Ajali Yaua Watu Wawili Iringa, Mwili wa Mwanamke Wakutwa Umeungua Moto-Video
Watu wawili ambao bado hawajafahamika majina yao wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha magari wawili aina Semitela Faw moja lenye usajili wa namba T 286 CKG na lingine lenye namba za usajili KDE 492K kugongana Februari…