The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

India

Kirusi Kipya cha Covid 19 ni Hatari Zaidi

SHIRIKA  la Afya duniania WHO limesema aina ya virusi vya corona ambavyo vinahofiwa kuchangia wimbi la visa vya maambukizi nchini India vimebainika katika mataifa mengine kadhaa duniani. Shirika hilo la Umoja wa Mataifa…

10 Wafariki Ghorofa Likiporomoka

WATU zaidi ya kumi wanahofiwa kupoteza maisha, huku wengine zaidi ya 25 wakiwa wamefukiwa na kifusi, kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa tatu katika eneo la Bhiwandi, Mumbai nchini India. Tukio hilo limetokea alfajiri ya leo,…

Mtoto Abakwa Na Zee La Miaka 40

Binti wa miaka mitatu yupo mahututi hospitalini nchini India baada ya kubakwa Jumapili Desemba 17.Mtuhumiwa, mwenye umri wa miaka 40 ni mlinzi katika jengo ambalo mtoto huyo anaishi, na tayari ameshakamatwa. …

Mwanamke abakwa na kuchomwa moto

Mwanamke mmoja kaskazini mwa India yupo katika wadi ya wagonjwa mahututi hali mbaya baada ya kuchomwa moto na wanaume wawili ambao inasemekana walimbaka. Mkasa huo wa kuchomwa moto umetokea wakati mwanamke huyo…

Aliyepeleka Mgonjwa India Aporwa

Na MWANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI NEW DELHI: Mwanamke mmoja raia wa Tanzania, ambaye yupo India alikompeleka mwanaye mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa matibabu, ameporwa kiasi kikubwa cha fedha na watu waliokuwa na…