraka hawafai kuolewa?
Mwaka huu ulipanga kufanya nini na mwenzi wako? Nini ambacho hakijakamilika? Kwa sababu gani hamjakamilisha? Mkishajua wapi mmekwama, basi ni suala la msingi sana ili kuweza kufikia ndoto zenu ambazo mlizianza siku za nyuma.
Muhimu…
Ukiingia Kwenye Ndoa na Mwenye Sifa Hizi, Huwezi Kujuta!
NI mwaka wa 2018, tunakutana tena kupitia ukurasa huu ambao nazungumzia mambo mbalimbali yanayogusa maisha yetu ya kila siku. Ni matumaini yangu kwamba u-mzima na unaendelea kupambania maisha yako.
Mpenzi msomaji wangu, kuna wakati…
Suluhisho Kwa Wapenzi Wanaogombana Kila Mara, Soma Hapa
SIKU hizi ugomvi kwenye mahusiano imekuwa kama ni jambo la kawaida. Watu wanagombana kwelikweli. Utakuta mtu haipiti mwezi mmoja bila kugombana na mpenzi wake. Anampenda, hayupo tayari kumpoteza lakini maisha yao kila siku ni ugomvi.…
Mambo Matano Yanayoumiza Wengi Katika Uhusiano
KUNA mambo mengi ambayo husababisha wenye uhusiano kuumia roho zao. Leo tuyayaeleza mambo hayo kama ifuatavyo:
KUFICHA MAMBO
Kuna jambo hata ukijaribu kulificha, ukweli wake utajulikana tu hususan kama utakuwa na…
Kama Haoni Umuhimu Wako, Muombee Aishi Miaka Mingi!
JUMATANO nyingine Mungu ametukutanisha. Kama ilivyo kawaida, hapa huwa tunajadili mambo mbalimbali yahusuyo masuala ya mahusiano. Ili uweze kuishi vizuri, binadamu unahitaji mahusiano mazuri na binadamu wenzako. Iwe ni rafiki wa…
Mbinu 5 za Kumbaini Mpenzi Mchepukaji
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa.
Siku zote anayesaliti huwa anajiona…
Mbinu Mahususi za Kumpata Mke, Mume mwema!
NI Jumamosi nyingine Mungu ametujaalia pumzi ya kuendelea kuishi. Tunakutana kwenye eneo letu la kujidai, eneo la kupeana darasa la uhusiano. Tujifunze mambo mbalimbali ya uhusiano maana bila kujifunza wakati mwingine ni rahisi…
Faida, Hasara Za Wapendanao Kuambizana Ukweli!
UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili mambo yaende. Wanaitumia hiyo kama silaha wakidai kwamba wanawake ni watu ambao wakijua kila…
Madhara ya mke kuwa muongeaji kupitiliza Yapa Hapa
USHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasiri wa kuzungumza kwelikweli hata kama waliomzunguka wote ni wanaume. Akianza kuongea jambo lake…
Utamjuaje Mpenzi Ambaye Anakusaliti? Soma Hapa
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja, japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa. Siku zote anayesaliti huwa…
Mfanyie Haya Mpenzi Wako Penzi Lidumu
KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha nakudumisha penzi lako kwa umpendaye.…
Achana Na ‘Siwezi Kuishi Bila Yeye’, Kuna Maisha Bila Yeye!
HAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia mia moja kwamba mpenzi wake aliye naye anampenda kwa dhati kabisa au anazuga. Hii inabaki kuwa siri…
Makosa Yanayosababisha Wanawake Wasiolewe Yapo Hapa!
WAHENGA huwa wana misemo yao ile kwamba sijui kuolewa ni bahati, kuolewa ni tabia na mingine mingi tu. Leo nataka tujadili juu ya makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya na kujikuta wakishindwa kuolewa. Wanawake wengi wamekuwa…
Kauli Wanazopenda Wanaume Kuzisikia Kwa Wenza Wao, Zipo Hapa
HAKUNA kitu kizuri kwenye uhusiano kama kujua mwenzako anapenda nini. Unapomjua mwenzako anachokipenda, itakusaidia katika suala zima la kudumisha uhusiano. Ukimfanyia yale anayoyapenda, sio kwamba atafurahi tu bali unamtengenezea…
Unaweza Kupata Mwenza Sahihi Mitandaoni?
DUNIA ya sasa mambo yamekuwa rahisi. Teknolojia imefanya vitu vingi ambavyo vilikuwa vinachukua mlolongo mrefu kutendeka kwa muda mfupi tu. Waswahili wanasema ni kama vile kumsukuma mlevi jinsi ambavyo mambo yamekuwa rahisi.
Kama…
Namna Ya Kuishi Na Mpenzi Mwenye Mawazo Hasi, Soma Hapa
MTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli za kuudhi na zisizo za kiungwana na muda wote anaamini kwamba yeye hakosei.
Mtu wa namna…
Kwa nini wachumba wanakupiga kibuti kila mara? Soma Hapa
UHUSIANO wa kimapenzi kwa vijana wengi hukumbwa na changamoto nyingi. Zipo sababu kadhaa zinazosababisha hilo, lakini kubwa zaidi ni ugeni wa mambo ya mapenzi na kutokupata elimu sahihi juu ya maisha ya urafiki na uchumba kabla ya ndoa.…
Ukiona Dalili Hizi, Mwenzako Anamchepuko
KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika uhusiano wa wengi. Wengi wetu wameumizwa…
Mbinu Sahihi za Kumaliza Stress za Mapenzi, Soma Hapa
SIKITIKO la mahaba lashinda msiba! Umewahi kusikia maneno hayo ya wahenga? Bora usimuliwe lakini usipitie kipindi cha sikitiko la mahaba. Hakuna kipindi ambacho unaweza kuhisi kama dunia imefika mwisho kama pale unapoumizwa na yule…
Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!
KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake.
Mapenzi humfanya mtu awe kipofu.…
Jinsi Ya Kuepuka Kupotezewa Muda Kwenye Mapenzi
RAHA ya uhusiano wa mapenzi ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana mapenzi ni chachu ya maendeleo. Ili uingie kwenye familia, inakupasa uingie katika muda sahihi na mtu…
Uvumilivu Una Kikomo, Hata Kama Ni Mzuri Vipi Bora Umuache!
KUNA huu msemo usemao, mvumilivu hula mbivu. Hakuna ambaye ni mgeni wa msemo huu, hukuna asiyejua elimu tunayoipata kutokana na msemo huu. Hakika siku zote mvumilivu mwishowe hula mbivu licha ya kwamba inatahadharishwa kuwa makini sana…
Marafiki, Wanajenga, Wanabomoa Uhusiano, Jifunze!
DUNIANI tunaishi kwa kutegemeana. Kwenye maisha kila mtu anamhitaji mwenzake kwa namna moja au nyingine. Anahitaji msaada wa mawazo, ushauri na hata fedha hivyo mtu huwezi kuepuka marafiki. Marafiki ndio ambao wanaweza kukupa msaada…
Madhara Ya Kumchunga Mpenzi Wako Bila Sababu!
MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha wapenzi wao licha ya imani…
Silaha 5 za Mwanamke Kumteka Mwanaume Kimapenzi
KATIKA maisha ya mapenzi watu wanapaswa kuelewana na kusikilizana mno. Hii ndiyo silaha kubwa zaidi kuliko zote na rahisi zaidi ya kukaa pamoja kwa muda mrefu. Pia mkisikilizana itasaidia wawili mnaopenda kudumu kwenye ndoa u uhusiano wenu…
Mambo 5 Unayotakiwa Kujua Kuhusiana Na Hedhi
NI vema kujua haya tutakayoyaainisha hapa leo. Inakadiriwa kuwa, mwanamke hupata hedhi wastani wa mara 400 katika maisha yake.
Pia, neno linalotumika sana kuwakilisha hedhi ni ‘period’, lilianza kutumika kwa mara ya kwanza kwenye…
Madhara ya Wapenzi Kugombana na Kununiana Mara kwa Mara
MWISHONI mwa wiki iliyopita, nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi ambaye amekuwa akiufuatilia ukurasa huu na kujifunza mambo mbalimbali.
Alikuwa na shida iliyomfanya anitafute na alichonieleza,…
Kama Anakuliza Kila Siku, Unamng’ang’ania Wa Nini?, Soma Hapa
TUNAPOKUTANA kama hivi, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani wapo ambao muda huu wako kitandani wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali huku wengine wakiwa wameshatangulia mbele za haki.
Ndugu zangu, mapenzi yamekuwa yakiwaliza…
Ukitaka Penzi Lako Lidumu, Fanaya Haya Tangu Mwanzo!
HAKUNA muda ambao hisia za mapenzi na msisimko huwa mkubwa kama kipindi ambacho ndiyo kwanza mnaanzana. Ukiwauliza watu wengi leo ambao wanateswa na mapenzi, wanatamani siku zirudi nyuma ili warudie kufaidi mapenzi kama ilivyokuwa siku…
Hata Kama Upo Naeye Kwenye Ndoa, Unapaswa Kumpa Uhuru Wake
HATA Jinsi tulivyoumbwa, kila mmoja anapenda sana kuwa na ule uhuru wake wa faragha au kwa Kingereza wanaita privacy. Huu ni muda ambao mtu anakuwa peke yake na kufanya mambo yake peke yake bila kuingiliwa na mtu yeyote. …
Kuna Maisha Baada Ya Kutendwa Soma Hapa Ujinasue!
MARA nyingi inapotokea umejeruhiwa penzini hususan kwa mtu ambaye ulikuwa na malengo naye ni vigumu sana kupenda tena.
Ni vigumu sana kumuamini tena mtu wa jinsia tofauti na yako. Wakati mwingine unaamini mtu wa jinsia ya tofauti na…
Hasira; Chanzo Kikubwa cha Kuvunjika Uhusiano!
LAITI kama kwenye dunia hii kila mmoja angejitambua, akafuata misingi sahihi ya uhusiano, basi kusingekuwa na ugomvi. Watu wangekuwa wanapishana tu kwenye mambo madogomadogo na kuwekana sawa kisha maisha yanaendelea, lakini kutokana na…
Utajuaje Kama Umempata Mtu Sahihi? Soma Hapa
YAWEZEKANA kwa kipindi kirefu ulikuwa ukitamani kumpata mpenzi wa kweli ambaye atakupenda na kukufanya uyafurahie mapenzi na maisha kwa jumla. Mara nyingi, kila mtu huwa na matarajio yake ndani ya kichwa chake.
Kinachowakwamisha…
Faida Za Wapendanao Kuwa Marafiki
UTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye kuthaminiwa ni mwanaume. Yaani mwanamke hana kauli kwa mwanaume. Anakuwa kama mtumwa fulani hivi.
Mwanaume…
Hakuna Mkamilifu, Msaidie Mwenza Wako Kubadilika!
DUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu kidogo huwa ni ngumu. Wengi ni matapeli, wengi si waaminifu. Mtu anakuwa na wewe lakini anakuwa na wengine wengi tu.…
Sifa 5 Za Mwanamke Ambaye Ni ‘Wife Material’
WIKI hii nitazungumzia sifa tano za mwanamke ambaye anastahili kuwa mke au kwa kizungu tunasema ‘wife material’. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia hatua ya kuingia kwenye ndoa lakini bado wanashindwa kutambua yupi ni…