×

Habari

India Yapokea Msaada Kukabiliana Covid -19

TAIFA la India limeendelea kupokea msaada wa kimataifa ili kukabiana na uhaba wa Oksjeni wakati idadi ya vifo vya virusi...

READ MORE

Pasta Ageuza Baa Kuwa Kanisa la Kuabudia

WAKATI makanisa na baa zilifungwa kote nchini Kenya kwa sababu ya COVID-19, Mhubiri Ken Baraza wa Kanisa la Abundant Grace...

READ MORE

Jamaa Anusurika Kifo Akijisaidia

JAMAA mmoja amenusurika kifo kwa tundu la sindano baada ya mti kuangukia choo cha rununu (choo kinachohamishika) alimokuwa akijisaidia. Jamaa...

READ MORE

Bunge Lapiga Kura Kumfutia Rais Muda wa Nyongeza

Wabunge wa Somalia wamepiga kura kwa kauli moja kufuta nyongeza ya miaka miwili kwenye muhula wa rais Mohamed Abdullahi Mohamed...

READ MORE

RC Kunenge Ampa Ujumbe Mzito Majaliwa-Video

MKUU wa Mkoa Dar es salaam, Aboubakari Kunenge, amempongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa moyo wake wa kujitolea katika shughuli...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara Kenya Mei 4

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda nchini Kenya Kufanya ziara rasmi ya siku mbili, ziara hiyo inatarajiwa kuanza...

READ MORE

Ibada Maalum ya Jumapili Kutoka Kanisa la Ufunuo la Nabii Bendera

NI Ibada maalum kutoka Kanisa la Ufunuo lililopo Kimara Bonyokwa jijini Dar es Salaam, Jumapili ya Mei 02, 2020, ikiongozwa...

READ MORE

Samsung Waipiku Apple kwenye Mauzo ya Simu

UAMUZI wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni...

READ MORE

Rais wa Somalia Afutiwa Muda wa Nyongeza na Bunge

WABUNGE wa Somalia wamepiga kura kwa kauli moja kufuta nyongeza ya miaka miwili kwenye muhula wa rais Mohamed Abdullahi Mohamed...

READ MORE

Wanafunzi wa Kidato cha Sita Kuanza Mitihani ya Kesho

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dk Charles Msonde ametangaza kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita Tanzania...

READ MORE

Korea Kaskazini Yakataa Mazungumzo na Marekani

KOREA Kaskazini imepuuza wazo la kufanya mazungumzo na Marekani siku moja baa ya serikali ya Rais Joe Biden kusema uko...

READ MORE

DC Ahojiwa na Polisi kwa Kutishia Kumuua Mbunge

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe, limeanza uchunguzi tuhuma za Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samuel Jeremiah, kuhusu kumtishia kumuua...

READ MORE

TANZIA – Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

MFANYABIASHARA mkubwa na bilionea wa Kitanzania, Haroon Zakaria amefariki dunia hii leo Mei 1, 2021. Zakaria ndio Mmiliki wa Makampuni...

READ MORE

Simba Kamili Gado Kuwavaa Kagera

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho hatua ya...

READ MORE

Samia: Watumishi Darasa la 7 Waliositishiwa Ajira Walipwe – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kulipa madeni yote inayodaiwa huku akiwaonya watumishi...

READ MORE

Rais Samia Apunguza Kodi ya Mishahara, Makato Bodi ya Mikopo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza wafanyakazi mbalimbali katika Kilele cha Sherehe za Siku...

READ MORE

Muigizaji Maarufu wa Filamu Mzee Msiri Afariki Dunia

Muigizaji maarufu na mkongwe nchini Kenya aliyejizolea umaarufu zaidi katika kipindi cha runinga cha Pete akitumia jina la Mzee Msiri...

READ MORE

Rais Samia: Tutapandisha Mishahara Mwakani – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya wafanyakazi zaidi ya 85,000 elfu hadi...

READ MORE

Afisa wa TAKUKURU Akamatwa kwa Kuomba Rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imamkamata mtumishi wa taasisi hiyo aitwaye Zainab Mohamed Jabir, kwa kosa la...

READ MORE

Serikali Yafunga Mtambo wa Bil 4.6 JKCI

Serikali imefunga mtambo wa kisasa wenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 wa uchunguzi na matibabu ya moyo (Catheterization Laboratory –...

READ MORE

Katibu Mkuu Mpya CCM Aanza Kazi, Aongoza Kikao

KATIBU Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, jana jioni Aprili 30, 2021 ameripoti ofisini na kuendesha kikao...

READ MORE

Rais Samia Atakuwa Mgeni Rasmi Mei Mosi leo Jijini Mwanza

Rais Samia leo Mei 1, 2021 atakuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo itafanyika...

READ MORE

Waziri wa Maliasili Atengua Uamuzi wa Kigwangala ‘Ulikuwa Kinyume na Sheria’

WIZARA ya Maliasili na Utalii imefunga rasmi mzozo uliodumu kwa miaka miwili juu ya eneo la uwindaji kando ya ziwa...

READ MORE

Masikini Nyumba za Yamoto, Miaka sita Baada Ya Kusabaratika

MASKINI! Unaambiwa mji haushiwi na mambo, ni bora mtu akunyime kula, lakini siyo ubuyu! MASHTAKA MAZITO Hivi karibuni ‘mahakama’ ya...

READ MORE

Lindi: Wairan 7 Waliokamatwa na Tani ya Madawa ya Kulevya Wafikishwa Kortini

Raia saba wa Iran akiwemo nahodha wa boti, Jan Miran (42) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi wakikabiliwa na...

READ MORE

Malkia wa Zulu Afariki Baada ya Kuchukua Majukumu ya Kifalme

Familia ya kifalme ya Zulu nchini Afrika Kusini imetangaza kifo cha Malkia wake aliyekuwa anaongoza eneo hilo Shiyiwe Mantfombi Dlamini...

READ MORE

Maandalizi ya Mei Mosi Kitaifa Mwanza Yakamilika – Video

Maandalizi kwa ajili ya sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zinazotarajiwa kufanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...

READ MORE

Vijana JKT Waliorejeshwa Nyumbani Watakiwa Kurudi Kambini

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Charles Mbuge, amewarejesha katika mafunzo vijana waliochaguliwa kujiunga na JKT kwa...

READ MORE

Simba SC Kuvaana na Kaizer Chiefs Robo Fainali

Simba SC itacheza na timu ya Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini katika robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika....

READ MORE

Breaking: Baraza la Madiwani Lamkataa Mkurugenzi Mbozi

BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Mbozi kwa pamoja limeazimia kutokuwa na imani na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Hanji Godigodi...

READ MORE

Chongolo Kumrithi Bashiru Ukatibu Mkuu wa CCM – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amempendekeza Daniel Godfrey Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho....

READ MORE

Kauli ya Kwanza ya Rais Samia Baada ya Kuwa Mwenyekiti wa CCM – Video

  MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Breaking: Nyalandu Atangaza Kurejea CCM Mbele ya Rais Samia -Video

ALIYEWAHI kuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Maliasili na Utalii na kisha baadaye kujiunga na Chama...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Achaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Rais Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura zote1,862, sawa na asilimia 100...

READ MORE

KMC Kushuka Dimba la Jamhuri Kesho Dhidi ya Dodoma jiji Michuano ya Kombe la ASFC

Kikosi cha KMC FC kesho kitashuka katika dimbani la Jamuhuri jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa michuano ya kombe...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itayafanyia Kazi Malalamiko ya Ukaguzi Mirerani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepokea na itayafanyia kazi malalamiko ya wabunge juu ya utaratibu wa ukaguzi unaofanywa kwenye...

READ MORE

NCBA Benki Tanzania yamteua Julius Konyani kuwa Mkurugenzi Mtendaji

Benki ya NCBA Tanzania imemteua Bwana Julius Konyani kuwa mkurugenzi mtendaji kwenye bodi ya wakurugenzi baada ya Gift Shoko kuhamishiwa...

READ MORE

Polisi Wakamata Kondomu, Mali za Wizi, Silaha na Wahalifu 231

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanya Operesheni maalumu ya kukabiliana na kuzuia makosa ya uhalifu na kufanikiwa kukamata wahalifu...

READ MORE

Mto Msimbazi Sasa Kuwa Eneo la Uwekezaji

SERIKALI ya Tanzania imepanga kulibadili eneo la bonde la mto Msimbazi kuwa eneo la uwekezaji na fursa mbalimbali ili kuondokana...

READ MORE