The House of Favourite Newspapers

JINI MTU-16

Katika kipindi kipya cha maisha yangu katika jiji la  Dar es salam sikuwa na ndugu wala jamaa katika mji huu wenye hali nzito ya hewa na joto kali. Rafiki yangu mkubwa alikuwa ni Lody Kenzy, aliye kuwa akinitembelea mara kwa mara…

Katika kipindi kipya cha maisha yangu katika jiji la  Dar es salam sikuwa na ndugu wala jamaa katika mji huu wenye hali nzito ya hewa na joto kali. Rafiki yangu mkubwa alikuwa ni Lody Kenzy, aliye kuwa akinitembelea mara kwa mara…

JINI MTU-15

Miaka mingi iliyopita, Mama yako alikuwa mwanaume mwenye kuitwa Kalindimya, akafariki, ikaja siku akazaliwa upya akiwa mwanamke mwenye kuitwa bi Khajat au mama Vegasi kama alivyo kuja kuzoeleka!.enzi za usichana, Bi Khajat hakutakiwa…

Jini Mtu-10

Niliibuka mbele ya watu wanne katika jumba lililokuwa halijamilika kujengwa, wale watu wanne kimwonekano walikuwa ni vijana waliozamia katika matumizi ya bangi. Walikuwa wamemdhibiti Nasra kiasi cha haja, mmoja alikuwa amemkwida mikono…

JINI MTU-09

Ghafla.. Nilistuka kutoka katika usingizi ilikuwa ni saa kumi na mbili asabuhi ndani ya gereza la bangwe, nilijinyanyua mahala pale nilipo lala katika kigodolo cha futi tatu watu wanne, nikatizama huku na kule..baadhi ya wafungwa na…

JINI MTU-08

 Nilikuwa mbele ya hospitali ya maweni, yapata saa tatu za usiku, nilikuwa nimefura kwa hasira na chuki kubwa dhidi ya binadamu mwenye kuitwa Hashimu Azizi. Bindamu asiye pata kujulikana kwa urahisi kutokana na jina hilo la uficho…

JINI MTU-07

Tayari maghalibi ilikuwa imeingia kwani mwanga hafifu wa njano ulipenya katika dirisha la lockup ya polisi na kuniangazia mahala nilipo kuwa nimelala baada ya kupoteza fahamu kwa masaa Zaidi ya matano pale kituo cha polisi hali iliyo tokana…

JINI MTU-06

Taarifa za ajali ya wachezaji wa timu ya joy  zilikuwa gumzo karibu nchi nzima, taarifa zilisema gari liltumbukia katika kolongo na kuwaka moto kiasi cha miili yote kutekea kwa moto na kuhalibika vibaya hata kushindwa namna ya kutambua…

D’jaro awashtua mashabiki, hakuwa akilipwa!

Djaro Arungu akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Djaro Arungu akijibu baadhi ya maswali ya mtangazaji wa Global TV Online (hayupo pichani). Djaro Arungu akipozi na mtangazaji wa Global TV Online, Shorvieny Mohammed. Djaro…