×

Habari

Niyonzima, Mbonde Waanza Mazoezi Rasmi

KIUNGO machachali wa Simba, Haruna Niyonzima ambaye alikuwa ameingia kwenye hofu ya kukosa msimu kucheza mzima amejiunga na wachezaji wenzake...

READ MORE

MWIGULU: WAMEANDAA WATU WENGINE WAFYATUE RISASI – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inazuia kuwepo kwa maandamano ili kutoruhusu watu wachache wanaotamani Tanzania...

READ MORE

Maalim Seif Apongeza Waraka wa Maaskofu, Amjibu Prof. Lipumba

KATIBU Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amelipongeza Baraza la Maaskofu la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AWATAJA VIONGOZI ‘VILAZA’ – VIDEO

RAIS  John Magufuli amefunguka na kuwaambia viongozi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuwa ni...

READ MORE

UTAJIRI WA KIFO! MAMA YAMKUTA MAZITO KWA SANGOMA!

KUTAFUTA utajiri kwa njia za mkato hapa duniani kumewaponza wengi! Mama ambaye ni mfanyabiashara, Tabu Mwelege, mkazi wa Kijiji cha Kijiweni...

READ MORE

DOZI ZA MFARANSA ZAMTIA KIWEWE KOCHA NJOMBE MJI

BENCHI la Ufundi la Njombe Mji ya Njombe chini ya kocha mkuu, Ally Bushiri ‘Benitez’, limeibuka na kumwaga siri kuwa...

READ MORE

Baada ya Waraka Wao, JPM Awataka Maaskofu Wahubiri Viwanda – Video

IKIWA ni siku tatu baada Baraza la Maaskofu wa KKKT kutoa waraka kwa Taifa, Rais Dkt. John Magufuli amewaomba maaskofu...

READ MORE

Breaking News: Abdul Nondo Aachiwa Iringa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa leo Jumatatu, Machi 26, imemuachia Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania(TSNP), Abdul Nondo...

READ MORE

SIMBA WAGOMA KUMUUZA OKWI KWA WAARABU

  UONGOZI wa Simba, umedai kuwa hauwezi kumuuza mchezaji wao Mganda, Emmanuel Okwi kwa timu ya Al Masry na umesisitiza...

READ MORE

KIJANA ADAIWA KUUAWA KWA KIPIGO CHA POLISI

Kijana Allen Mapunda mkazi wa Kata ya Iyela anadaiwa amefariki jana Machi 25, 2018 saa chache baada ya kuachiwa kutoka...

READ MORE

Breaking News: Mwenyekiti UVCCM Taifa Atengua Uteuzi wa Jokate Mwegelo

Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM iliyokutana kwa dharura leo mchana chini ya Mwenyekiti UVCCM, Kheri James...

READ MORE

WATU 26 Wafariki Ajali ya Lori na Hiace Mkuranga

WATU 26 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya  gari dogo (Hiace) lililokuwa  likitoka Mkuranga kuelekea Kimanzichana mkoani Pwani,...

READ MORE

VIFO VYA WATU 26: JPM Amtumia Salam Mkuu wa Mkoa wa Pwani

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, kufuatia vifo vya watu 26...

READ MORE

TECNO YAZINDUA DUKA JIPYA LA ‘EXPERIENCE CENTER’ SAMORA DAR (Picha + Video)

KAMPUNI ya simu za mkononi, TECNO inayofanya kazi chini ya TRANSSION HOLDINGs imezidi kutanua wigo  wa soko la simu nchini...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MATAWI KANISA LA MTAKATIFU PETRO, DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri...

READ MORE

Lowasa na Mbowe Wasali Ibada Ya Jumapili KKKT Azania Front Posta

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu...

READ MORE

Ushirikiano wa Minara Tanzania Imewesha Huduma za ‘Live Streaming’

 Ufumbuzi wa ushirikiano wa minara Tanzania imewesha huduma za ‘live streaming’. Pata maelezo zaidi kwa kutazama video hii @VodacomTanzania...

READ MORE

Harusi Binti wa Bilionea Dangote Yatikisa, Kikwete, Bill Gates Wahudhuria

Sherehe ya kifahari ya binti wa Bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote aitwaye Fatima Dangote, yazua gumzo nchini humo kutokana...

READ MORE

MAALIMU SEIF AMTOLEA UVIVU PROF LIPUMBA

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha wanachi (CUF) , Maalif  Seif Sharif  Hamad amemtolea uvivi Mwenyekiti wa Chama hicho anayeungwa...

READ MORE

Askari Dodoma Wafanya Mazoezi ya Nguvu

ASKARI na maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Dodoma, leo Machi 24, 2018 wamefanya zoezi la utayari kwa...

READ MORE

Waraka Mzito wa Baraza la Maaskofu kwa Taifa Watikisa, Usome Hapa

BARAZA la Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametoa waraka mzito wa Sikukuu ya Pasaka ambao umesainiwa...

READ MORE

Marekani: FBI Aliyetambua Shambulio la Osama Afariki kwa Sumu

SHIRIKA la Uchunguzi la Marekani (FBI) limesema limempoteza mwanamama mmoja ambaye ni miongoni mwa waliotambua shambilizi la kigaidi la Septemba 11,...

READ MORE

‘Mwanamke’ Ampa Mimba ‘Mwanaume’, Ajifungua

INAFAHAMIKA dunia nzima kwamba wanawake ndiyo wanaobeba ujauzito, lakini je, umewahi kudhani kwamba inawezekana kwa mwanaume kubeba ujauzito kwa miezi...

READ MORE

NACTE Yavifungia Udahili Vyuo 163, Vilivyoruhusiwa Hivi Hapa

BARAZA la Taifa la Elimu na Ufundi (Nacte) limezuia vyuo 163 kudahili wanafunzi katika kozi mbalimbali ngazi ya astashahada na...

READ MORE

JPM Afanya Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki

  Rais Dkt. John Magufuli amemteua Prof. Lazaro S.P. Busagala kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC)....

READ MORE

WAFANYAKAZI NMB WATOA MILIONI 13 KUFANIKISHA UPASUAJI UGONJWA WA FISTULA CCBRT  

    WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Tanzania Kanda ya Mashariki wametoa msaada wa Shilingi Milioni 13 kwa Hospitali ya CCBRT...

READ MORE

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA ‘TERMINAL III’

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Kutoka Mahakamani: Babu Seya, Papii Kocha Waruhusiwa Kudai Fidia

  Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu(AfCHPR), imesema Mahakama za ndani Tanzania katika kesi ya kubaka na...

READ MORE

Walimu Dar Waandaliwa Tuzo Maalum Kuinua Ufaulu

  WAALIMU wa shule za msingi na sekondari wa Kata ya Kijichi Mkoa wa Dar es Salaam, wameahidiwa kufanyiwa ziara...

READ MORE

MTENGENEZA KUCHA ANUSURIKA KUUAWA NA MUME WA AFANDE

KIJANA mmoja anayejulikana kwa majina ya Khamis Ally amejikuta akipitia wakati mgumu kutokana na aina ya kazi anayoifanya ya kupaka...

READ MORE

Lori la Mafuta Lateketea Vibaya na Kuua Wawili Singida – Video

TAARIFA kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke,...

READ MORE

TAMASHA LA PASAKA LA MWANZA BAADAYE KUHAMIA  DODOMA

  KAMPUNI ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka nchini  ambalo ni la nyimbo za muziki wa Injili linalotarajiwa kufanyika...

READ MORE

MWITA ATAKA HALMASHAURI ZA DAR KUZIKA WASIO NA NDUGU

MSTAHIKI Meya wa  Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, amezitaka halmashauri zote  katika jiji lake  kuajiri watumishi watakaozika watu...

READ MORE

WATANZANIA WATUNUKIWA WARSHA YA KUENEZA UMEME ITALIA

 WATANZANIA wawili wataalam katika mradi wa kueneza umeme vijijini wamepata tuzo kwenye Warsha ya Uwekezaji ya Umoja wa Kueneza Umeme...

READ MORE

Ungana na Mitandao Ya Simu Kubadilisha Maisha Ya Watanzania

 Kuungana kwa Vodacom, Tigo na Airtel katika kutumia minara na kuleta mtandao wa 3G kijijini Nyombo na kubadilisha maisha...

READ MORE

Mama Aliyedhalilishwa Akijifungua Kulipwa Sh. Milioni 56.5

MAHAKAMA Kuu nchini Kenya imeamuru mwanamke aliyeteswa na kudhalilishwa wakati wa kujifungua hospitalini, Josephine Majani, alipwe fidia ya dola 25,000...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Kumkashifu Rais Magufuli

JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Nyakisasa iliyopo Tarafa ya Rulenge wilayani Ngara,...

READ MORE

Halotel Yawapa Tabasamu Wateja Wenye Kipato cha Chini

  KATIKA kuendana na kasi ya ukuaji wa  teknolojia ya mawasiliano  nchini, Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya...

READ MORE

Siri za Mauaji ya Kwenye Viroba Zafichuka!

  DAR ES SALAAM: Siri ya mauaji ya watu na miili yao kukutwa kwenye viroba kando ya bahari na mito...

READ MORE