TRA Yakusanya Shilingi Trilioni 13 Julai hadi Desemba 2023/24
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/24 (Julai hadi Septemba) imekusanya shilingi trilioni 6.58, sawa na ufanisi wa asilimia 97.53 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni…
