The House of Favourite Newspapers

Sure Boy Awachimba Mkwara mzito Azam FC

KIUNGO wa Yanga, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ amewachimba mkwara mabosi wake wa zamani Azam FC kwa kuwaambia kuwa atahakikisha anaipambania timu yake kupata matokeo ya ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajia kupigwa…

Kumbe Azam Fc Bado Sana

AZAM inakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara lakini kocha wake, Abdi Hamid Moalin, amesema bado hajaipata Azam anayoitaka na ubora wa kikosi chake kwa sasa hauzidi asilimia 65. Moalin amefunguka kuwa kuna…

Azam FC Yawapa Somo Yanga

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Azam FC Thabith Chumwi Zakaria ‘Zaka Zakazi’ ameingilia kati sakata la Malalamiko ya Waamuzi lililoibuliwa na Young Africans Jumanne (Februari 08). Idara ya Habari na Mawasilino ya…

Kaze awafungia full mziki Azam FC

KOCHA Msaidizi wa Yanga Mrundi, Cedric Kaze amepanga kukitumia kikosi chake chote cha kwanza katika mchezo wao dhidi ya Azam FC utakaopigwa leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu zinatarajiwa kuvaana katika mchezo wa Nusu Fainali ya…

Aucho, Bangala Waiwahi Azam FC

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa wachezaji wao Khalid Aucho, Yanick Bangala, Djuma Shabanina Mukoko Tonombe, watapatikana katika mchezo unaofuata wa nusu fainali ya Kombe la mapinduzi dhidi yaAzam FC. Yanga imetinga hatua hiyo…

Morrison Anaitaka Azam FC

UNAAMBIWA pamoja na Kiungo Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison kukosekana kwa muda ndani ya timu hiyo akiwa ameenda kwao, lakini bado ametuma ujumbe kwa kocha wa timu hiyo, Pablo Franco akiomba awepo kwenye kikosi…