Milipuko ya Mabomu Yaua Takribani watu 8 huko Syria
Mabomu ya ndani ya gari yamewaua watu wasiopungua wanane wakiwemo watoto watatu katika matukio mawili tofauti siku ya Jumapili kaskazini mwa Syria, shirika linalofuatilia masuala ya vita limesema.
Mlipuko mmoja ulipiga…