The House of Favourite Newspapers

Chirwa Arudi Kivingine Azam

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, amerejea baada ya kupata majeraha kwenye misuli ya mguu wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu uliochezwa Oktoba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Azam FC ikiwa…

Dube, Chirwa Kulamba Tuzo Azam

MASTAA wa Azam FC, Mzimbabwe, Prince Dube na Obrey Chirwa wanatarajiwa kulamba tuzo ndani ya kikosi hicho baada ya uongozi wa timu hiyo kuanzisha tuzo za mwezi za timu hiyo. Mastaa hao sambamba na wengine wa kikosi hicho…

Chipolopolo Yampa Mzuka Chirwa

BAADA ya kuitwa kwa mara ya kwanza kwenye timu ya Taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’, straika wa Azam FC, Obrey Chirwa amefunguka kuwa ataendelea kujituma ili aendelee kuitwa kwenye timu hiyo kwa mara nyingine. Staa huyo wa Azam…

Chirwa Sasa Mguu Mmoja Yanga

SASA Yanga washindwe wenyewe kwa Obrey Chirwa, unaweza kusema kuwa ameshaingiza mguu mmoja! baada ya uongozi wa timu ya soka ya Azam FC, kuanza harakati za kumtafuta mbadala wake. Inaelezwa kuwa Azam wanamtafuta mbadala…

Kocha Azam; Chirwa Atafunga Sana

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa mshambuliaji wao Obrey Chirwa atafunga mabao mengi msimu huu kwa kuwa tayari ameshaanza kuonyesha hali ya kujiamini ndani ya uwanja. Chirwa juzi alianzisha safari ya kwanza…

Chirwa, Ngoma pasua kichwa Azam

KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo linaipasua timu hiyo ni washambuliaji wake kutotumia vyema nafasi wanazopata.   Safu ya ushambuliaji ya Azam FC inaongozwa na Obrey Chirwa, Donald Ngoma…

CHIRWA ABAKI AZAM YA KIMATAIFA

MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo tukio ambalo litafanyika Jumamosi. Awali Chirwa ambaye ni Mzambia ligoma kusaini mkataba mpya na…

Kingue, Chirwa wagoma Azam

KIUNGO wa Azam FC , Stephan Kingue raia wa Cameroon ni kama amegomea mkataba mpya ndani ya Azam FC baada ya kukataa kusaini akiwa bado mkataba wake wa awali haujafikia tamati. Siyo huyo tu,Obrey Chirwa nae amezidi kuweka ngumu baada ya…

AZAM WALA HAWAMUELEWI CHIRWA

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado haujaelewa mshambuliaji wao Obrey Chirwa nini anakitaka kwa sasa kutokana na kutowapa jibu lolote juu ya kuongeza kwake mkataba ndani ya Azam FC. Chirwa alisajiliwa na Azam FC msimu huu kwa mkataba…

Yanga na Chirwa watauana

TANGU mwaka jana Azam na Yanga wamekutana mara tatu kwenye mashindano mbalimbali lakini takwimu zinaibeba Azam. Timu hizo zinapamba kesho Jumatatu kwenye mechi ya Ligi itakayopigwa ndani ya Uwanja wa Uhuru badala ya Taifa…

Chirwa atuma salamu Yanga

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, ameweka wazi mikakati yake kuhusiana na mechi ya Jumatatu ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Azam FC itapambana na Yanga katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kwenye Uwanja wa…

Ngoma Fresh Azam, Chirwa Bado

AZAM FC imetangaza kumuongeza mkataba mshambuliaji wake, Donald Ngoma huku wakiwa bado kwenye mazungumzo na Obrey Chirwa ambaye inadaiwa amekuwa akisumbuasumbua kusaini. Ngoma alijiunga na Azam FC mwanzoni mwa msimu huu…

Chirwa Anarudi Yanga SC

OBREY Chirwa amewaambia washikaji zake pale Yanga kwamba anatamani kurudi Jangwani ingawa Azam wanamlipa mkwanja mzuri. Mzambia huyo alikuwa Yanga akatimkia Misri kwa madai kwamba njaa ilizidi lakini Hans Pluijm akamvuta Azam…

Chirwa amkimbiza straika Azam

Ujio wa Obrey Chirwa umesababi­sha Ditram Nchimbi aondolewe katika kikosi cha Azam. Nchimbi alikuwa tegemeo kwenye kikosi cha Njombe Mji iliyoshuka daraja msimu uliiopita wa Ligi Kuu Bara kabla ya kusajiliwa na Azam, lakini…

Donald Ngoma amvuta Chirwa Azam

BAADA ya uongozi wa Azam FC kupitia kwa meneja wake, Philipo Alando kutoa nafasi ya kocha wao, Mholanzi Hans van Der Pluijm kumsajili aliyekuwa straika wa Yanga Mzambia, Obrey Chirwa endapo ripoti yake itampendekeza, kuna ushawishi…

Chirwa Mbioni Kutua Azam

STRAIKA wa zamani wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa amezua gumzo la aina yake kwa mashabiki wa Yanga baada ya kuonekana amevalia jezi ya Azam FC na kuamini kwamba atajiunga na timu hiyo kwenye dirisha dogo ingawa Kocha Hans Pluijm…