The House of Favourite Newspapers

Mwanaheri: Umachinga Unaniokoa

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed amefunguka kuwa umachinga anaoufanya nje ya uigizaji umemsaidia kwa sababu isingekuwa hivyo maisha yangekuwa ni magumu kwani sanaa hailipi tena kama ilivyokuwa awali. Akizungumza na Over Ze…

Mwanaheri: Sina Papara ya Kuzaa

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa japokuwa ameingia kwenye ndoa hivi karibuni lakini hana parapara ya kupata mtoto kwanza mpaka afurahie maisha ya ndoa kidogo na mumewe ndipo anaweza kuzaa. Msanii huyo…

MWANAHERI ANASWA NA KIDUME HOTELINI

NANI alisiyejua kama ubuyu ni mtamu jamani! Na ukitaka kuula vizuri, lazima uupatie nafasi ya kutosha kuumung’unya taratibu! Sasa ubuyu wa motomoto unatonya kuwa, mwigizaji mwenye mvuto Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ amenaswa na kidume…

Mwanaheri Niacheni Na Funga Yangu

Stori: Mayasa Mariwata, Amani, Tatu Tamu MSANII wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa, anawashangaa watu wanaodhani kuwa katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu ataendelea kuishi maisha yake ya siku zote kwa kufanya mambo…

Scene za Mapenzi Zamtesa Mwanaheri

 MAYASA MARIWATA, GAZETI LA AMANI, HABARI MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed, amefunguka kuwa, suala la kucheza ‘sini’ (scene) za kimapenzi kwenye filamu huwa linamtesa hasa linapokuja suala la kumlaghai mwanaume.…

Mwanaheri akataa posa

DAR ES SALAAM: Mwigizaji anayekuja juu kwa kasi kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Mwahaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kufuatia kutokuwa tayari kuolewa, alishatolewa posa mara nane lakini akazikataa zote. Akizungumza na Wikienda,…

Mwanaheri: Umbo langu linanitesa

Stori: Imelda Mtema MSANII anayekuja vizuri kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed ametoa dukuduku lake la moyoni kuwa umbo lake limekuwa likimtesa sana na mara  nyingi amekuwa hawezi hata kukatiza sehemu waliokaa vijana wa kiume.…

MWANA ATOBOA SIRI YA MUMEWE

MUIGIZAJI mahiri wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed ametoboa siri ya mumewe kuwa ambacho kinamfanya ampende zaidi ni kwa sababu habanwi hata kidogo kwenye kufanya mambo yake ya kumuongezea kipato tofauti na wanaume wengine.  …

MWANA: USTAA MWISHO GETINI

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ ameibuka na kueleza kwamba ustaa wake unaishia getini na hauingii kwenye ndoa yake ili usije kuivunja kama ilivyozoeleka kutokea kwa mastaa wenzake. Akipiga stori na Za…

Mwana, Niva Bifu Zito

Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ WAIGIZAJI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ na Zuber Mohamed ‘Niva’ wanadaiwa kuwa kwenye bifu zito, kisa kikitajwa kuwa ni msanii mwenzao, Riyama Ally. Uchunguzi wa Za Motomoto News ulibaini…

Mwana: Tuungane Kuukabili ‘Unga’

WAKATI Taifa likiwa katika vita dhidi ya matumizi, usambazaji na usafi rishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’, muigizaji wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ amewataka mastaa wote kuungana pamoja ili kulikabili janga hilo la kitaifa.…

Kisa Riyama… Mwana achaniwa nguo!

Riyama Ally NA IMELDA MTEMA DAR ES SALAAM: Msanii wa filamu anayekuja kwa kasi Bongo, Mwanaheri Ahmed hivi karibuni alikumbwa na dhahama alipokatiza Mtaa wa Kongo, Kariakoo jijini Dar baada ya kuchaniwa dera lake kisa kufananishwa na…