Anayedai Kuwa Mtoto Wa Mzee Yusuf Aibuka; Baba Amenikataa – Video
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamad Hassan Mashauri mwenye umri wa miaka 18, mkazi wa Charambe Magengeni jijini Dar es Salaam, ameibuka na kudai kuwa yeye ni mtoto wa mkongwe wa muziki wa Taarab nchini, Mzee Yussuf almaarufu…
