×

Global TV Online

Chalamila: Waliniambia Nitoke CCM Nihamie Chama Kingine – CCM Tunafitinishana Wenyewe – Video

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesimulia namna wanachama wenzake wa Chama Cha Mapinduzi walitaka ahamie chama...

READ MORE

#Exclusive: Mama Bonge Wa Kariakoo Amjia Juu Niffer – “Anavuka Mipaka, Atuombe Msamaha” – Video

Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo jijini Dar es Salaam Sinyaa, amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa Niffer aliwatukana wafanyabiashara...

READ MORE

Bibi Miaka 68 Asimulia Alivyowashinda Majambazi 4 Mchana, Kuitwa Jeshini – Video

Rose Yoramu (68) ni mwanamke ambaye ni mlinzi wa ‘yard’ kubwa ya magari iliyopo Mikocheni kwa Warioba. Akizungumza na Global...

READ MORE

#Breaking: Mfanyabiashara Maarufu Babu Rama Wa Kariakoo Ajiua Kwa Kujipiga Risasi Kichwani – Video

Mfanyabishara maarufu wa mikoba katika Mtaa wa Kongo kwenye Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo jijini Dar, Ramadhani Ntunzwe almaarufu...

READ MORE

Khadija Majanga Amwaga Machozi Akisimulia Mwanaye Alivyofia Swimming – Video

Msanii wa Bongo Muvi, Khadija Majanga amefunguka kwa uchungu jinsi alivyompoteza mtoto wake wa kike, ambaye alifariki kwenye bwawa la...

READ MORE

Carina Ashindwa Kutoka katika Hospital ya Rufaa ya Bugando Kisa Deni

UPDATES; Deni la shilingi milioni tatu, limemfanya msanii wa Bongo Muvi, Carina kushindwa kutoka katika Hospital ya Rufaa ya Bugando,...

READ MORE

Rais Samia Awaongoza Wananchi Wa Visiwa Vya Zanzibar Kuaga Mwili Wa Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi (Picha +Video)

Rais Samia awaongoza viongozi na wananchi wa Visiwa vya Zanzibar kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa...

READ MORE

Video; Umati Wafurika Uwanja Wa Uhuru Kumuaga Hayati Ali Hassan Mwinyi – Video

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Ali ameungana na Watanzania na viongozi wakuu wa Serikali katika kutoa heshima za mwisho...

READ MORE

Mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi ulivyowasili Msikiti wa BAKWATA Kinondoni Dar – ViDEO

Mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi, ulivyowasili katika Msikiti wa BAKWATA Makao Makuu Kinondoni Dar es Salaam, kwa ajili ya...

READ MORE

Said Salim Bakhresa Afika kutoa rambi rambi katika msiba wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania

Mmiliki wa Bakhresa Group, Said Salim Bakhresa (mwenye miwani ya rangi nyeusi) amefika kutoa rambi rambi katika msiba wa aliyekuwa...

READ MORE

#Part2: Kumbuka Afichua Alichofanyiwa Na Mwamposa,Tangu Siku Hiyo Sijamuacha Mungu | Hard Talk

Mtangazaji na mshereheshaji mwenye jina lake hapa mjini, Kumbuka ameelezea jinsi mtumishi wa Mungu Mwamposa alivyomuita madhabahuni na kumueleza shida...

READ MORE

Saleh Jembe: Ni Kosa Kumlinganisha Chama Na Pacome – Kweli Mo Dewji Ashukuriwe Yanga Kufuzu

Mchambuzi na mwandishi nguli wa michezo, Saleh Ally amefanya mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa kiwango...

READ MORE

Big Interview: Heche Na Ziara Za Makonda “Amekuwa Mpokea Taarifa”-Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche na...

READ MORE

Esma Platnumz Afunga Ndoa na Mpenzi wake Rashid Shaibu ‘Jembe One’ – Video

Mwanamama maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholati) na dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, ESMA Khan au...

READ MORE

Bashe Atoa Kauli Nzito Sakata La Sukari – ”Wafanyabiashara 28 Tumewakamata -Tumeshawabeba Sana” – Video

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema licha ya tatizo la uhaba nchini lililosababishwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kunyesha kwa mvua...

READ MORE

Sanamu La Nyerere Lavunja Mbavu Watu Ikulu – ”Madaraka Nyerere Amesema Yule Ni Baba Yake” – Video

Serikali ya Tanzania kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...

READ MORE

Mkurugenzi Wa Mawasiliano Ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus Azungumza Na Wahariri – (Video+Video)

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus pamoja na Viongozi wengine wakizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari...

READ MORE

Naibu Waziri Biteko Awalipua Tanesco Makao Makuu – ”Idara Ya Manunuzi Wawabadilishe” – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JHNPP)...

READ MORE

Video: Kijana Afunguka Mazito, Apitia Maisha Magumu Hata Kula yake Imekuwa ya Shida

Global Tv imefanya mahojiano na officialvini2024 na kueleza namna alivyohaso kutoka mkoa wa Lindi mpaka jiji lenye hekaheka zake yaani...

READ MORE

#Part1 Video: Dokta Kumbuka – ”Siku Hizi Wanawake Wengi Wanawaroga Wanaume Zao”…| Hardtalk

Kwenye Hard Talk wiki hii na mtumishi wa Mungu na mwandishi wa vitabu, Lilian Mwasha yupo na mwigizaji, mtangazaji, mshereheshaji...

READ MORE

Rais Aongoza mazishi Ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Mkoani Arusha (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema, miongoni mwa vitu alivyojifunza kutoka kwa hayati Edward Ngoyai Lowassa...

READ MORE

Ibada Ya Mazishi Ya Aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ashiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa...

READ MORE

Msiba Wa Lowassa Monduli; Ng’ombe 100 Zachinjwa Na Viongozi Wa Mila – Video

Baadhi ya viongozi wa kimila wamesema kuwa wanayaenzi maisha ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kwa kuchinja ng’ombe 100 hivyo...

READ MORE

Mirathi Yazua Balaa Dar, Mwananchi Aibua Tuhuma Nzito ”Naomba Nionane Na Waziri Mkuu”…

Mohamed Soli, mkazi wa Gerezani, Kariakoo jijini Dar, ameomba nafasi ya kuonana na Waziri Mkuu kuhusiana na sakata lake la...

READ MORE

Mbunge Mpina Ajilipua Bungeni “Tufute Gharama za Matibabu ya Kansa” – Video

Mbunge wa Kisesa Luhagha Mpina, ametoa hoja bungeni kuhusu swala la kufuta matibabu ya gharama za kansa kwa wagonjwa kutokana...

READ MORE

Ibada Ya Kuuaga Mwili Wa Lowassa Kanisa La KKKT Azania Front

Mwili wa Waziri mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa ukiwa Katika Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front Jijini Dar es...

READ MORE

Msibani Kwa Lowassa: Steve Nyerere Awararua Vibaya Wasanii – Video

Msanii wa Bongo Muvi Steve Nyerere mara baada ya kufika msibani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, amefanya mahojiano...

READ MORE

Hard Talk: Deo Sukambi : “Valentine Wanandoa Watalia, Michepuko Watafurahi”, Afichua Mazito – Video

 Mtaalamu wa mahusiano, Deo Sukambi amesema kuwa leo Februari 14, 2024 siku ya Valentine day baadhi ya watu huanza...

READ MORE

#Exclusive Video: “Mchumba Wangu Alifariki Muda Wangu Wa Kuomba” -Tunu Juakali

Muigizaji wa Tamthilia ya Jua Kali, @miriamrobert anayejulikana kwa jina la Tunu, ndani ya tamthilia hiyo ameongea kwa uchungu, ugonjwa...

READ MORE

Makamu wa Rais Aongoza waombelezaji kuuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa viwanja vya Karimjee (Picha +Video)

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza waombelezaji mbalimbali kutoka jijini Dar...

READ MORE

Mtoto Wa Lowassa Afichua Siri Nzito – ”Bila Rais Samia Baba Asingefika Hata Jana” – Video

MBUNGE wa Jimbo la Monduli, ambaye ni mtoto wa Edward Lowassa, Fredrick Lowassa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupigania...

READ MORE

Maneno Mazito Ya Mstaafu Kikwete, Mzee Warioba Mwili wa Lowassa Ukiagwa – Video

 Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema Hayati Edward Lowassa ameacha alama katika...

READ MORE

Shigongo: “Maisha Ni Magumu Sana Huko Mtaani, Magonjwa Ya Akili Yanaongezeka”-Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosha, Eric Shigongo Februari 12, 2024 amezungumza Bungeni, jijini Dodoma. “Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana...

READ MORE

Makonda Msibani Kwa Lowassa Atupa Dongo – “Marafiki Zake Hamkwenda Kumpa Pole – Video

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda ametoa kauli hiyo akiwa katika msiba wa Waziri Mkuu wa zamani,...

READ MORE

Mbowe Atoa Machozi Akimzungumzia Mzee Lowassa Nyumbani Kwake – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefika kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwa...

READ MORE

Hawa Wa Diamond Ana Hali Mbaya, Mama Yake Alia Kwa Uchungu – Video

Mama mzazi wa msanii wa muziki kipya, Hawa Nitarejea @hawanitarejea ameangua kilio mbele ya Global TV baada ya kuelezea kuwa...

READ MORE

#Exclusive Video: Femi Na Luka wa Jua Kali Wafunguka Wakiwa Na Vipara Vyao – ”Nililia Sana Siku Ya Kunyoa”

Mwigizaji wa Tamthilia ya Jua Kali, Mulky maarufu kama “Femi wa Juakali” amesema licha ya kuigiza sini za kimahaba na...

READ MORE

Mzee Miaka 76 Adai Alipigwa Risasi Na Polisi Aibua Mazito – Amuomba Rais Samia -Video

Mzee Abdallah Ngombo (76), mkazi wa Mkuranga mkoani Pwani ambaye anadai kupigwa risasi na kuvunjwa mguu na askari wa Jeshi...

READ MORE

Hard Talk: Deo Sukambi Afichua Wanandoa Kuishi Miaka Mingi Bila Tendo -“Wanawake Wamegeuka Wanaume”

Mtaalamu wa mahusiano, Deo Sukambi amesema wanaume wasiojiamini, hutumia kufanya mapenzi kama njia ya kuwacontrol wanawake hususan wale wanaoonekana kuwa...

READ MORE

#Exclusive: Sidi Wa Huba Afunguka Wanaosema Ameolewa Na Muhogo Mchungu – Video

Msanii ambaye ni zao la Tamthiliya ya Huba, Sidi amefunguka kuwa hana tabia kama ambazo anaziigiza, za kutembea na wachumba...

READ MORE