Rais wa TFF Wallace Karia atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamini Mkapa. Karia amesema...
READ MOREKUFUATIA kifo cha aliyekuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Benjamin William Mkapa...
READ MORE Irene John ni binti mwenye uwezo mkubwa wa kimasomo ambapo ameweza kufaulu vizuri masomo yake ya sayansi na kupata...
READ MORERAIS MAGUFULI atangaza siku saba za maombolezo ya kifo cha Marehemu Benjamin Mkapa,bendera kupepea nusu mlingoti kuanzia leo Ijumaa Julai...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Rais Mstaafu...
READ MOREManispaa ya Kinondoni leo imekabidhi vyombo vya moto vya usafiri Bodaboda na Bajaji vyenye thamani ya shilingi milioni...
READ MOREKamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (RPC), Gilles Muroto amesema chanzo cha kifo cha Mwenyekiti wa BAWACHA, Kata ya...
READ MORETume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebadilisha kwa majina ya majimbo ambapo Jimbo la Chilonwa litaitwa Chamwino, Mtera linaitwa Mvumi...
READ MOREMFULULIZO wa matukio ya ajali za moto katika misikiti na shule mbalimbali za Kiislamu jijini Dar es Salaam, yamewatikisa viongozi...
READ MOREJULIANA LUMUMBA, mtoto wa aliyekuwa waziri kuu wa kwanza wa nchi ambayo leo inajulikana kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,...
READ MOREMAOFISA kutoka katika baadhi ya hospitali jijini Antananarivo, Madagascar, wametahadharisha kuwa huenda maeneo ya kutoa huduma yakaelemewa na wagonjwa kutokana...
READ MORESERIKALI ya Marekani imeitaka China kufunga ubalozi wake mdogo katika jiji la Texas katika Jimbo la Houston, kufikia Ijumaa —...
READ MORESHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) na kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika (CDC) yameanzisha juhudi kuangalia uwezekano wa madawa...
READ MOREMAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga, Julai 13 mwaka huu, ilitenda haki kwa kumhukumu Yustine Robart (35) kunyongwa hadi kufa baada...
READ MORELiverpool Julai 22, 2020 wamepewa Kombe lao la Ubingwa wa EPL 2019/20 baada ya kumalizika mchezo dhidi ya Chelsea waliyowafunga...
READ MOREKATIKA hali ya kawaida ndoa inapovunjika, uhusiano kati ya mwanamke na mashemeji hukatika pia. Lakini kwa Stella Mutahi, kuvunjika kwa...
READ MOREWANASAYANSI wanasema wamechunguza vinasaba vya popo sita duniani. Maisha yao yanajumuisha kidokezo cha vinasaba vyao vinavyowafanya kuwa na kinga ya...
READ MOREWAKAZI 15 wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka mbalimbali ikiwemo...
READ MOREMti wa Mbuyu uliopo Chamwino, Dodoma ambao Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
READ MORERAIS John Magufuli ameeleza kutoridhishwa kwake na gharama zilizotumika katika ujenzi wa Jengo la ofisi za Ofisi Tume ya Kuzuia...
READ MORERAIS John Magufuli ameelezwa kukerwa na kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kuomba fedha kiasi...
READ MOREDar es Salaam, Julai 21, 2020 – Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amemshukuru Makamu wa Rais, Mama...
READ MORERAIS John Magufuli amevitaka vyama vyote vya siasa kufanya kampeni za staha na kuheshimu sheria za nchi, sheria na taratibu...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza rasmi kuwa tarehe 28, Oktoba, 2020 ambayo itakuwa...
READ MOREAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro...
READ MOREFredy Lowasa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa, Julai 21, 2020 ameibuka mshindi wa kura za maoni...
READ MOREAliyekuwa Mbunge wa Jimbo Sengerema katika Bunge lililopita, William Ngeleja ameshika nafasi ya pili akiwa na kura 120 katika kura...
READ MORERobert Maboto ameibuka kidedea kwa kupata kura 140 huku Mzee Stephen Wassira akiwa nafasi ya pili kwa kura 115. Namba...
READ MOREHamis Taletale maarufu kama Babu Tale ameongoza katika kura za maoni kwa kupata kura 318 Nafasi ya pili katika kura...
READ MORENaibu wa Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara ameibuka kidedea kwa kupata kura 291. Alikuwa Mbunge wa Ukonga Bunge lililopita James...
READ MOREMAHAKAMA ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu mkazi wa Katubuka Manispaa ya Kigoma/Ujiji, Jeremia Kilahunja (49), kifungo cha maisha jela kwa...
READ MOREMTIA nia wa ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kawe, ambaye pia ni msanii na mtangazaji...
READ MOREALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dkt. Vincent Mashinji, ameshindwa kura za maoni za Chama Cha...
READ MOREAliyewahi kuwa waziri wa Viwanda nchini na Mbunge wa Muleba Kaskazini mkoani Kagera, Dkt. Charles Mwijage (CCM) ameibuka kidedea katika...
READ MOREZARINAH Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ni mwanamama mrembo. Ni mfanyabiashara mwenye makazi yake pale Durban, Afrika Kusini. Zari ni...
READ MORE#BreakingNews: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kama ifuatavyo: Uteuzi wa...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewashukuru wale wote waliompa pole nyingi baada ya matokeo ya...
READ MOREWAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga, ameibuka kidedea baada ya kutangazwa mshindi wa kura za maoni wakati wa Mkutano Mkuu wa...
READ MORETakwimu za uchumi za hivi karibuni zinaonesha kuwa kuna kila sababu ya kuwa na matumaini na hali ya uchumi wa...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ameibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha...
READ MORE