
Browsing Category
Kitaifa
CRDB leo Yakabidhiwa Cheti cha Viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA
Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao…
Kesi ya Shambulio la Mwili Kusikilizwa Jumatatu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili jumatatu inayomkabili mfanyakazi wa benki, Ibrahim Masah ambaye anatuhumiwa kumshambulia kwa nyundo jirani…
Tanesco Watoa Tamko Kuhusu Hitilafu Iliyojitokeza Katika Gridi ya Taifa
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuhusu hitilafu iliyojitokeza katika Gridi Taifa leo tarehe 08 Disemba 2023 majira ya saa 04:14 asubuhi, hitilafu hiyo ilipekea mikoa inayopata umeme kutoka katika Gridi ya Taifa…
Benki ya NBC, Taasisi ya Benjamini Mkapa Wazindua Ufadhili wa Mafunzo ya Ukunga kwa Wauguzi 50
Morogoro, Benki ya NBC kwa kushirikaina na taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation wamezidua rasmi utekelezaji wa mpango wa ufadhili wa masomo ya ukunga kwa wauguzi 50 kati ya 100 wanaonufaika na mpango huo ikiwa ni muendelezo wa jitihada…
Absa Tanzania Yazindua Mfumo wa Malipo ya Kadi za Benki Kupitia Simu za Mkononi
Absa MobiTap inawezesha wauzaji kupokea malipo ya kadi za benki kutoka kwa wateja kwa kutumia simu janja kama mashine ya kuchanjia kadi.
Benki ya Absa Tanzania imezindua Absa Mobi Tap – ambayo ni suluhisho la kwanza la aina yake…
CEO NMB Ashiriki Mkutano wa Benki ya Dunia, Akutana na Rais wa Taasisi Hiyo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid Term Review) unaofanyika kwa siku tatu Zanzibar.
Huu ni Mkutano wa 20, lengo likiwa ni kufanya tathmini ya Muda wa…
Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF Afanya Ziara ya Kikazi Makao Makuu
*Aahidi ushirikiano wa kutosha kufanikisha utendaji wa Mfuko
*Mkurugenzi Mkuu aweka wazi mafanikio na mikakati ya uboreshaji huduma
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Mwamini Malemi,…
Wananchi Ngorongoro Wanahamishwa Kwa Kuzingatia Haki za Binadamu
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda amesema Wananchi wa Ngorongoro wanaohamishwa kutoka eneo la hifadhi kwenda kijiji cha Msomera Handeni mkoa wa Tanga wamehamishwa kwa kuzingatia haki za binadamu.
Mhe.…
Airtel Kutoa Intaneti na Mawasiliano Bure Hanang
Kampuni ya simu za Mkononi Airtel imeoneshwa kuguswa na tukio la waathirika wa wilaya ya Hanang na kuungana na watanzania wote kuwapa mkono wa pole waathirika.
Mkurugenzi wa Airtel bw, Dinesh Balsinghn amewaambia waliokumbwa na…
Benki ya NMB Yasaidia Wahanga wa Mafuriko Hanang
Wahanga wa mafuriko Wilayani Hanang, Mkoani Manyara, waliopoteza ndugu zao, makazi, pamoja na mali, wamepatiwa misaada ya kibinadamu na Benki ya NMB.
Misaada hiyo inajumuisha magodoro, vyakula na vifaa vingine, ikiwa lengo ni…
NMB Yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2023
Benki ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye shindano la mwaka huu la Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi wa pili kwenye mshindi jumla wa tuzo hizo zilizoandaliwa jana jijini Dar es Salaam na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE).…
Naibu Waziri Mwana FA ‘Anogesha’ Tamasha la Exim Bima Festival, Atoa Neno
Dar es Salaam: Disemba 4, 2023: Naibu Waziri Wa Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), mwishoni mwa wiki alipamba msimu wa kwanza wa Tamasha la Bima Festival lililoratibiwa na benki ya Exim Tanzania huku…
Kongamano la SHILO laanza kwa kasi
KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati Askofu Dk. Getrude Rwakatare.
Uzinduzi wa kongamano hilo la siku nane ambalo…
Fao La Huduma ya Utengamao Kuongeza Faraja: Prof. Ndalichako
SERIKALI kupitia Mfuko wa Fidia kwa Wafanmyakazi (WCF) imetangaza Fao jipya la Huduma ya Utengemao wa Kijamii (Social Rehabilitation) kwa wafanyakazi wanaopata ulemavu na magonjwa yatokanayo na kazi na hivyo litawaongezea faraja,…
Wahitimu 15 Shahada ya Udaktari HKMU Wapewa Neno
CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali itoe ruzuku kwa vyuo vikuu vinafsi ili kuvijengea uwezo kuboresha miundombinu yake, kusomesha wahadhiri na mifumo yake ya Teknolojia ya Habari na…
Daktari Mdogo Kuliko wote HKMU atoa Neno Kuhitimu Akiwa na Umri Mdogo
MHITIMU wa fani ya udaktari ambaye ni mdogo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert kairuki (HKMU), Ahlam Azam Mohamed, ametoa siri ya namna alivyofanikiwa kuhitimu akiwa na miaka 21.…
Tanzania Kuwa Mwenyeji Mkutano wa Kimataifa Kujadili Changamoto za Usonji na Utindio wa Ubongo
Tanzania inatazamiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimatifa unaolenga kujadili changamoto zinazohusiana na usonji na utindio wa ubongo utakaofanyika tarehe 2 hadi 3 Disemba mwaka huu katika ukumbi wa Julius Nyerere International…
Serikali Kwa Ushirikiano na Wadau wa Hamburg Kuimarisha Bustani za Majiji
SERIKALI kwa kushirikiana na wadau kutoka nchi ya Hamburg ,wameonyesha dhamira ya uboreshaji wa bustani mbalimbali zilizopo katika miji ikiwemo mji wa Dar es Salaam ambao itawasaidia kuongeza pato ya nchi kwa kupitia watalii wanaoingia…
TET na Taasisi Tano Zisizo za Kiserikali Zasaini Makubaliano Kuboresha Elimu Nchini
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) leo tarehe 29/11/2023 imesaini makubaliano na taasisi tano zisizo za kiserikali yenye lengo la kuboresha elimu nchini katika nyanja mbalimbali.
Taasisi hizo ni pamoja na Project Zawadi…
Msimu Huu wa Sikukuu, Airtel Money na WhiteBall Wazindua ‘Cheza Ushinde’
Wateja wa AIRTEL MONEY kupata fursa ya kujishindia pesa,simu, TV na PikiPiki
msimu huu wa sikukuu kila siku na kila wiki
28 th November, 2023
Airtel Money kwa kushirikiana na WhiteBall leo wamezindua mchezo mpya wa…
Dk Gwajima: Msiishie Kukomenti Mitandaoni Zuieni Ukatili wa Kijinsia
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amewataka watu wasiishie tu kukomenti kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na matukio ya ukatili wa kijinsia kwa sababu suala la hilo ni la…
NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ Kukopesha Gesi ya Kupikia
BENKI ya NMB imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx Gas Tanzania, yaliyopewa jina la 'Moto Mkali Bei Poa', ambao ni mpango mkakati unaolenga kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala ya…
Tuzo za Wakuu na Watendaji Wa Makampuni 100 Bora Tanzania Kuchochea Ufanisi Kazini
TUZO za wakuu na watendaji wa makampuni 100 bora zaendelea kuwa chachu ya maendeleo Nchini kwa kuendelea kufanya kazi zaidi katika kuchochea ufanisi wa kazi.
Ukiwa ni msimu wa tatu wa Tuzo za wakuu na watendaji wa Kampuni…
NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023
Huu ni mwaka wa pili mfululizo kwa Benki ya NMB kupata tuzo hizi.
Jumla ya Tuzo ilizopata Benki ya NMB ni:
Mshindi wa Jumla Kitaifa: Taasisi inayolipa Kodi kubwa zaidi nchini Tanzania (Sekta zote).
Mshindi wa Jumla…
Washindi wa Droo ya Saba ya Y9 Microfinance Wapatikana
Washindi wa Droo ya saba ya Y9 Microfinance wamepatikana ambapo mshindi wa pikipiki anaitwa Anorld Jacob huku mshindi mwingine wa simu akitokea Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kuchezesha droo hiyo Mkurugenzi wa mauzo na…
Shule za St. Mary’s Zaendelea Kung’ara Darasa la Saba
SHULE za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa alama A kwenye matokeo yao.
Katika matokeo yaliyotangazwa jana na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA),…
Kampuni ya T-PESA: Maadhimisho Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa Umeleta Chachu Katika Utoaji Elimu…
KAMPUNI Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, T-PESA imesema kuwa uwepo wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa umeleta chachu katika utoaji wa elimu kwa Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kuhusu huduma mbalimbali…
CMSA: Upatu Haramu Unafilisi
MAMLAKA ya masoko ya mitaji na dhamana (CMSA) imeitaka jamii kujihadhari na upatu haramu kwani ni hatari kwa maendeleo na Taifa kwa ujumla.
Meneja uhusiano wa CMSA, Charles Shirima, ameyasema hayo jijini Arusha kwenye maadhimisho ya wiki…
Benki ya NBC Yashirikiana Taasisi Sita Kuongeza Ukusanyaji Wa Mapato Zanzibar
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini hati ya Makubaliano (MOU) na taasisi sita za Serikali ya Mapinduzi Zanzbar (SMZ) yanayotoa fursa kwa benki hiyo kutumika kukusanya malipo mbalimbali ya Serikali kupitia mtandao na mfumo na wa…
REA Yafikisha Umeme Kwenye Vijiji 455 Mkoani Lindi
Jumla ya vijiji 455 kati ya 524 vya Mkoa wa Lindi vimekwishafikishiwa huduma ya umeme na kazi inaendelea katika vijiji 69 vilivyosalia, ambapo hadi kufikia Desemba 30 mwaka huu, vyote vitakuwa vimefikiwa.
Hayo yamebainishwa Novemba…
Agizo La Naibu Waziri Mkuu Kufikisha Huduma Ya Umeme Mtwara Laanza Kutekelezwa
KUPELEKA WAKANDARASI KUFANYA TATHIMINI MADIMBA NA MSIMBATI KABLA TA UTEKELEZAJI
WAKALA wa Nishaji Vijijini (REA) umeanza utekelezaji wa maagizo ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa kuwafikishia huduma ya umeme wakazi wa…
NSSF Ilifanya Uamuzi Wa Kizalendo Kutoa Fedha Kwa Ajili Ya Ujenzi Daraja La Nyerere, Kigamboni
*Yampongeza Mama Samia kwa kuruhusu matumizi ya bando, yawahamasisha wananchi kutumia mfumo huo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), imesema uamuzi wa kujengwa kwa Daraja la Nyerere, Kigamboni jijini…
Kesi ya Shambulio la Mwili Kuendelea Kusikilizwa Mwezi Desemba
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma za shambulio la mwili Desemba 7,2023 inayomkabili mfanyakazi wa Benki moja hapa nchini, Ibrahim Masahi ambae anatuhumiwa kumshambulia kwa nyundo jirani…
NBC Yatoa Elimu ya Kifedha kwa Wanafunzi Shule ya Sekondari Tambaza
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba kwa wanafunzi wa Shule ya Shule ya Sekondari Tambaza iliyopo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo…
Hizi hapa sababu za NMB kuipa kipaumbele miradi ya kijani
NMB yabainisha sababu za kuipa kipaumbele miradi rafiki kimazingira
Benki ya NMB imesema imeanza kuzingatia kwa karibu masuala ya uhifadhi wa mazingira katika uendeshaji wake na kufadhili miradi mbalimabli kutokana na umuhimu wake…
Hafla Ya Uzinduzi wa Mauzo ya Hisa za Upendeleo za Kampuni ya TCCIA Investment Plc Yafaana!
Serikali kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) ina jukumu la kuweka mazingira wezeshi ya kisera, kisheria na kiutendaji ili kuwezesha upatikanaji wa rasilimali fedha za kugharamia shughuli za maendeleo.
Kadiri Taifa…
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini Aagiza Miradi Ikamilike Kabla ya Desemba 2023
ATAKA WAKANDARASI KUHAKIKISHA UBORA NA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amewaagiza wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini katika Wilaya za…
Serikali Yaipa REA Bil 170 Utekelezaji Miradi ya Umeme Mtwara
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Dotto Biteko amesema serikali imetoa BILIONI 170 kwa ajili ya utelekezaji wa miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) mkoani Mtwara.
Dkt Biteko ameiagiza REA kufanya tathimini…
Waziri Mkuu Majaliwa: WCF ipo, Utaishi Vizuri na Utatunza Familia Yako”
WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amemuhakikishia Mnufaika wa Fidia inayotolewa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bi. Halima Sheikh Mbwana, kuwa ataendelea kuishi kwa furaha ikiwa ni pamoja na kutunza familia yake kwani WCF ipo.…