×

Habari

RC KUNDENGE AFANYA ZIARA YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI PUGU.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amefanya ziara ya kikazi ya kusikiliza na kutatua kero za...

READ MORE

Majaliwa Akagua MV New Victoria ‘Wiki Ijayo Meli Ianze Kazi’

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekagua ukarabati mkubwa wa meli ya MV New Victoria Hapa Kazi tu na kuagiza mamlaka inayosimamia...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yashinda Tuzo kwenye maonesho ya Nanenane kitaifa mkoani Simiyu

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akimkabidhi kombe Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya ziwa, Ayubu Kalufya, kwenye maonesho ya nanenane...

READ MORE

Majima Wagombea Ubunge Walioteuliwa Kupeperusha Bendera ya Chadema

LEO Jumapili, Agosti 9, 2020, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya awamu ya kwanza wagombea walioteuliwa kugombea...

READ MORE

Mfugaji Aliyedaiwa Kuuawa na Askari TANAPA Azikwa

MFUGAJI Ulandi Dotto (28) mkazi wa Kijiji cha Mwanavala, Mbarali mkoani Mbeya, anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Mabadiliko, Ateua DC Mpya Ilala

Rais Dkt. John Magufuli leo Jumapili, Agosti 9, 2020 amefanya mabadiliko na kumteua Bw. Ngw’ilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Kortini Madai ya Kukutwa na Tausi

RAIA sita wa China wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, ikiwamo kuongoza genge la uhalifu na kukutwa na...

READ MORE

Mgombea Urais Atinga NEC na Bajaji Kuchukua Fomu

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia Makini, Sesilia Mmanga ametinga na msafara wa bajaji katika Ofisi yaTume ya Taifa ya...

READ MORE

Visanduku Vyeusi vya Air India Vyapatikana

WAPELELEZI wamepata visanduku vyeusi vya ndege iliyoanguka katika uwanja wa ndege jimbo la Kusini mwa India Kerala na kusababisha vifo...

READ MORE

TAKUKURU Yakamilisha Agizo la Rais Magufuli

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imekamilisha uchunguzi wake na kugundua kuwapo ubadhirifu na migongano ya kimaslahi...

READ MORE

Matokeo ya Kura za Maoni Viti Maalum UVCCM

  Katika Mkutano wa Baraza kuu la umoja wa vijana UVCCM, uliofanyika leo Agosti 8, 2020, zoezi la upigaji kura...

READ MORE

Mwanajeshi Aliyesaidiwa na CDF Aanika Mazito

Mwanajeshi wa Kikosi cha Jeshi namba 833 Oljoro Arusha, Tete Mwaipaya, amemshukuru Mkuu wa Majeshi nchini Venance Mabeyo kwa kumpa...

READ MORE

Jokate Kujenga Msikiti wa Ghorofa Kisarawe

MSIKITI mkubwa wa kisasa wa ghorofa mbili ambao utakuwa Msikiti wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani unatarajiwa kugharimu zaidi ya...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Atua Maonesho ya Nane Nane Simiyu

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari ametembelea katika maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya...

READ MORE

Majaliwa Aagiza ‘NBC Shambani’ Iwafikie Wakulima Wengi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza mawaziri wanaohusika na sekta za kilimo na fedha nchini kuhakikisha huduma mbalimbali za kifedha ambazo...

READ MORE

Waajiri Wafurahia Mfumo Wa Kutoa Taarifa Kwa Mtandao

  KUMEKUWA na mwitikio mkubwa kwa waajiri waliofika kwenye banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kutaka kujua jinsi...

READ MORE

Vodacom Tanzania yawa kinara wa makampuni ya mawasiliano kwenye maonesho ya Nanenane mkoani Arusha

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega (kushoto) akimkabidhi kombe la ushindi wa kwanza kwa makampuni ya Mawasiliano Mkuu wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Agizo kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi ihakikishe inaboresha utoaji wa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji...

READ MORE

Mwafunzi wa Sekondari Rannia Nasser aja na maonesho ya picha

    Mwanafunzi wa sekondari umri wa miaka 17 Rannia Nasser amezindua maonesho ya picha maarufu kama ‘WATU WA TANZANIA’...

READ MORE

Majaliwa Atembelea Banda la Nmb Maonesho ya Nane Nane Simiyu

  Katika maadhimisho ya Nane Nane kitaifa yaliyofanyika viwanja vya Nyakabindi Mkoa wa Simiyu, Benki ya NMB imewahakikishia wakulima kuwa...

READ MORE

Utata! Anayedaiwa Kufa Afufuka

MATUKIO ya watu sehemu mbalimbali nchini kudaiwa kufa na baadaye kupatikana wakiwa hai ‘kufufuka’, yanazidi kuzua utata miongoni mwa jamii,...

READ MORE

Presha Inapanda Wagombea Ubunge CCM

WAKATI vikao vya mchujo vikiendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kupata jina moja la mgombea atakayepeperusha...

READ MORE

Lissu Achukua Fomu NEC Kuwania Urais

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu,  amekabidhiwa fomu za kuwania urais katika uchaguzi...

READ MORE

Meli Iliyobeba Ammonium Nitrate Ilifikaje Beirut?

SERIKALI ya Lebanon imesema kuwa mlipuko mkubwa ulioharibu  maeneo kadhaa ya mji wa Beirut umesababishwa na tani 2,750 za kemikali...

READ MORE

Waziri Kilimo Azindua Mfumo wa Kuhakiki Mbegu na Pembejeo, ‘T-Hakiki’

WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga amezindua rasmi huduma maalum ya kuhakiki pembejeo inayofahamika kwa jina la ‘T-hakiki’.   T-Hakiki ni...

READ MORE

Ndege ya India Yaanguka, Yaua Watu 18

NDEGE ya abiria ya Shirika la Air India aina ya Boeing 737 iliyokuwa na watu 190 imeanguka katika uwanja wa...

READ MORE

Waziri wa Fedha Dkt. Philip Mpango Atembelea Banda la PPRA

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, leo Agosti 8,2020 ametembelea banda la Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma...

READ MORE

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 57 milioni kwa hospitali ya St Mary’s Kibara, Bunda

    Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi 57,881,360 kwa ajili ya watoto wanaozaliwa...

READ MORE

Wasiojulikana Wamuua Mjumbe – Video

MWANZA: Wakati mchakato wa kupitisha majina ya wagombea ubunge kupitia CCM ukizidi kushika kasi, ‘watu wasiojulikana’ wanadaiwa kumteka na kumuua...

READ MORE

Vyama vya Upinzani Vyagombania Rangi Nyekundu

VYAMA viwili vya upinzani nchini Uganda vimeingia katika mzozo juu ya haki ya kutumia rangi nyekundu huku kila chama kikidai...

READ MORE

Aliyemuua Mtoto Wake kwa Panga Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Bukoba imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Melchedes Burchard (30) mkazi wa Kiluluma mkoani Kagera kwa kukutwa na...

READ MORE

Sheikh Majini: Lissu Tumia Maneno ya Busara

MTABIRI na mtaalamu wa visomo na dua, Sheikh Sharrif Majini, amemtaka mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema),...

READ MORE

Maambukizi Virusi vya Corona Afrika Yafikia Milioni 1

ZAIDI ya watu milioni moja wameambukizwa virusi vya Corona barani Afrika.   Kwa mujibu wa takwimu za shirika la habari...

READ MORE

NCCR-Mageuzi Yateua Wagombea Urais – Video

VYAMA vya siasa nchini Tanzania vimeendelea kupitisha majina ya wagombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, hatua ambayo...

READ MORE

Kisa Barakoa; Wananchi Waadhibiwa Usiku Uwanjani

BAADHI ya wananchi wa Rwanda wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kupewa adhabu ya kukaa saa kadhaa na kusikiliza hotuba,...

READ MORE

Mrembo Afariki Akipiga Picha Kwenye Maporomoko

MWILI wa mrembo Jemima Oresha aliyetumbukia katika maporomoko ya Thompson Falls Nyahururu nchini Kenya, umeopolewa juzi Jumatano, Agosti 5, 2020...

READ MORE

Abbas: Miaka 5 ya JPM, Pato Limekua Kwa Kasi – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas leo Agosti 7, 2020, ame pato la taifa limekua kwa kasi kutokana na shughuli...

READ MORE

Miaka 22 Shambulio Ubalozi wa Marekani Dar, Nairobi

MWAKA 1998, Agosti 7, majira ya saa 4 asubuhi, siku ya Ijumaa katika mitaa ya Dar es Salaam na viunga...

READ MORE

Msumbiji Yadaiwa Kituo cha Wapiganaji wa Islamic State

  MAREKANI imetahadharisha kuwa makundi ya wanamgambo yameendelea na operesheni zake nchini Msumbiji katika eneo la Kaskazini la Cabo Delgado...

READ MORE

Trump: Biden Atamkasirisha Mungu

RAIS  wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa “Joe Biden anakwenda kinyume na Mungu”. Trump ameyasema hayo kufuatia kauli ya Biden ...

READ MORE