×

Habari

Mahakama Yaamuru Heche, Msigwa, Bulaya, Mdee Wakamatwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo...

READ MORE

Rais Magufuli Awapigia Simu Wasanii, Awapa Milioni 100 – Video

Rais Dkt. John Magufuli amempigia simu Rais wa Chama cha Muziki Tanzania, Ado Novemba na kumweleza kuwa kuwa anafuatilia shughuli...

READ MORE

Mkwasa aweka kambi Uwanja wa Uhuru

HATIMAYE Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ameamua kuhamishia kambi ya mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa...

READ MORE

NMB Yawapiga Msasa Wabunifu Ufundi

  MKURUGENZI wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amewaasa wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kada ya ubunifu na ufundi kutumia benki...

READ MORE

Pretty:Tungemjua Mungu, Bongo Muvi isingekufa!

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amesema, kama waigizaji wa Bongo Muvi wangemjua Mungu, basi hata filamu...

READ MORE

Lema Akamatwa Hai Kwa Agizo La Ole Sabaya – Video

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai (Chadema), Helga Mchomvu, leo Alhamisi Novemba 14,2019 wamekamatwa...

READ MORE

Airtel yazindua Airtel 4G kuboresha mawasiliano nchini

        Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imetangaza kuzindua huduma ya Airtel 4G ikiwa ni muendelezo...

READ MORE

MAFANIKIO YA KITUO CHA UWEKEZAJI KIPINDI CHA JPM

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeeleza mafanikio kiliyopata kuanzia Novemba, 2015 hadi Septemba, 2019 katika kipindi cha utawala wa Rais...

READ MORE

Balama Apagawa Na Mkwasa Yanga SC

BAADA  ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Balama Mapinduzi ‘Penseli’  kufundishwa kwa muda mfupi na kaimu kocha mkuu wa Yanga ,Charles...

READ MORE

Shamsa: Gabo ananipatia

MREMBO kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anapenda kuigiza na mwigizaji Ahmed Salim ‘Gabo Zigamba’ kwa sababu ni msanii...

READ MORE

Waoaji kulipa kodi badala ya Mahari

Ni takribani miezi minne sasa hakuna ndoa iliyofungwa  jimbo la Kano, nchini Nigeria tangu chifu wa eneo hilo kuanzisha malipo...

READ MORE

Video: Idris Amuomba Msamaha Rais Magufuli, Aelezea Kesi Yake Ilipofikia

Msanii wa vichekesho, Idris Sultan, leo Alhamisi Novemba 14, 2019 katika mkutano wake na waandishi wa habari, amemuomba msamaha Rais...

READ MORE

NYUMBA YA URITHI YAZUA BALAA

MSONDO Ngoma Music Band waliona mbali walipotoa wimbo wa Kilio cha Mtu Mzima, ambapo mashairi yake yanasema hivi:  “Tunatoana roho...

READ MORE

Mbunge Aliyesema Aliyewaponda Wahudumu wa ATCL Aomba Radhi

MBUNGE wa Kigoma Kusini (CCM), Husna Mwilima leo Alhamisi, Novemba 14, 2019 ameomba radhi bungeni kufuatia kauli yake aliyoitoa kuhusu...

READ MORE

WAHITIMU UDSM KUTIMUA MBIO ZA HALF MARATHON

Kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa David Mfinanga leo aliwakaribisha wanahabari katika Kampasi...

READ MORE

Mtwara: Kijiji Chavamiwa, Watu Sita Wauawa kwa Risasi

Watu sita wameuawa katika kijiji cha Ngongo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara na wengine saba kujeruhiwa katika mpaka wa Tanzania...

READ MORE

NMB Yatoa Msaada Kusaidia Ujenzi Uwanja wa Mpira Chato

    BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni 30 kusaidia ujenzi wa...

READ MORE

Kijana Aamchinja Mama Yake Kisa Mti

Kijana James Otuma (53), katika Kijiji cha Lukume, Jimbo la Malava, Wilaya ya Kakamega nchini Kenya anashikiliwa na vyombo vya...

READ MORE

Waziri Kalemani Ateua Wajumbe wa Bodi TANESCO

Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani ameteua Bodi mpya ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) yenye wajumbe nane....

READ MORE

NSSF Yazindua Kampeni ya ‘Boresha Taarifa’ kwa Wanachama – Video

  SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) liko katika mchakato wa kuboresha taarifa za wanachama wake.   Hayo...

READ MORE

Mbowe Ashindwa Kuendelea Kujitetea Kisutu

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anayekabiliwa na kesi ya Uchochezi na wenzake katika Mahakama ya...

READ MORE

Video: Polepole Awanaga Wapinzani Kutoshiriki Uchaguzi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole,  leo Novemba 13, amevishambulia vyama vya upinzani vilivyotangaza...

READ MORE

Wauzaji Mbogamboga Soko Kuu Kariakoo Wajigamba na Betika

MAPEMA leo Jumatano Novemba 13, 2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Soko Kuu la Kariakoo...

READ MORE

Waliomuua RPC wa Mwanza Wahukumiwa Kunyongwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa wanne kati ya saba waliokuwa wanakabiliwa na kesi...

READ MORE

Michezo ya Kubahatisha Kuunganishwa na TEHAMA

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji amesema Serikali iko mbioni kuunganisha michezo yote ya kubahatisha katika mfumo...

READ MORE

Namna Ya Kurejesha Tumaini Lililopotea

NAMNA YA KUREJESHA TUMAINI LILILOPOTEA ( HOW TO RESTORE A LOST HOPE), ni kitabu kilichoandikwa kwenye lugha mbili; Kiingereza na...

READ MORE

Marlaw: Familia Yetu Ilitengana Baada ya Mama Kufariki

KABLA sijaanza kukufungulia Ukurasa mpya, bila shaka utakumbuka katika toleo la wiki iliyopita tulihitimisha simulizi safi kabisa kutoka kwa mrembo...

READ MORE

Hospitali ya Mombasa Yateketea kwa Moto

HOSPITALI ya Mombasa nchini Kenya imeteketea kwa moto, huku wagonjwa wakiokolewa na hakuna majeruhi wowote.   Imeelezwa kwamba moto huo...

READ MORE

Baba Azimia Baada ya Mwanaye Amebakwa – Video

INAUMA sana! Baba mmoja aliyejulikana kwa jina la Rashidi mkazi wa Manzese, Dar amejikuta akipoteza fahamu kutokana na tukio la...

READ MORE

Wema aongeza nguvu kumzima Mondi!

MAMBO yamezidi kuwa moto! Lile bifu kati ya mastaa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, Rajab Abdul ‘Harmonize’...

READ MORE

Bunge Kuridhia Itifaki ya Mitandao ya Tehama

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewasilisha Itifaki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Mitandao ya Teknolojia...

READ MORE

JPM Awataka Viongozi Wajenge Utaratibu Huu

Rais Magufuli amewataka viongozi wastaafu nchini kujenga utaratibu wa kuandika vitabu vinavyohusu maisha yao ili viwe chachu kwa vijana wanaotamani...

READ MORE

Wasanii Wamualika Mama Maria Tamasha la Mwalimu

Wasanii wa tasnia mbalimbali nchini, wamtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake, Msasani jijini Dar kumsalimia na kumualika kwenye Tamasha la...

READ MORE

Mama Adaiwa Kumzika Mtoto Wake Akiwa Hai

Polisi katika Wilaya ya Apac nchini Uganda wameanza uchunguzi dhidi ya mwanamama anayedaiwa kumzika akiwa hai mwanaye wa kiume mwenye...

READ MORE

Aveva, Kaburu, Hans Pope Kuanza Kujitetea

ALIYEKUWA rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na wenzake wawili,  wataanza kujitetea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Novemba...

READ MORE

Magufuli: ‘Nilinyweshwa Sumu Dodoma, Nikataka kujiuzulu’ -Video

RAIS John Magufuli amesema utendaji wake wa kazi ambao ulimfanya Rais Benjamin Mkapa akiwa madarakani wakati huo amsifie hadharani, ulisababisha...

READ MORE