The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

barnaba

Barnaba Aajiri Bodigadi

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva nchini, Barnaba Elias, ‘Barnaba Classic’ ameamua kuajiri bodigadi wa kumlinda kwa ajili ya kujiongezea thamani. Barnaba akizungumza na Showbiz alisema kuwa, ameamua kuongeza ‘value’ kwenye kazi zake na…

BARNABA ALIA WIVU LIVE KWA MKEWE

Wahenga walinena wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda. Hivi ndivyo unavyoweza kusema ukikutana na kibao kipya kutoka kwa Barnaba Classic katika kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la Mapenzi Jeneza, ambacho ndani yake kumejaa mistari…

BARNABA AVUNJA UKIMYA JUU YA MKEWE

Masaa machache baada ya aliyekuwa mke wake ambaye pia ni mzazi mwenziye, kuposti picha akiwa na mpenzi wake wa sasa na kuandika ujumbe unaoelezea sababu za ndoa yao kuvunjika, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba Classic, naye ameandika…

Barnaba: Nisifananishwe na Mtu

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Elias Barnaba ‘Baba Steve’ amefunguka kuwa, kutokana na uwezo wa kimuziki alionao hakuna msanii yeyote Bongo anayeweza kufananishwa naye, licha ya kwamba wapo wengi wanaofanya vizuri.   Akizungumza na…