Polepole Akanusha Kutaka Kuanzisha Chama Kipya
Mbunge wa Kuteuliwa na Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole amekanusha taarifa za kutaka kuhama chama hicho na kuunda chama kipya.
Polepole ametoa kauli hiyo alipoulizwa swali endapo atafutwa uanachama kutokana…
