Browsing Category
Makala
Namna Ya Kuishi Na Mpenzi Mwenye Mawazo Hasi, Soma Hapa
MTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine kwa kauli za kuudhi na zisizo za kiungwana na muda wote anaamini kwamba yeye hakosei.
Mtu wa namna…
Jinsi Ya Kukwepa Kurubuniwa na Kumsaliti Mpenzi Wako.. Wanaume/Wanawake Soma Hapa
WAPO watu ambao wameoa au wana wapenzi walioahidiana kwa mambo mengi, lakini wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kuvutwa kimahaba na watu wengine. Hali hii huwatokea wawapo masomoni, kazini, kwenye biashara, mbali au pengine hata karibu na…
Mataifa 9 Yenye Uwezo Mkubwa wa Silaha Hatari za Nyuklia
MATAIFA mengi yamekuwa yakiweka maelezo mengi kuhusu zana zake za kinyuklia kuwa siri kubwa, lakini inajulikana kwamba yapo mataifa tisa yanayomiliki zaidi ya silaha 9000 za kinyuklia ambazo zipo katika huduma za kijeshi.
Silaha hizi…
Mbinu za Kumfanya Aamini Kama Kweli Unampenda kwa Vitendo
NENO ‘nakupenda’ ni dogo lakini lina maana kubwa sana kwa anayelitamka na anayetamkiwa. Kwa bahati mbaya sana, siku hizi neno hilo limekuwa kama mzaha, kila mtu analitamka, wakati mwingine hata mahali pasipostahili na wakati mwingine…
Korosho Inavyosaidia Wenye Tatizo La Moyo, Kisukari!
KOROSHO ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Kwa Tanzania zao hili hulimwa kwa wingi katika mikoa ya pwani hasa Mtwara, Lindi na Pwani. Wengi wetu hatuli korosho na hata pale tunapokula, hula kama kitafunwa cha kuchangamsha mdomo…
Kwa nini wachumba wanakupiga kibuti kila mara? Soma Hapa
UHUSIANO wa kimapenzi kwa vijana wengi hukumbwa na changamoto nyingi. Zipo sababu kadhaa zinazosababisha hilo, lakini kubwa zaidi ni ugeni wa mambo ya mapenzi na kutokupata elimu sahihi juu ya maisha ya urafiki na uchumba kabla ya ndoa.…
Ukiona Dalili Hizi, Mwenzako Anamchepuko
KILA mmoja atakubaliana na mimi kwamba mahusiano baina ya wapendanao kwa kawaida yanakusudia kuwa ya upendo, maelewano, kuaminiana na urafiki wa hali ya juu ingawa hali halisi siyo hiyo katika uhusiano wa wengi. Wengi wetu wameumizwa…
Mbinu Sahihi za Kumaliza Stress za Mapenzi, Soma Hapa
SIKITIKO la mahaba lashinda msiba! Umewahi kusikia maneno hayo ya wahenga? Bora usimuliwe lakini usipitie kipindi cha sikitiko la mahaba. Hakuna kipindi ambacho unaweza kuhisi kama dunia imefika mwisho kama pale unapoumizwa na yule…
Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!
KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake.
Mapenzi humfanya mtu awe kipofu.…
Jinsi Ya Kuepuka Kupotezewa Muda Kwenye Mapenzi
RAHA ya uhusiano wa mapenzi ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana mapenzi ni chachu ya maendeleo. Ili uingie kwenye familia, inakupasa uingie katika muda sahihi na mtu…
Uvumilivu Una Kikomo, Hata Kama Ni Mzuri Vipi Bora Umuache!
KUNA huu msemo usemao, mvumilivu hula mbivu. Hakuna ambaye ni mgeni wa msemo huu, hukuna asiyejua elimu tunayoipata kutokana na msemo huu. Hakika siku zote mvumilivu mwishowe hula mbivu licha ya kwamba inatahadharishwa kuwa makini sana…
Jinsi Ya Kudhibiti Kupanda Kwa Shinikizo La Damu
Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira unaoweza kujazwa hewa. Ukanda huo hufungwa kwenye sehemu ya juu ya mkono na kuunganishwa na kifaa cha kurekodi shinikizo.…
Hizi Hapa Faida saba za Tango Mwilini Mwako
HAWANA makosa wale waliosema kuwa mboga za majani na matunda ni kinga kwa afya yako. Matunda mengi yana manufaa lakini tango linaonekana kutia for a kwa manufaa katika mwili wa binadamu. Tango ni aina ya tunda jamii ya tikitimaji kwani…
Marafiki, Wanajenga, Wanabomoa Uhusiano, Jifunze!
DUNIANI tunaishi kwa kutegemeana. Kwenye maisha kila mtu anamhitaji mwenzake kwa namna moja au nyingine. Anahitaji msaada wa mawazo, ushauri na hata fedha hivyo mtu huwezi kuepuka marafiki. Marafiki ndio ambao wanaweza kukupa msaada…
Mambo ya Kuzingatia Kabla Hujaamua Kumtoa ‘out’ Umpendaye
Shukrani za kipekee zimuendee Mungu kwa kutuwezesha kuiona salama siku ya leo, ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri na unaendelea kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo, leo utakuwa nami Baby Madaha.
Wataalamu wengi…
Madhara Ya Kumchunga Mpenzi Wako Bila Sababu!
MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha wapenzi wao licha ya imani…
Utajuaje Kama Uliyenaye Ni Mtu Sahihi Kwako? Soma Hapa
UNAPOANZISHA uhusiano mpya, bila shaka unakuwa na matarajio makubwa ndani ya moyo wako kuhusu yale unayotarajia mwenzi wako atakufanyia au atakuonesha. Hata hivyo, mara nyingi watu wengi husukumwa zaidi na matarajio yao bila kuzingatia…
Silaha 5 za Mwanamke Kumteka Mwanaume Kimapenzi
KATIKA maisha ya mapenzi watu wanapaswa kuelewana na kusikilizana mno. Hii ndiyo silaha kubwa zaidi kuliko zote na rahisi zaidi ya kukaa pamoja kwa muda mrefu. Pia mkisikilizana itasaidia wawili mnaopenda kudumu kwenye ndoa u uhusiano wenu…
Mambo Wasiyopenda Wanaume Kwa Wanawake
KUPITIA safu hii nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa wanawake. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake.
Jamaa…
Mambo 5 Unayotakiwa Kujua Kuhusiana Na Hedhi
NI vema kujua haya tutakayoyaainisha hapa leo. Inakadiriwa kuwa, mwanamke hupata hedhi wastani wa mara 400 katika maisha yake.
Pia, neno linalotumika sana kuwakilisha hedhi ni ‘period’, lilianza kutumika kwa mara ya kwanza kwenye…
Wanawake wenye vyeo, Madaraka hawafai kuolewa?
Mwaka huu ulipanga kufanya nini na mwenzi wako? Nini ambacho hakijakamilika? Kwa sababu gani hamjakamilisha? Mkishajua wapi mmekwama, basi ni suala la msingi sana ili kuweza kufikia ndoto zenu ambazo mlizianza siku za nyuma.
Muhimu…
Madhara ya Wapenzi Kugombana na Kununiana Mara kwa Mara
MWISHONI mwa wiki iliyopita, nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi ambaye amekuwa akiufuatilia ukurasa huu na kujifunza mambo mbalimbali.
Alikuwa na shida iliyomfanya anitafute na alichonieleza,…
Kama Anakuliza Kila Siku, Unamng’ang’ania Wa Nini?, Soma Hapa
TUNAPOKUTANA kama hivi, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani wapo ambao muda huu wako kitandani wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali huku wengine wakiwa wameshatangulia mbele za haki.
Ndugu zangu, mapenzi yamekuwa yakiwaliza…
Mbinu za Kumfunga Breki Mwanaume Anayechepuka
HOFU kubwa anayoweza kuwa nayo mwanamke aliye katika ndoa au katika uhusiano wa kudumu, ni mumewe au mpenzi wake kumsaliti kwa kutoka na mwanamke mwingine!
Wengi hubaki na hofu kubwa ndani ya mioyo yao kwamba itakuwaje kama mume au…
Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa Kwanza Katika Historia
Miss Tanzania wa kwanza, Theresa Shayo akipita kwenye kingo za bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro mwaka 1967.
Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayakuwa na muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika…
Ukitaka Penzi Lako Lidumu, Fanaya Haya Tangu Mwanzo!
HAKUNA muda ambao hisia za mapenzi na msisimko huwa mkubwa kama kipindi ambacho ndiyo kwanza mnaanzana. Ukiwauliza watu wengi leo ambao wanateswa na mapenzi, wanatamani siku zirudi nyuma ili warudie kufaidi mapenzi kama ilivyokuwa siku…
Hata Kama Upo Naeye Kwenye Ndoa, Unapaswa Kumpa Uhuru Wake
HATA Jinsi tulivyoumbwa, kila mmoja anapenda sana kuwa na ule uhuru wake wa faragha au kwa Kingereza wanaita privacy. Huu ni muda ambao mtu anakuwa peke yake na kufanya mambo yake peke yake bila kuingiliwa na mtu yeyote. …
Kuna Maisha Baada Ya Kutendwa Soma Hapa Ujinasue!
MARA nyingi inapotokea umejeruhiwa penzini hususan kwa mtu ambaye ulikuwa na malengo naye ni vigumu sana kupenda tena.
Ni vigumu sana kumuamini tena mtu wa jinsia tofauti na yako. Wakati mwingine unaamini mtu wa jinsia ya tofauti na…
Hasira; Chanzo Kikubwa cha Kuvunjika Uhusiano!
LAITI kama kwenye dunia hii kila mmoja angejitambua, akafuata misingi sahihi ya uhusiano, basi kusingekuwa na ugomvi. Watu wangekuwa wanapishana tu kwenye mambo madogomadogo na kuwekana sawa kisha maisha yanaendelea, lakini kutokana na…
Utajuaje Kama Umempata Mtu Sahihi? Soma Hapa
YAWEZEKANA kwa kipindi kirefu ulikuwa ukitamani kumpata mpenzi wa kweli ambaye atakupenda na kukufanya uyafurahie mapenzi na maisha kwa jumla. Mara nyingi, kila mtu huwa na matarajio yake ndani ya kichwa chake.
Kinachowakwamisha…
Mambo ya Kufanya Ikitokea Mpenzi Wako Kachepuka!
MPENZI msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa, tena kusalitiwa kunakouma zaidi ni pale unapobaini mpenzi wako kampa penzi mtu unayemjua halafu ukijilinganisha wewe na huyo aliyepewa unashindwa…
Faida Za Wapendanao Kuwa Marafiki
UTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye kuthaminiwa ni mwanaume. Yaani mwanamke hana kauli kwa mwanaume. Anakuwa kama mtumwa fulani hivi.
Mwanaume…
Ufuta Unavyotibu Kisukari, Saratani!
UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru.
Hata hivyo, tafiti mbalimbali za ndani na nje ya nchi, zinaonesha kuwa ulaji wake ni…
Kusikilizana; Silaha Kubwa Ya Kudumisha Penzi
NI siku nyingine Mungu ametupa pumzi tunaendelea kusukuma gurudumu la maisha yetu ya hapa duniani, yatupasa tumrudishie yeye sifa na utukufu. Kwa wale wenye changamoto mbalimbali kama za magonjwa, tunawaombea wapone haraka! Nikirudi…
Sifa 5 Za Mwanamke Ambaye Ni ‘Wife Material’
WIKI hii nitazungumzia sifa tano za mwanamke ambaye anastahili kuwa mke au kwa kizungu tunasema ‘wife material’. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia hatua ya kuingia kwenye ndoa lakini bado wanashindwa kutambua yupi ni…
Mjali Mwenza Wako, Naye Atakujali!
RAFIKI yangu, katika kipindi hiki ambacho kuna sintofahamu nyingi, kutiliana shaka na hata kutengana, ni muhimu kujenga hulka ya kujaliana pia.Iwapo umewahi kupenda au unapendana na mchumba, mpenzi au mume wako na mko katika uhusiano wa…
Sababu Zinazowafanya Wanawake Wasiolewe Zipo Hapa
IJUMAA nyingine tunakutana kwenye kilinge chetu cha kupeana mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Ili uishi vizuri na mwenzi wako ni vizuri kujitathimini, kujisahihisha pale unapoona unakosea.
Hakuna sababu ya kujifanya…
Mfanyie Haya Mpenzi Wako Penzi Lidumu
KATIKA mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe mapenzi kwako. Katika safu hii leo nitazungumzia mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha nakudumisha penzi lako kwa umpendaye.…
Mambo Matano Yanayoumiza Wengi Katika Uhusiano
KUNA mambo mengi ambayo husababisha wenye uhusiano kuumia roho zao. Leo tuyayaeleza mambo hayo kama ifuatavyo:
KUFICHA MAMBO
Kuna jambo hata ukijaribu kulificha, ukweli wake utajulikana tu hususan kama utakuwa na…
Jinsi ya Kuwafanya Wateja Wako Wawe na Furaha
RAFIKI yangu, unahitaji kuwafanya wateja wako wawe na furaha. Unahitaji kuwafanya wawe wateja wanaokuja kwako kila mara na waweze kuleta marafiki zao.
Kama utakuwa na wateja wasio na furaha, wanaweza wakasambaza maneno ya siyo…