The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

AFYA.

Maumivu ya mgongo kwa mjamzito

WAJA-WAZITO wengi huumwa mgongo bila kujua sababu, leo nitaeleza kwa kina nini husababisha tatizo hilo kwa mjamzito.  Uongezekaji wa uzito wa mtoto tumboni, uongezekaji wa maziwa na uzito sehemu mbalimbali za mwili wa mjamzito,…

Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi

TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio kwenye umri wa kuzaa na wale waliomaliza majukumu yao ya uzazi.  Tatizo linapojitokeza huleta athari nyingi kwa mwanamke kwa kumfanya ashindwe kupangilia mipango…

Chanzo cha maradhi ya moyo kwa watoto

KABLA ya kubeba ujauzito ni muhimu mwanamke ajiandae kwa miezi sita. Katika kipindi hicho, anapaswa kula vyakula bora.  Mwanamke anapaswa kuwa makini katika kipindi cha wiki 12 za kwanza za ujauzito. Ni muhimu kwani ndipo ambapo viungo…

HATARI YA UTI WA MGONGO (Meningitis)

UGONJWA wa mgongo huathiri sehemu inayofunika ubongo na uti wa mgongo, yaani utandu. Ubongo unafunikwa na sehemu au tandu tatu nyembamba za seli ili kuitenganisha na fuvu la kichwa. Tandu hizi zinaweza kuathirika na kusababisha hali…

Fahamu tatizo la shinikizo la damu!

SHINIKIZO la damu ni miongoni mwa matatizo yanayoathiri watu wengi. Nini maana ya shinikizo la damu?  Ni ile hali inayotokea pale msukumo wa damu katika mishipa yake unapokuwa juu kwa muda mrefu kuliko inavyotakiwa. Katika hali ya…

Madhara ya kutoa mimba!

KUTOKANA na kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walioko kwenye mahusiano, wasichana wengi kwa sasa wanatoa mimba.  Zaidi ya asilimia tisini ya wasichana wanaokua kwenye mahusiano…

Fahamu Madhara Sita ya Kutoa Mimba

KUTOKANA na kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wengi walioko kwenye mahusiano, wasichana wengi kwa sasa wanatoa mimba.  Zaidi ya asilimia tisini ya wasichana wanaokuwa kwenye…

Tatizo la mtoto wa jicho! (cataract)

MTOTO wa jicho kwa lugha nyingine huitwa cataract hutokana na kufanyika kwa ukungu katika lensi ya jicho. Mtu aliye na ukungu huu kuona kwake ni sawasawa na mtu anavyoona nje kupitia dirisha la kioo lenye ukungu wa barafu au maji…

Ugonjwa wa UTI kwa wajawazito -2!

MAAMBUKIZI ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea ambavyo kitaalamu hujulikana kama E. Coli. Vimelea hawa huishi kwenye mfumo wa chakula bila kuleta madhara yoyote wawapo humo, ila wakiingia kwenye njia ya mkojo huleta…

Athari za vidonge vya uzazi wa mpango

VIDONGE vya uzazi wa mpango, ni moja ya njia inayopendekezwa na wataalamu wa mpango wa uzazi katika kuzuia mimba.  Hadi sasa kuna aina kuu mbili tu za vidonge vya uzazi vinavyotumiwa na wanawake katika mpango huo, ingawa aina zote hizo…

Usiyoyajua kuhusu ugonjwa wa kisukari

WASOMAJI wengi wa safu hii wamenitumia sms na kutaka kujua chanzo cha mtu kuugua kisukari, wengine wanadhani kula sukari nyingi husababisha ugonjwa huo.  Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula…