Kaimu Kamishna TANAPA Awataka Makamishna Wapya Kupiga Kazi Usiku Na Mchana
Kaimu Kamishna wa Uhifadhi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Juma Kuji amewataka Makamishna Wasaidizi wachapakazi wapya, kufanya kazi kwa bidii mchana na usiku ili kuliletea heshma Jeshi hilo na Nchi kwa ujumla.
Kaimu…