The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

mama kanumba

Lulu Auvaa Moto wa Mama Kanumba

MAMBO ni moto! Wakati chozi la furaha ya kupunguziwa adhabu likiwa bado halijamkauka muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, mama wa aliyekuwa mchumba wa muigizaji huyo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefungua kinywa chake na…

Mama Kanumba Ala Shavu Burundi

MAMA mzazi wa aliyekuwa staa maarufu wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa juzikati ametimkia nchini Burundi kwa mualiko maalum aliopewa na wasanii wa kule ili kujifunza juu ya kazi zao za filamu walizofanya. …

Mama Kanumba Atoswa Mazima!

WAMEMPOTEZEA? Ndivyo unavyoweza kujiuliza kufuatia mastaa wote wanaotamba mjini kushindwa kutokea kwenye hafla ya kumkumbuka ya miaka sita ya kifo cha aliyekuwa nguli wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba (Kanumba Day) na kumwacha mama…

MAMA KANUMBA YEYE NA MZUNGU TU!

KUTOKANA na hali ngumu ya maisha hivi sasa, mama mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mahiri wa Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amemwangukia mwanadada mwenye asili ya kizungu aitwaye Mouna ili amsaidia kwenye shughuli ya kumbukumbu ya…

Ray, Mama Kanumba Kimenuka

Na MWANDISHI WETU/GPL DAR ES SALAAM: Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu bongo, marehemu  Steven Kanumba, Flora Mtegoa siku ya kumbukumbu ya mwanaye makaburini Kinondoni, alimfyatukia msanii wa filamu nchini,  Vincent Kigosi…