×

Habari

Play’n GO na Meridianbet Waungana Kuboresha Burudani ya Kasino Mtandaoni

Meridianbet imeendelea kuthibitisha nafasi yake kama jukwaa linaloongoza kutoa burudani ya mtandaoni kwa kumleta mtoa huduma mpya, Play’n GO. Hii...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 23, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Airtel Tanzania Yaimarisha Mawasiliano Vijiji Vya Nanyumbu, Pangani, Na Kondoa

Jumla ya vijiji vitatu katika mikoa ya Mtwara, Tanga, na Dodoma vimeanza kunufaika na huduma bora za kidijitali kufuatia hatua...

READ MORE

Mechi ya Moto: Argentina Kukutana na Austria Leo – Kombe la Dunia

Safari ya kuanza kutengeneza ndoto huanza mapema, ambapo kupitia michuano hii mikubwa Duniani ainayoendelea una nafasi nzuri ya kutimiza malengo...

READ MORE

Stanbic Yatoa Shilingi Milioni 20 Kuunga Mkono Kambi za Matibabu na Upasuaji Afrika

Stanbic Bank Tanzania imetoa msaada wa Sh milioni 20 kwa Mpango wa Kambi za Matibabu na Upasuaji wa Jumuiya ya...

READ MORE

Serikali Yachukua Ushauri wa Aziza Sleyum, Miradi 6 Mikubwa ya Barabara Kutekelezwa kwa PPP

Ikiwa ni siku chache tu tangu Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Aziza Sleyum Ally, achangie mjadala...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer Ajiuzulu, Mbio za Kumpata Mrithi Zaanza

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya uwaziri mkuu pamoja na uongozi wa Chama cha Labour,...

READ MORE

Marekani na Iran Zakubaliana Hatua Mpya ya Kusimamisha Vita Lebanon

Mazungumzo ya ngazi ya juu yaliyofanyika nchini Uswisi kwa lengo la kumaliza kabisa vita kati ya Marekani na Iran yamehitimishwa...

READ MORE

Video: Madee Aongoza Msafara wa Wasanii Wakongwe Kumtembelea Saidi Fella

WASANII wakongwe wa muziki wa Bongo Flava wakiongozwa na Madee wamemtembelea aliyekuwa Meneja wa Diamond Platnumz pamoja na Yamoto Band,...

READ MORE

Jennifer Lopez Afichua Alivyopoteza Uoni kwa Muda Baada ya Kufanya Kazi Siku 98 Mfululizo

Jennifer Lopez amefunguka kuhusu moja ya nyakati ngumu zaidi katika maisha yake ya kazi, akieleza jinsi alivyolazimika kukimbizwa hospitalini baada...

READ MORE

Ebitoke Afunguka Posti Iliyozua Taharuki, Asema Polisi Walilazimika Kutoa Tamko – Video

Mwanadada mchekeshaji Ebitoke amefunguka kuhusu ujumbe aliowahi kuuchapisha kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki kubwa miongoni mwa wananchi, hali...

READ MORE

Mapinduzi ya Kidigitali Zanzibar! Yas Fiber Yaingia na Bilioni 300

  Zanzibar, Juni 22, 2026 – Yas Fiber Tanzania itawekeza takriban shilingi bilioni 300 kwa kipindi cha miaka 20 ili...

READ MORE

Fahamu Mabilionea 10 Matajiri Zaidi Duniani Mwaka 2026

Dunia inaendelea kushuhudia ukuaji mkubwa wa utajiri wa viongozi wa sekta ya teknolojia, huku orodha ya mabilionea matajiri zaidi mwaka...

READ MORE

King Charles Awakaribisha Prince Harry na Meghan Kukaa Kwenye Makazi ya Kifalme Uingereza

Mfalme wa Uingereza, King Charles III, ameripotiwa kutoa mwaliko kwa mwanawe mdogo, Prince Harry, pamoja na mkewe Meghan Markle na...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance Awasili Uswisi Kufanya Mazungumzo na Iran

Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, amewasili nchini Uswisi kwa mazungumzo muhimu ya amani kati ya Marekani na Iran,...

READ MORE

Fahamu Faida 7 Muhimu za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Juisi ya karoti ni kinywaji chenye virutubisho vingi muhimu kama vitamini, antioxidants na nyuzinyuzi, ambavyo huchangia kuboresha afya kwa ujumla....

READ MORE

Waziri Mkuu wa Italia Akataa Madai ya Trump, Asema Ni Uongo wa Kutungwa

Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni, amemjibu kwa ukali Rais wa Marekani, Donald Trump, baada ya kudai kuwa aliomba kupigwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 21, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Rais wa Bolivia Atangaza Hali ya Dharura Kufuatia Maandamano na Mzozo wa Kiuchumi

Rais wa Bolivia, Rodrigo Paz, ametangaza hali ya dharura nchini humo huku maandamano makubwa yanayoikumba nchi hiyo ya Amerika Kusini...

READ MORE

Yas Wanaounga Mkono mbio za TCB Selous Marathon

Morogoro, Juni 2026 –Kampuni ya Mawasiliano ya Yas, imesema inaendelea kujivunia kuwa sehemu ya wadau wanaounga mkono mbio za TCB...

READ MORE

Wafanyabiashara Sita wa Bangi Wafungwa Miaka 30 Wilaya ya Mufindi, Iringa – Video

Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa, Juni 19, 2026, imewahukumu watuhumiwa sita baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mbalimbali...

READ MORE

Kamanda wa Polisi Tabora SACP Richard Abwao Afariki Dunia

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kifo cha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao, kilichotokea katika...

READ MORE

Rais Samia Ampokea Rais wa Namibia, Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah, Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Jamhuri ya Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah aliyewasili nchini...

READ MORE

Programu ya Mama Samia Kurasimisha Ujuzi Wa Vijana 80,000

Serikali imesema itaendelea kuimarisha elimu ya ujuzi na umahiri ili kuwajengea vijana uwezo wa kujiajiri na kuhimili ushindani wa soko...

READ MORE

Wolper Aingilia Kati Sakata la Ndoa ya Shamsa, Afunguka Mazito

Msanii wa sanaa ya Uigizaji nchini, Jackline Wolper, ameonyesha kumuunga mkono rafiki yake Shamsa Ford kufuatia ujumbe wa huzuni aliouweka...

READ MORE

Trump Azindua Air Force One Mpya Kutoka Qatar yenye Muonekano Mpya wa Kifahari -(Picha +Video)

Rais wa Marekani, Donald Trump, amezindua ndege mpya ya muda ya Air Force One, aina ya Boeing 747-8, ambayo awali...

READ MORE

Rumadha Fundi Ang’ara Ureno, Aipeperusha Bendera ya Tanzania kwenye Karate

Tanzania inaendelea kung’ara katika medani ya karate kimataifa kupitia Rumadha Fundi, mwenye Mkanda Mweusi Dan ya 6 na Mkufunzi Mkuu...

READ MORE

Maajabu Ya Airbus A380-800 Yanayowashangaza Watu Duniani

Ndege ya Airbus A380-800 imeendelea kutajwa kuwa moja ya ndege kubwa na za kipekee kuwahi kutengenezwa duniani kutokana na ukubwa...

READ MORE

NMB Yaongeza Kasi ya Kufadhili Biashara za Mifugo

  Benki ya NMB imetoa zaidi ya Sh180 bilioni kufadhili wafugaji na biashara katika mnyororo wa thamani wa mifugo, ikiwemo...

READ MORE

Waziri Mkuu: Ufugaji Wa Kisasa Ni Jawabu La Migogoro Ya Wakulima Na Wafugaji

WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wafugaji nchini kuanzisha mashamba ya malisho na kutumia teknolojia za kisasa za ufugaji ili...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada kwa Hospitali ya Kinondoni Kupitia Programu za CSR

Meridianbet imeonesha upendo wa kweli kwa jamii kupitia mchango wake katika Hospitali ya Kinondoni, ikiwa ni sehemu ya programu zake...

READ MORE

Kim Kardashian Aonyesha Nguvu ya Utajiri Wake wa Mabilioni

Nyota wa vipindi vya Televisheni na mjasiriamali, Kim Kardashian, anaendelea kuishi maisha ya kifahari yanayoakisi utajiri wake unaokadiriwa kufikia dola...

READ MORE

Jumba la Sultan wa Brunei Lavunja Rekodi Duniani, Lina Vyumba 1,788 na Mabafu 257

Jumba la kifalme la Istana Nurul Iman, makazi rasmi ya Sultan Hassanal Bolkiah, linakadiriwa kuwa na thamani ya dola bilioni...

READ MORE

Mabaunsa Wavamia Nyumba Ya Mjane Wa Mchungaji Mtikila, Kisa Mkopo Wa Milioni 250 Aliomdhamini Mtu – Video

Nyumba ya mjane wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, Bi. Georgia Christopher Mtikila, iliyopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, imekumbwa...

READ MORE

Bilionea Mulokozi Asimulia Uchungu wa Kumpoteza Mfanyakazi Wake Tegemeo Silayo – Video

Bilionea Mulokozi amefunguka kuhusu majonzi aliyoyapata baada ya kumpoteza mmoja wa wafanyakazi wake muhimu, Goodluck Didas Silayo, aliyefariki dunia kufuatia...

READ MORE

Ruto Aialika Arsenal Kutembelea Kenya Baada ya Sherehe za Ubingwa

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema ameialika klabu ya Arsenal kutembelea Kenya baada ya kushuhudia namna mashabiki wa timu hiyo...

READ MORE

Serikali Yakiri Shule Iliyojengwa na NMB Ina Viwango

Serikali imeipongeza NMB Bank Plc kwa kujenga shule ya sekondari ya bweni kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu wilayani Bahi, mradi...

READ MORE

Fahamu Tunda la Zabibu Linavyosaidia Moyo, Ubongo na Ngozi

Zabibu ni miongoni mwa matunda yenye virutubisho vingi vinavyosaidia kuimarisha afya ya mwili. Hapa ni baadhi ya faida zake: 1....

READ MORE

Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah Kuwasili Tanzania Kesho

Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania Juni 19, 2026 kwa ziara ya kitaifa, ikiwa ni ziara yake...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Asafiri kwa SGR Kutoka Dodoma hadi Dar – Picha

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, leo Alhamisi Juni 18, 2026, amesafiri kwa treni ya kisasa ya Standard Gauge Railway...

READ MORE