×

Uwazi

Waliovuna Mishahara ya Watumishi Hewa Wawajibishwe

Rais Dk. John Pombe Magufuli Machi 15, mwaka huu alitoa amri kwa wakuu wa mikoa nchi nzima kuhakiki watumishi hewa...

READ MORE

Ahukumiwa kunyongwa kwa kumchoma kisu mwenzake kilabuni

Stori: Francis Godwin, UWAZI IRINGA: MKAZI  wa Kidamali, Wilaya ya  Iringa mkoani Iringa, Joseph Balami (pichani) amehukumiwa  kunyongwa hadi kufa...

READ MORE

Naibu waziri aeleza kiama cha simu feki

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Edwin Amandus Ngonyani. Elvan Stambuli na Sifaeli Paul Naibu Waziri wa Ujenzi,...

READ MORE

Walotupiga watumishi hewa nao wapigwe

Rais Dk. John Pombe Magufuli. INAKARIBIA miezi sita sasa tangu Rais Dk. John Pombe Magufuli aapishwe kuwa kiongozi wa awamu...

READ MORE

Undani familia iliyofukiwa na udongo Kawe

Marehemu Efrem Manguli ambaye ni baba wa watoto wawili  Fredy Manguli na Daniel Manguli ambao nao walifariki. Stori: Makongoro Oging’ na Issa...

READ MORE

Fahamu mbinu 10 za vigogo kusafirisha unga

Viatu vya kimasai  na zana nyingine zinazotumika kama urembo ambavyo vimetajwa kama zana muhimu zinazotumiwa katika usafirishwaji wa madawa hayo....

READ MORE

Mtaa wavamiwa, watu wacharangwa mapanga

Mmoja wa wahanga hao akiwa na majeraha mwilini mwake. Stori: Issa Mnally na Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Wakazi...

READ MORE

Gari la serikali lanaswa baa usiku

Gari hilo la serikali aina ya Toyota Hilux likiwa limepaki baa. Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI MOROGORO: KIKOSI cha Oparesheni Fichua...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Ili Nitajirike 013

ILIPOISHIA Kiukweli alinichanganya sana, hapohapo nikamuona akitoka katika sura ya Mudi na kurudi katika sura ya moja ya maiti niliyowahi...

READ MORE

Huyu Ndiye Rubani wa Kwanza Mwanamke Tanzania Kurusha Boeing Airbus

KATI ya wanawake wa Kitanzania waliopeperusha bendera yetu vizuri nje ya nchi kielimu ni Kapteni Hilda Wendy Ringo ambaye sasa...

READ MORE

Droo ya 3 Shinda Nyumba

Makala: Andrew Carlos WASHINDI waliopatikana katika droo ya tatu ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Kampuni ya Global...

READ MORE

Rais Auawa na Msanii Kwenye Jumba la Sinema

Hebu vuta picha, mheshimiwa rais amejumuika na familia yake katika uzinduzi wa filamu kwenye ukumbi maarufu nchini, wasanii mbalimbali wa...

READ MORE

Viwanda vya Saruji Vinahitaji Bei Elekezi

NCHI inatikisika, kila idara ya serikali inaguswa na hakuna mtu aliyejihakikishia kuwa yupo salama hasa kama ameboronga, awe mkubwa, wa...

READ MORE

Kilichojificha mgogoro wa Zanzibar -7

Tunaendelea kufafanua kuhusu mgogoro wa Zanzibar, endelea: Jumapili 12, 1964 asubuhi, Waziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje wa Tanganyika,...

READ MORE

Mchina anyongwa ndani ya gari Dar!

Polisi wakichukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI Mfanyabiashara raia wa China aliyetambulika kwa jina...

READ MORE

Mfanyabiashara achezea sharubu za Makonda!

Kituo kikiwa kimeng’olewa kutokana na ujenzi wa kituo cha kuuzia mafuta, GBP. Stori: Issa Mnally na Makongoro Oging’, UWAZI Mkurugenzi...

READ MORE

Wauza ‘unga’ wahaha kumnasua Shkuba

Ali Khatibu Haji ‘Shkuba’. Stori: Elvan Stambuli, UWAZI DAR ES SALAAM: Ziko taarifa kwamba, wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya...

READ MORE

Dunia imefika mwisho

Sayari ya Nibiru ikionekana kuikalibia Dunia kwa kasi. Stori: Oscar Ndauka, UWAZI DAR ES SALAAM na mitandao: Ile Sayari ya...

READ MORE

Ustadhi mbaroni kisa upotevu wa mwanandoa

Ustadhi Swamadu Ramadhan Samata. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Mwalimu Mkuu wa Chuo cha Madrasa ya Vingunguti, Wilaya...

READ MORE

Makonda, Ukawa wananchi Dar wanawategemea

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona leo. Baada ya kusema...

READ MORE

Anaswa akisafirisha madawa kwenye viatu

Stori: Mwandishi Wetu, UWAZI ARUSHA: Mtu mmoja aitwaye Hamisi Mohamed,47, (pichani) Mkazi wa Kondoa Mkoa wa Dodoma, amekamatwa na Jeshi...

READ MORE

Benki Kuu yatoa tamko wanaonunua sarafu ya 500

Gavana wa Benki kuu, Benno Ndulu. Stori: Hashim Aziz, UWAZI Dar es Salaam: Kumekuwepo na madai ya muda mrefu mitaani...

READ MORE

Siri mpya Freemason zafichuka!

Jayantilal Keshavji Chande ‘Sir Andy Chande’. Stori: Waandishi Wetu, UWAZI DAR ES SALAAM: Imebainika kuwa, taasisi inaayodaiwa kuwa na imani...

READ MORE

Tajiri aliyedaiwa kuua kwa risasi, mazito tena!

David Kalangula enzi za uhai wake. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Mazito yameibuka kuhusu bosi wa...

READ MORE

Mbaroni kwa kumfanya mke wa mtu ‘msukule’

Christina Itembe anayedaiwa kuchukuliwa msukule. Stori: Igenga Mtatiro, UWAZI MARA: Polisi Kituo cha Turugeti, Tarime, inamshikilia Agness Otaigo Marwa mkazi...

READ MORE

Rais Magufuli, Sumatra iangaliwe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. NIWAPONGEZE wote waliovuka salama katika kipindi cha Sikukuu ya...

READ MORE

Jumanne MheroNgoma: Mvumbuzi wa Tanzanite-2

Baada ya kuibiwa jiwe lake hilo la Tanzanite, akili ya Ngoma ilifanya kazi haraka na akaamua kwenda kupata leseni ya...

READ MORE

Kilichojificha mgogoro wa Zanzibar -6

Tunaendelea kuwasimulia kilichojifisha katika mgogoro wa kiasa Zanzibar. Karume, ateta na Mwalimu Katika mfululizo wa matangazo yake redioni Jumanne, Januari...

READ MORE

Mambo 6 usiyoyajua kuhusu… Yemi Alade

Yemi Alade Machi 13, 1989 katika Jimbo la Abia nchini Nigeria alizaliwa staa wa muziki anayewakilisha Afrika kwa sasa, Yemi...

READ MORE

Fedha za Majini Zilivyoniendesha Puta-07

ILIPOISHIA Walikuwa hawawezi kunywa wenyewe. Walikuwa kama watu waliopooza. Ilibidi niwanyweshe. Uji ulikuwa moto lakini walikunywa hivyo hivyo kwa sababu...

READ MORE

Panya Road, majambazi wanaovaa madera kusakwa nyumba hadi nyumba

Kamanda Muroto. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke jijini Dar, ACP...

READ MORE

Mastaa wa Mchiriku na Taarab… Kukinukisha Pasaka Dar Live

Khadija Kopa MASTAA kibao wa Muziki wa Mchiriku na Taarab wakiongozwa na Msaga Sumu na Khadija Kopa wanatarajiwa kukinukisha Machi...

READ MORE

Uchaguzi umeisha, Tatizo bado lipo!

UCHAGUZI wa marudio wa Zanzibar umefanyika na kumalizika Jumapili iliyopita katika Visiwa vya Unguja na Pemba. Hadi makala haya yanaandikwa,...

READ MORE

Wasomaji wengine kunufaika tena droo ya 3

BAADA ya kufanyika kwa kishindo kwa droo ya kwanza na ya pili, wasomaji wengi wamejiandaa kwa wingi kunyakua zawadi nono...

READ MORE

Jide agawa tuzo kwa marafiki

MKONGWE wa  Muziki wa R&B na Afro-Pop, Judith Wambura ‘Jide’ usiku wa kuamkia Jumapili aligawa tuzo kwa marafiki zake wa...

READ MORE

Serikali: Makanisa mengi nchini hayajasajiliwa

Stori: Hashim Aziz, UWAZI Dar es Salaam: Wakati Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli akihimiza...

READ MORE

Wauza sukari wamhujumu Rais Magufuli

Sukari. Stori: Makongoro Oging’, UWAZI DAR ES SALAAM: Upatikanaji wa sukari nchini kwa bei ya Sh. 1,800 iliyotangazwa na serikali...

READ MORE

Hoteli ya kigogo NSSF yazua gumzo

Meneja wa Miradi Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Injinia John Msemo. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI...

READ MORE

Shule yafungwa kisa, Maruweruwe

Wanafunzi wakiwa nje baada ya mabweni yao kuungua. Wanafunzi wamegoma kulala mabwenini, naibu waziri atoa ushauri MBEYA: Wanafunzi wa Shule...

READ MORE