The House of Favourite Newspapers

Morata Anukia Atletico Madrid

KUNA taarifa kuwa Chelsea ipo tayari kumruhusu Alvaro Morata kujiunga na Atletico Madrid. Habari zaidi zinaeleza kuwa Morata anafukuziwa pia na timu za Bayern Munich, Borussia Dortmund, PSG na Roma. Watu walio karibu na Morata…

Juventus, Atletico Zamuwinda Saka

KLABU za Juventus na Atletico Madrid zimeanza harakati za kutaka kumsajili beki kisiki wa Arsenal, Bukayo Saka. Saka alionyesha kiwango cha juu kwenye michuano ya Kombe la Euro mwaka huu lakini mwanzoni mwa msimu huu bado hajawa kwenye…

Lingard Kutimkia Atletico

MSHAMBULIAJI wa Manchester United Jesse Lingard anawindwa na timu ya Atletico Madrid, na kuna uwezekano mkubwa timu hiyo ikamuuza. Kinda huyo alifanikiwa kuonyesha kiwango cha juu akiwa na West Ham msimu uliopita, na aliaminika…

Chelsea, Atletico Kimeuamana

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya inataraji kuendelea tena saa 5:00 usiku wa leo kwa michezo miwili ya mkondo wa pili hatua ya 16 bora, mabingwa watetezi, Bayern Munich watawakaribisha Lazio huku wakiwa na faida ya mabao 4-1 ilhali Atletico…

Morata Kuanza na Real Madrid

ALVARO Morata, ambaye amejiunga na Atletico Madrid kwa mkopo, ataanza kuonyesha cheche zake dhidi ya timu yake ya zamani, Real Madrid. Atletico itavaana na wapinzani wao wa jadi, Real Madrid kwenye mechi ya La Liga…