Mo Dewji: Niliamua Kurudi Katika Uongozi Kuleta Msukumo Mpya
Rais wa Simba, Mohammed Dewji Oktoba 6, 2024 amesema katika Mkutano Mkuu wa Klabu ya Simba mwaka 2024 uliofanyika jijini Dar es Salaam kuwa leo ni siku ya heshima kubwa kuangalia maendeleo ya timu yao katika safari yao ya maendeleo…