The House of Favourite Newspapers

JACK PEMBA ASUSA MAGARI YA BILIONI 1

BAADA ya kufunguliwa kesi na tajiri mwenzake, Godfrey Kirumira wa nchini Uganda, Pedeshee Jack Marshal Pemba, ametikisa baada ya kuibuka kwa stori kwamba kumbe aliyasusa magari yake matatu ya kifahari yenye thamani ya zaidi ya shilingi…

Bella, Jack Pemba Wazua Gumzo

LICHA ya msanii wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ kuwahi kukiri kwamba amemwagana na aliyekuwa mpenzi wake, tajiri Jack Pemba ambaye ni Mbongo anayefanya biashara zake nchini Uganda, hivi karibuni wamezua gumzo baada ya kuonekana…

Bella Kuwadi wa Jack Pemba?

Dar es Salaam: Miss Ruvuma wa mwaka 2008, Isabella Mpanda ‘Bella’ amefungukia ishu ya kusemekana kwamba hajawahi kutoka kimapenzi na Pedeshee wa Kibongo, Jack Pemba zaidi ya kutumika kama kuwadi kwa jamaa huyo. Gazeti…

ZARI ROHO NGUMU AISEE!

Kifo cha mama mzazi wa staa ambaye ni mjasiriamali Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Matovu Hassan ‘Mama Zari’ (58) kilichojiri Alhamisi iliyopita nchini Uganda, kimeibua gumzo ambalo si la nchi…

Isabela Aichezea Sharubu TCRA

MWANAMAMA kutoka kiwanda cha muziki Bongo, Isabela Mpanda anaonekana kuichezea sharubu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ baada ya hivi karibuni kutukana matusi ya nguoni kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram…

Bela Ampiga Benchi Mzungu

Na HAMIDA HASSAN| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Ujio wa mfanyabiashara wa Kibongo mwenye maskani yake nchini Uganda, Jackson Akim Pemba ‘Jack Pemba’ ndani ya Jiji la Dar umemfanya msanii wa muziki wa Kundi la…

Mrembo Abakwa na bodaboda

Mrembo anayedaiwa kubakwa na bodaboda. Hamida Hassan na Gladness Mallya, Risasi DAR ES SALAAM: Mrembo mmoja (jina linahifadhiwa), mkazi wa King’ong’o nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, hivi karibuni alipata wakati mgumu baada ya vijana…

Diamond akacha shoo ya zari

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. MUSA MATEJA Habari ya mjini! Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua utata kwa mashabiki wake baada ya kukacha kuzama kwenye pati iliyokuwa imeandaliwa na mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss…

Yanga Jeuri, Simba Kiburi

Wachezaji wa Yanga, Ngoma (kushoto) na Kamusoko (kulia). Waandishi Wetu, Dar es Salaam DAWA ya Jeuri ni Kiburi, Yanga na Simba leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa zinapambana katika mechi ya Ligi Kuu Bara huku nyuma yake kukiwa na vita…