×

Habari

Zimbabwe: Corona ni Adhabu kwa Ulaya na Marekani

WAZIRI wa Ulinzi wa Zimbabwe, Oppah Muchinguri,  amesema  virusi vya Corona ni adhabu kwa Marekani na Ulaya kwa kuiwekea nchi...

READ MORE

Utaratibu wa Kufuata Unapopoteza Kitambulisho cha NIDA

MAMLAKAya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa maelekezo kuhusu hatua za kufuata mtu anapopoteza kitambulisho chake ili aweze kupata kitambulisho kipya....

READ MORE

Arusha: Hoteli Aliyofikia Mgonjwa wa Corona Yafungwa, Hakuna Kutoka Ndani

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya mkoa huo umebainika kuwa na mgonjwa mmoja wa Corona...

READ MORE

Vodacom Tanzania yaja na Teknolojia ya kilimo

Mkurugenzi wa kitengo cha Vodacom Business, Arjun Dhillon (kushoto) akichangia mada kwenye mdahalo wa teknolojia ya kilimo ikiwa ni sehemu...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaahidi kuendelea kusaidia Wabunifu nchini

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia akizungumza na wageni waalikwa kwenye kufunga maadhimisho ya wiki ya...

READ MORE

Yanga: Simba SC Wanatuhujumu

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, amefunguka kuwa wamebaini kuwepo kwa kamati za chinichini kutoka kwa wapinzani wao Simba wanaotaka...

READ MORE

VODACOM YATAMBULISHA PEPPER ROBOT KWENYE MAONESHO YA UBUNIFU DODOMA

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Vodacom Tanzani ,Jaqueline Materu (kulia) akiwapa maelezo baadhi ya wananchi kuhusu kazi anazofanya roboti 

READ MORE

BMT yapongeza Kilimanjaro Premium Lager kwa udhaminiwa wa aina yake

BARAZA la Michezo la Taifa (BMT), limesema Kilimanjaro Premium Lager ni mfano pekee wa kuigwa katika udhamini wa mchezo wa...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Jishindie Ndinga Yatikisa Kibaha

ILE PROMOSHENI kubwa nchini ya Bahati Nasibu ambayo mshindi wa droo kubwa anatarajia kujishindia ndinga mpya kwa kusoma magazeti ya...

READ MORE

JPM Atua Kwenye Daraja Moro, Asimamisha Kazi Wahandisi 12, Amuonya Waziri – Video

RAIS John Magufuli leo amewasimamisha kazi wahandisi 12  wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Morogoro na kuwapa onyo...

READ MORE

Makonda Atoa Maagizo Kukabiliana na Corona

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku msongamano wa abiria katika vyombo vya usafiri, maeneo ya...

READ MORE

Mbowe Atangaza ‘Vita’ Aprili 4; ‘Hatuogopi Jela’ – Video

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,  amesema kutokana na ukimya kwa upande wa serikali...

READ MORE

Breaking News: Corona Yaingia Tanzania, Serikali Yathibitisha – Video

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amethibitisha kuwa Tanzania ina mgonjwa mmoja mwanamke (46)...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Waongezeka Kenya, Kenyatta Afanya Maamuzi

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amethibitisha kisa cha tatu cha maambukizi ya virusi vya Corona na kuamuru shule zote za...

READ MORE

Ewura Yataja Chanzo cha Mlipuko wa Gesi Moro

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Titus Gaguo amebainisha chanzo cha mlipuko wa gesi...

READ MORE

JPM Ashtukiza Ubungo, Aahirisha Mbio za Mwenge – Video

RAIS John Pombe Magufuli, amesitisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2020 zilizotarajiwa kuanza hivi karibuni ili kuepuka  maambukizi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Machi 16, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 16, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Msemaji Wa Serikali Ataja miradi Inavyotekelezwa, Atoa pole Kwa Waandishi – Video

Katibu Mkuu Wizara Ya Habari  na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi, leo Machi 15, 2020 amezungumza na wanahabari...

READ MORE

Maalim Seif Aukwaa Uenyekiti, Zitto Atetea Nafasi

Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, umemchagua Maalim Seif Sharif hamad, kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa kura 337,...

READ MORE

Video: Muna Afunguka Kuolewa, Kubadilisha Dini

Msanii wa filamu nchini, Rose Alphone ‘Muna Love’ amefunguka juu ya maisha yake usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi...

READ MORE

Harmonize Afunika Mlimani City (Picha +Video)

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Abdul Kahali maarufu Harmonize au Konde Boy usiku wa kuamkia leo alijaza umati mkubwa wa mashabiki...

READ MORE

Utajiri Au Umaskini Unatokana Na Wewe!

SIKU moja nilifundisha mahali na nikatoa changamoto kuwa kila mtu anaweza kupata muda wa kusoma kitabu kama akiamua.   Nilieleza...

READ MORE

Mambo 4 ya Kujifunza Kuachana Mondi na Tanasha

SIYO stori tena kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameachana na baby mama wake mwingine, Tanasha Donna, raia...

READ MORE

Moto wa Gesi Wateketeza Nyumba Moro, Waandishi 4 Wajeruhiwa

WAANDISHI wa habari wanne Mkoani Morogoro wameungua moto wakati wakifuatilia tukio la nyumba kuwaka moto katika eneo la Msamvu Mizambarauni,...

READ MORE

Watu wa Buza Wanataka Gari

WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wa maeneo ya Buza na maeneo ya Kijiwe Samli wamejinasibu kununua kwa wingi...

READ MORE

Ndinga Mpya ya Championi, Spoti Xtra Yatua Arusha

VIJANA wa siku hizi wanasema, mambo ni yente au safi ndani ya Jiji la Arusha, wenyeji hupaita R-Chuga, hii ni...

READ MORE

Prof Lipumba: Mashinji Amewaokoa Chadema Kufungwa – Video

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba,  amesema kitendo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vincent...

READ MORE

Ummy: Hakuna Mgonjwa wa Corona Hospitalini Mawenzi

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu,  leo Machi 14, 2020, amewatoa hofu Watanzania kuwa...

READ MORE

Magereza Yakanusha Kutesa Wafungwa, Kuwapima Ukimwi Hadharani

JESHI la Magereza nchini limesema kauli zilizotolewa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walipotoka gerezani si za...

READ MORE

Trump Atangaza Hali ya Hatari Janga la Corona

RAIS wa Marekani,  Donald Trump,  ametangaza hali ya dharura kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona, pamoja na upatikanaji wa...

READ MORE

Corona: A. Villa, Brighton Zatoa Chakula kwa Wasio na Makazi!

VILABU vya England(Uingereza) aya Aston Villa na Brighton  & Hove Albion FC vimechangia zaidi ya milo 1,300 ikiwa misaada kwa...

READ MORE

Corona: Rwanda Yapiga ‘Stop’ Timu za Soka Kwenda Nje ya Nchi

SERIKALI ya Rwanda imevitaka vyama vya michezo nchini humo kusimamisha ratiba zote za kimichezo ambazo zinaitaka Rwanda kwenda kushiriki nje...

READ MORE

Umoja wa Ulaya Wamvaa Trump Kisa Corona, Ajibu Mapigo – Video

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kauli yake ya kuwazuia watu kutoka Bara la Ulaya kuingia Marekani haikupaswa kusubiri hadi...

READ MORE

Wasomaji wa Championi, Spoti Xtra Wazidi Kuliwania Gari

WAKAZI wa Jiji la Dar, maeneo ya Manzese, Magomeni, Kigogo-Sambusa, Buguruni na vitongoji vyake Machi 13, 2020 walipitiwa na kikosi...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

    Katika historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika,Tanzania  baada ya kupata uhuru ndiyo nchi iliyosimamia kupatikana kwa uhuru...

READ MORE

Polepole Afunguka JPM Kumlipia Msigwa

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, amesema uamuzi wa  mwenyekiti wa chama hicho, Rais...

READ MORE

Mnyika, Heche, Salum Mwalimu Watoka Gerezani – Video

Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu, Salum Mwalimu na mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche wametoka gereza...

READ MORE

Serikali Yavunja Mkataba wa Lugola

DODOMA: SERIKALI imetangaza kuvunjwa kwa mkataba tata kati ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Kampuni ya ROM Solutions wa...

READ MORE