The House of Favourite Newspapers
Tags:

Lulu Diva: Nawashukuru Sana

MUIGIZAJI na msanii wa Tanzania, Lulu Diva amewashukuru wote waliomshika mkono kipindi mama’ke mzazi alipofariki dunia. Lulu Diva ametoa shukrani zake za dhati kwa mashabiki wake na Serikali kwa mchango waliotoa wakati…

Lulu Diva Akiri Kuporwa Gari

Sexy lady wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kuporwa lile gari la bei mbaya aina ya Jeep. IJUMAA WIKIENDA linafahamu kwamba, Lulu Diva alipewa gari hilo la kifahari na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Joh ambaye alikuwa…

Lulu Diva Asimulia Alivyonusa Kifo!

Sexy lady kunako Bongo Flevani, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesimulia alivyonusa kifo laivu.Katika mahojiano maalum, Lulu Diva ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, hadi sasa amekuwa akilikumbuka tukio la wiki iliyopita alipokutana uso kwa uso…

Lulu Adaiwa Kutoka na Jaguar

BAADA ya kuweka hadharani kuwa amepata meneja mpya katika za muziki, msanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kutoka kimapenzi na meneja huyo ambaye pia ni mwanamuziki kutoka Kenya, Jaguar. Kwa mujibu wa chanzo, hivi…

Lulu Aingia Mkataba na Jaguar

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas `Lulu Diva’ amejikuta kwenye furaha ya aina yake baada ya kuingia mkataba na msanii kutoka nchini Kenya,Jaguar atakayekuwa anasimamia kazi zake. Akipiga stori na Showbiz Xtra,Lulu alisema ni jambo la…

Vee Money Ampa Stress Lulu Diva

WANAMUZIKI ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo uitwao Utamu, Lulu Abas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa mwanamuziki wa kike anayempa mawazo hapa Bongo ‘sterss’ ni Vanessa Mdee ‘Vee- Money’ ambapo kila akifikiria juu ya kazi zake…