Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda Julai 14, 2024 amekabidhi jumla ya fedha taslimu shilingi Milioni 38 za Kitanzania kwa washindi wa vipengele mbalimbali vya mashindano ya pikipiki ya Samia Motocross Championship.
Kelvin…
Bibi ameongea kwa uchungu mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kuwa mjukuu wake amebakwa na aliyembaka baada ya kufika mahakamani amemgeuzia kesi bibi huyu kuwa anamtaka kimapenzi ndiyo maana anamsingizia amembaka mjukuu wake.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa TAKUKURU Mkoa wa Arusha kuanza uchunguzi dhidi ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Injinia Juma Hamsini na baadhi ya wasaidizi wake kutokana…
MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ili ahudhurie katika kesi aliyoifungua dhidi yake na Serikali. …
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeruhusu kufunguliwa kwa kesi ya jinai dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Ruhusa hiyo ni majibu kwa Saed Kubenea ambae aliwasilisha maombi katika mahakama…
Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa tamasha la Afro Vasha nchini Kenya, huku wasanii kutoka Tanzania Alikiba na Harmonize wakiwa kwenye orodha ya wasanii watakotumbuiza siku ya tarehe 11 na 12, mchekeshaji Eric Omondi amewaomba…
Mahakama ya Hakimu mkazi Kinondoni imeridhia ombi la mawakili wa Mwandishi wa Habari, Said Kubenea la kuondoa maombi ya kuwashtaki Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)…
Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
Nunua 👉Gazeti la SpotiXtra
AU
NUNUA 👉SpotiXtra
iOS 👉 …
ALIYEKUWA mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kwa sasa sio lazima ateuliwe au apigiwe kura kuwa kiongozi, anaweza kuongoza hata familia yake.
Ameyasema hayo jana Jumanne Aprili 20, 2021…
ALIYEKUWA kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameonyesha kuumizwa zaidi na msiba wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amesema kuwa bado…
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya jirani ya Kanda ya Ziwa katika zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe…
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameungana na wakazi wa jiji la Mwanza na mikoa ya jirani ya Kanda ya Ziwa katika zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe…
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo Jumanne, Septemba 22, 2020.
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na mkewe, Maria, wamepata watoto wengine wawili ambao ni mapacha wa kiume na wa kike.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda amethibitisha kuwa mkewe Maria…
MCHAKATO wa uteuzi wa wagombea ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umefikia tamati Agosti 20 mwaka huu kwa kushuhudia baadhi ya sura mpya za vijana zikichanua, huku wimbi kubwa la wengine machachari wa chama hicho, wakipewa…
Siku chache baada ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwakata baadhi ya wagombea ubunge wengi wakiwa ni vigogo, wametoa ya moyoni kuhusu uamuzi uliofanywa dhidi yao, huku wakimtaja Mungu.
Wakizungumza…
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imetangaza wateule wa nafasi za Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 huku jina la Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda likikatwa.
Muda mchache baada ya zoezi hilo…
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Jumatatu, Agosti 3, 2020, amekabidhi ofisi kwa Mkuu wa Mkoa huo mpya, Aboubakar Kunenge, ambapo amemshukuru Rais John Magufuli kwa kumwamini na kumvumilia.
…
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi rasmi ofisi hiyo kwa Mkuu wa Mkoa Mpya wa Dar, Aboubakar Kunenge, leo Jumatatu, Agosti 3, 2020 katika ofisi hizo zilizopo Ilala, jijini Dar es Salaam.
…
ZOEZI lililopangwa kufanyika leo Agosti 1, 2020, la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda, kukabidhi rasmi ofisi kwa mkuu mpya wa mkoa huo, Aboubakar Kunenge, limesogezwa mbele hadi Jumatatu Agosti 3, 2020, kufuatia Kunenge…
ALIYEKUWA Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni ambaye anawaia kutetea kiti chake, Dkt. Faustine Ndugulile ameongoza katika matokeo ya kura za maoni zilizopigwa leo Julai 20, 2020 huku akimzidi mpinzani wake…
Rais Dkt. John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar akichukua nafasi ya Paul Makonda. Kabla ya uteuzi huo, Kunenge alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar. Leo Julai 15, Makonda amechukua fomu kuomba ridhaa ya…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempokea mkuu mpya wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe, na kumpa maelekezo haya:
"Ndugu yetu Godwin Gondwe karibu Temeke, umeongezewa watu kwa hiyo umeongozewa hata changamoto,…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amemwelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, kuhakikisha wanawashughulikia ipasavyo baadhi ya vijana walioanza tabia ya kupora na kuiba mali za watu, …
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya Mikoani na nje ya nchi ya Mbezi Louis ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia 70% kuhakikisha Ujenzi huo unakamilika na…
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, leo Mei 6, 2020, ametoa Saa 24 kwa wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya bunge na kwenda Dar es Salaam "kula bata" kuhakikisha wanarudi bungeni na kwamba tofauti na hapo watakamatwa…
MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemshauri Waziri wa Maliasili na Utali, Dk. Hamis Kigwangalla kuchapa kazi na kuachana na mitandao.
Amesema hayo kupitia akaunti yake ya Twetter baada ya waziri huyo kutuhumiwa…
SERIKALI imetangaza rasmi kuwa wasafiri wote kutoka nchi zilizoathirika na ugonjwa wa virusi vya Corona, watalazimika kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maarufu kama hosteli za Magufuli.…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewashangaa baadhi ya wananchi wa mkoa huo waliofunga biashara zao kisha kujifungia ndani wakiogopa kuambukizwa ugonjwa wa covid 19 unasababishwa na virusi vya corona.
Makonda…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul makonda leo April Mosi ameruhusu Pikipiki na Bajaji kuingia katikati ya Jiji kwaajili ya Kubeba Abiria kwa Sharti la kuhakikisha wanavaa Kofia ngumu (helmet) na kutokuingia katika Barabara ya Mabasi…
Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
Bonyeza hapa kununua >>Risasi <<
Bonyeza hapa kununua >> Championi <<
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza kupulizwa dawa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo kuanzia leo, ili kuua vijidudu vinavyoeneza magonjwa vikiwemo virusi vya corona ambavyo vimeathiri watu kumi na wawili nchini hadi…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema Mwenyekiti Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesitisha mpango wake wa kuitisha mikutano ya hadhara nchi nzima iliyokuwa imepangwa kuanza Aprili 04, 2020 baada ya mwanae kuugua Corona.…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amemtaka mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi kutoka katikati ya jiji kuelekea Mbagala, kuongeza kasi ili mradi huo wenye kugharimu zaidi ya Sh. bilioni 200…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema anatarajia kupeleka muswada binafsi bungeni, kutaka itungwe sheria ambayo itamka mwanamume ambaye ni mfanyakazi, kukatwa asilimia 40 kwa ajili ya mke wake ambaye ni mama wa nyumbani.…
Kufuatia kuendelea kuwepo kwa wakandarasi wanaosuasua katika ukamilishaji wa miradi ya kupunguza kero kwa Wananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameunda timu ya wataalamu 13 kutoka Serikalini na Sekta binafsi watakaokuwa…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa hana mashaka na kuwa Rais Magufuli ataendelea kushikilia nafasi hiyo, kwani hana mpinzani kutokana na utendaji wake wa kazi.
Makonda ametoa kauli hiyo leo Februari…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka Viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kushikamana na kufanya kazi kwani ninwajibu wa Viongozi hao kufanya kazi kwa niaba ya wananchi kwani wanauwezo wa kuleta mabadiliko makubwa Katika Mkoa…