The House of Favourite Newspapers

Mke Amnyoa Cannavaro Rasta

MARA baada ya kuteuliwa kuwa Meneja Mpya wa Taifa Stars, beki wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, mke wake amemnyoa rasta. Hali hiyo imetokea siku moja kabla timu ya Taifa haijaingia kambini jijini Dar es Salaam…

Cannavaro hajaonana na Mo Dewji

MENEJA na nahodha wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amerejea kwenye kikosi chake hicho na kuendelea na majukumu kama kawaida licha ya kuwa kulitokea hali ya sintofahamu kati yake na kiongozi wa benchi la ufundi la timu hiyo,…

Familia yamuondoa Cannavaro Yanga

IMEELEZWA kuwa kimya kingi cha Meneja wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutokuwepo katika kikosi hicho, kinatokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia. Katika siku za hivi karibuni, Cannavaro amekuwa haonekani kikosini hapo pindi timu…

Cannavaro: Simba Ina Beki Chochoro

BEKI wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amefunguka kuwa sababu kubwa ya Simba kupokea kipigo kizito nchini Misri imetokana na kuwa na beki nyepesi kupitika ‘chochoro’ pamoja na kushindwa kuwaheshimu wapinzani wao. …

Cannavaro apewa kuku

BEKI na nahodha wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, jana alifanyiwa ‘sapraiz’ ya kutosha kutoka kwa mashabiki wa Yanga kutoka Kijiji cha Chigungu kilichopo Masasi mkoani Mtwara. Mashabiki hao walikuwa barabarani…

Ninja: Mtamsahau Cannavaro Wenu

BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kukabidhiwa jezi namba 23 ambayo awali ilikuwa ikivaliwa na Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kwa kusema kuwa atapiga sana kazi. …

Pawasa Ampongeza Cannavaro

KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya mchezo la Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ Boniface Pawasa amefunguka kuwa kitendo cha uongozi wa Yanga kumpa jukumu la umeneja wa timu hiyo, beki wake Nadir Haroub Cannavaro ni cha kupongezwa.  …

Cannavaro Meneja Mpya Yanga

YANGA wamemwambia Nadir Haroub ‘Cannavaro’ mziki wa Emmanuel Okwi na Meddie Kagere wa Simba hatauweza msimu huu badala yake ajiandae kisaikolojia kuwa meneja tu. Hiyo inamaanishwa kwamba Hafidh Saleh ambaye ameshikilia…

Cannavaro Apata Pigo Akiwa Sheliheli

WAKATI akipambana kuitumikia klabu yake iliyoko nchini Shelisheli kucheza mechi za kimataifa, nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amepatwa na msiba baada ya kufiwa na mwanaye Anuary Nadir aliyekuwa na umri wa miezi miwili usiku…

Cannavaro aanza kuogopa Yanga SC

Omary Mdose, NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, ameogopa na kusema msimu ujao wa Ligi Kuu Bara unaweza kuwa mgumu kwao hata kutetea ubingwa kwani wana uchovu wa kucheza mechi nyingi mfululizo. Cannavaro amesema hayo wakati…

Cannavaro yupo fiti nyie tu

Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm. KOCHA wa Yanga, Hans van Der Pluijm amesema nahodha na beki wake wa kati wa timu yake, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ yupo fiti kucheza mechi ya leo dhidi ya Al Ahly ila ni siri yake kuhusu kucheza.…

Cannavaro mmh! Azua mshangao

Beki tegemeo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Suleiman Hassan, Pemba LICHA ya Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kujaribu kumshawishi nahodha wake na beki tegemeo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kufanya mazoezi, mchakato huo umeonekana…

Cannavaro aipa Simba siku saba

Beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ . Wilbert Molandi, Dar es Salaam NDIYO kwanza amerejea uwanjani akitoka kuuguza jeraha la enka, lakini nahodha na beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema anahitaji siku saba…

Cannavaro: Tulijitakia wenyewe… kudroo na Azam

Nadir Haroub ‘Cannavarao’. Sweetbert Lukonge, Dar TIMU ya Yanga juzi Jumamosi ilipoteza nafasi nyingi za mabao katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, hali hiyo imemsononesha beki na nahodha wa…

Pluijm awatupia lawama Cannavaro, Yondani

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Omary Mdose,Dar es Salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amewatupia lawama mabeki wake, akiwemo nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kelvin Yondani kutokana na kufungwa bao la kizembe…