Shika Ndinga ya EFM Yaja kivingine 2018
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
KITUO cha Redio cha Efm kimetimiza miaka minne tangu kilipoanzishwa mwaka 2014, kikiwa na wafanyakazi kumi ambapo kwa sasa kinakadiliwa kuwa na wafanyakazi…
