The House of Favourite Newspapers

Ray C ajitoa ufahamu ughaibuni

WAKATI Bongo watu wakimisi picha za utupu za mastaa kutokana na sheria ya makosa ya mtandao kung’ata wengi, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amejilipua huko majuu.  Ray C ambaye ni msanii maarufu anayeishi nchini Uingereza kwa sasa, ametupia…

NAMTAMANI RAY C HUYU !

KUNA wakati unaweza kutamani kurudisha nyakati nyuma lakini siyo jambo rahisi. Kamwe huwezi kurudisha siku zilizopita.  Lakini ni rahisi sana kuvuta kumbukumbu ya kilichotokea nyuma. Mwanamuzuki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’…

Mshtuko Ray C kutaka kujiua!

DAR ES SALAAM: Mshtuko! Sexy lady kutoka Bongo Flevani, Rehema Yusuf Chalamila ‘Ray C’ ameibua mshtuko mkubwa kwa mara nyingine baada ya kudai kuwa anajihisi mnyonge na anaonelea ni vema ajitoe uhai ili akapumzike. …

RAY C ATOA SABABU KUTOMZIKA RUGE

VUNJA ukimya! Sexy lady wa Bongo Fleva, Rehema Yusuf Chalamila ‘Ray C’ ametaja sababu ya kutomzika Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ‘Jasiri Muongoza Njia’, Risasi Jumamosi lina habari kamili.…

Majibu 4‘ Waraka’ wa Ray C

MEI 15, 1982 katika mkoa wa Iringa alizaliwa msanii mkongwe mwenye sauti tamu katika Muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. Ray C alianza rasmi muziki huo mwaka 2003, hadi sasa anashikilia albamu nne kwapani ambazo ni…

Lungi Amshambulia Ray C

BAADA ya msanii wa muziki, Rehema Chalamila ‘Ray C’ kumuandikia ujumbe Rais John Pombe Magufuli kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anaomba wanaoingia kwenye nyumba za wageni wawe wameolewa na waoneshe cheti cha ndoa mlangoni staa…

RAY C AWATOLEA UVIVU MAVIDEO VIXEN

Mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila Ray C amewafungukia mavideo Vixen ambao wamekuwa wakitokea kwenye video mbalimbali za muziki huku sehemu ya miili yao ikiwa nusu utupu. Akipiga stori na Mikito Nusunusu Ray…

Kimenuka… Ray C Amuwakia Nandy

MWANAMUZIKI Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema hatasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wanamuziki wanaoimba nyimbo zake bila makubaliano Nyota huyo ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi ameimbia Mwananchi kuwa hawezi kuvumilia vitendo…

Ray C: Kwa Sasa Najisimamia Mwenyewe

MWANADADA aliyerejea vizuri kwenye Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ au Kiuno Bila Mfupa, ameibuka na kumtaka mwanamuziki mwenzake ambaye alikuwa akiimba kama yeye kwa sauti na kila kitu, Winfrida Josephate ‘Recho’ asikate tamaa…

RAY C Afungukia Kutoka na Mbunge

Stori: Ally Katalambula, IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Sexy lady mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amefunguka kuwa hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi mbunge yoyote nchini kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa…

Ray C full kicheko

MSANII mkongwe wa Muziki wa Kizazi Kipya aliye katika majaribu makubwa ya matumizi ya madawa ya kulevya, hivi sasa anadaiwa kuwa full kicheko kufuatia mabadiliko makubwa ya afya yake tangu alipoanza kupata matibabu katika kituo cha wahanga…

Wa kumnusuru Ray C ni Mungu Tu!

Rehema Chalamila ‘Ray C’ MUSA MATEJA TUMUOMBEENI Ray C kwa sababu wa kunusuru maisha yake kwa sasa ni Mungu tu! Ndivyo walivyosikika wakisema baadhi ya mashabiki wa staa wa kike wa Bongo Fleva aliyetamba vilivyo enzi zake, Rehema…

Ishu ya kubwia unga, JK amuonya Ray C

Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’. MUSA MATEJA, amani DAR ES SALAAM: Wakati msuguano mkubwa ukiwa umeibuka, Mbongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akisukuma madongo kwa Magazeti Pendwa ya Global Publishers kwamba yanamtungia uongo…