Wawa Aagwa Simba Kwa Ushindi Uwanja wa Mkapa, Kagere Ampatia Jezi
BEKI kisiki wa Simba, jana Juni 23 2022 aliagwa rasmi kwenye kikosi hicho kwa kushuhudia ushindi wa mabao 2-0 kwa timu hiyo ambayo inacheza Ligi Kuu Bara.
Ni mabao ya Pape Sakho dk ya 17 na Peter Banda dk ya 44 yalitosha kuipa pointi…