Bad News: Mvua yaondoka na Nyumba 61, Kituo cha Afya
MVUA kubwa iliyoambatana na upepo mkali imeharibu nyumba 45 katika mtaa wa kineng'ene , kata ya Mtanda manispaa ya Lindi.
Imeelezwa kuwa kutokana na hali hiyo, wakazi hao kwa sasa wamekosa makazi, huku diwani wa kata hiyo, Abedi…
