Ray C Atema Nyongo: Vita ya Harmo na Mondi Itasababisha Mauti
Kwa haraka haraka tu kama hichwa chako kunafanya kazi! Unadhani mwisho wa haya yanayoendelea utakuwa ni nini? Kwangu naona mauti tu mbeleni... neno baya sana hili na linaogopesha ila huu ndio ukweli.
Kwenye muziki beef za…