The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

okwi

Okwi, Aucho Watoswa Uganda Cranes

KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’, Milutin Sredojevic ‘Micho’ ameita kikosi cha wachezaji 23, kitakachoingia kambini kwaajili ya michezo ya kimataifa dhidi ya Gabon Desemba 30 na Mauritania Januari Mosi. …

Okwi Akutwa na Corona

EMMANUEL Okwi mshambuliaji wa kikosi cha Al-Ittihad ya Misri amekutwa na Virusi vya Corona hivyo atakosa mechi kadhaa ndani ya Ligi Kuu ya Misri. Raia huyo wa Uganda ambaye amecheza pia Ligi Kuu Bara ambapo alicheza ndani…

Okwi, Simba Njia Panda

HABARI za ndani zinasema kwamba Kaizer Chiefs ina asilimia 85 za kumnasa Emmanuel Okwi, lakini Simba wamecharuka na kujipanga kivingine. Simba imeapa kwamba hata kwa kulipa faini ya kuchelewa lazima wahakikishe Okwi anabaki Msimbazi na…

OKWI, SIMBA WATUNISHIANA MISULI

MITANDAO na Magazeti ya kuaminika ya Afrika Kusini yamesema uwezekano wa Emmanuel Okwi kusaini Kaizer Chiefs ni asilimia 85, lakini Simba wamedai haendi kokote. Okwi mwenyewe ameiambia televisheni ya Afrika Kusini ya SABC…

Okwi ataka 115m kwa mwaka Simba

STRAIKA wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ameyaamsha tena mambo ndani ya klabu yake hiyo baada ya kuwaambia viongozi kwamba kama wanataka asalie klabuni hapo, basi wamuwekee benki kitita cha Sh milioni 115 kwa mkataba wa mwaka mmoja.…

Okwi akataa miaka miwili Simba

EMMANUEL Okwi amezidi kuwatia kiwewe Simba kwanza kutokana na kiwango anachokionyesha kwenye michuano ya Kombe la Afrika ‘Afcon’ kule Misri pili ni kuwa anazingua kusaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi. Okwi, raia wa…

Simba Yaagiza Straika wa Kimataifa

MAMBO ni moto Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuingia msituni kutafuta bonge la Straika ambaye atakuwa ni moto wa kuotea mbali zaidi ya Mganda, Emmanuel Okwi pamoja na Mnyarwanda, Meddie Kagere. …

CAF Yazuia Mkataba wa Okwi Simba

WAKATI uongozi na mashabiki wa Simba wakiendelea kutafakari hatma ya mshambuliaji wao, Mganda, Emmanuel Okwi kama atasalia hapo ama la, sasa mambo ni moto. Kwa taarifa yako tu ni kwamba, kuna uwezekano mkubwa msimu ujao Okwi asionekane…

Yanga Yavuta Mkali wa Okwi

YANGA wametua kwa straika mzawa mwenye mabao sawa na Heritier Makambo anayeondoka Jangwani. Lakini kilichowanogea ni kwamba huyo jamaa ambae ni Salum Aiyee wa Mwadui anawazidi kwa mabao wakali wawili ambao Simba inawaaminia kwelikweli.…

Mo Awapa Bocco, Okwi Mil 240.

SIMBA Wamebakiza pointi tano tu wawang’oe wapinzani wao Yanga katika nafasi ya kwanza kwenye msimamo. Sasa ili kukoleza vita ya kuwashusha, nyota wa kikosi hicho kilicho chini ya uwekezaji wa bilionea kijana Mohamed Dewji ‘Mo’, leo Jumatatu…

Okwi aivuruga Simba, ajiondoa!

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, kama kawaida yake ameanza kuonyesha ‘pozi’ kwa timu hiyo, baada ya kujiondoa kikosini huku Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini ‘Sauzi’ ikitajwa kuhusika. Hiyo, ikiwa ni saa chache baada…

Okwi amtibua Aussems

KATIKA hali isiyotarajiwa, mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, juzi Jumamosi alimtibua kocha wake, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji katika mchezo wao dhidi ya Nkana FC. Okwi, raia wa Uganda, alimtibua Mbelgiji huyo wakati…

Okwi Aikosa Mbeya City Leo

MAMBO yamekwenda ndivyo sivyo kwa straika wa Simba, Emmanuel Okwi ambaye alionekana anaweza kuwa fiti kucheza leo lakini hali yake imebadilika na hatacheza dhidi ya Mbeya City leo Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Okwi aliumia hivi…

OKWI WA 2011/12 Vs 2017/18

MARA ya mwisho fu­raha ya Wanasimba kuweza kutwaa ub­ingwa ilikuwa ni msimu wa 2011/12 na baada ya hapo wakakaa miaka mitano bila kuonja raha ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara kabla ya msimu huu wa 2017/18 kuupata. Timu hiyo imetwaa ubingwa…

BOCCO AVUNJA REKODI YA MIAKA 15

SIKU chache baada ya Simba kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara, mshambuliaji na nahodha wa Simba, John Bocco amewashangaza wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo baada ya kuandika rekodi ya pekee katika michuano ya Ligi Kuu Bara msimu huu.…