The House of Favourite Newspapers

Kichuya Atibua Hali ya Hewa Simba

SHIZA Kichuya mzee wa kona bao, ametibua hali ya hewa Simba kutokana na uwezo anaozidi kuonyesha kwenye mazoezi ya timu yake hiyo kiasi cha kuwatisha wachezaji wengine wanaocheza nafasi kama yake. Kichuya amejiunga na Simba kwenye…

Yanga Yamrudisha Tambwe Dar

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umedaiwa kuwa upo kwenye harakati za kutaka kumrudisha Mrundi, Amissi Tambwe kikosini hapo kwa ajili ya kuiongezea nguvu safu ya ushambuliaji ya timu hiyo. Hatua hiyo imekuja baada ya kutovutiwa na…

Yanga: Tunawapiga Nje Ndani

LEO fanya hivi, angalia mechi ya Liverpool na Newcastle kwa kipindi kimoja tu, baada ya hapo nenda Uwanja wa Taifa kuwasapoti wakimataifa, Yanga watakapokuwa wakicheza na Zesco ya Zambia. Yanga leo Jumamosi inakuwa mwenyeji wa…

Ajibu, Mkude Wanogesha Mazoezi Stars

 WACHEZAJI nyota wa Klabu ya Simba wakiongozwa na John Bocco, Ibrahim Ajibu na Jonas Mkude ambao walikuwa nchini Afrika Kusini jana, walinogesha mazoezi ya Taifa Stars baada ya kufanya kwa mara ya kwanza. Wachezaji hao hawakuwa wameripoti…

Wabunge Yanga SC waanza na Manji

WAJUMBE wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga ambao miongoni mwao ni wabunge wenye ushawishi, wanasikia kwa mbaali nyayo za Yusuf Manji akirejea klabuni hapo. Ingawa wanafanya mambo yao kwa siri sana lakini Championi Jumamosi linajua kwamba…

Bocco, Kagere waweka rekodi Taifa

WASHAMBULIAJI Wa Simba, Meddie Kagere na John Bocco, juzi Jumamosi wamefanikiwa kuandika rekodi katika Uwanja wa Taifa baada ya kuongoza timu hiyo kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.   Ndani ya siku tano,…

Kakolanya Mguu Mmoja Simba

HABARI mbaya kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba, kuna uwezekano kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya akatua Simba kabla ya dirisha dogo la usajili halijafungwa. Yanga wamekuwa wakichukulia suala la mchezaji huyo kama masihara kwa…

TFF Yapangua Kikosi Cha Simba

KIKOSI cha Simba ambacho kitashuka dimbani kesho kumenyana na Stand United kitakuwa na mabadiliko makubwa kutokana na sababu mbalimbali. Simba, kesho Jumapili itakuwa Uwanja wa Taifa kusaka alama tatu muhimu mbele ya Stand…

MKUDE APEWA MCHONGO UFARANSA

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude ameshtuka na sasa ameweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo na kwenda Ulaya kucheza soka la kulipwa huku kocha Mzungu akisimamia mchakato wote. Mkude ni mmoja kati ya viungo tegemeo kikosini humo na…