The House of Favourite Newspapers

Watu Wazidi Kumchangia Jini Kabula

MUDA mfupi baada televisheni ya mtandaoni inayoongoza kwa kutazamwa na wat wengi zaidi ya Global TV Online kujitokeza kuendesha kampeni maalum ya kumchangia fedha za kusaidia matibabu na huduma kwa mwigizaji Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’…

Dada: Jini Kabula Ameruhusiwa

BAADA ya kuugua wiki kadhaa na kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar akisumbuliwa na matatizo ya afya ya akili baada ya malaria kupanda kichwani, hatimaye staa wa Bongo Muvi, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameruhusiwa…

Kwa Hili,Tumuombee Jini Kabula!

KAMA kiumbe mwenye vinasaba na utoshelezi wa binadamu kamili, hakika nilizipokea kwa masikitiko makubwa mno taarifa za kuugua kwa msanii wa filamu wa muda mrefu, Miriam Nyafulwa Jolwa maarufu kwa jina la Jini Kabula. Kabula ni…

Ulokole wa Jini Kabula Feki!

Ubuyu: Gladness Mallya | Ijumaa Wikienda DAR ES SALAAM: Ubuyu mtamu wa Wikienda! Licha ya mwanamama kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ kutangaza kuachana na mambo ya kidunia na kumrudia muumba wake ‘kuokoka’,…

Jini Kabula aswekwa lupango

Stori: IMELDA MTEMA, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Kibano! Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amejikuta kwenye mikono ya sheria na kuswekwa lupango baada ya  kumtukana shosti yake, Miss Kinondoni 2009, Stella Mbuge.…

Jini Kabula, Lulu Diva Pachimbika

Lulu Abbasi ‘Lulu Diva’ Ubuyu: Hamida Hassan, Wikienda  DAR ES SALAAM: Pamechimbika! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na shostito wake kipenzi ambaye ni video queen maarufu, Lulu Abbasi ‘Lulu Diva’, wameingia kwenye…

Jini Kabula Aibu Yake!

Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’. Aibu yake! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amen-aswa akikata ulabu hadi akawa ‘bwii’ huku akiwa amevaa kivazi ambacho kilimuacha nusu utupu hivyo kuibua minong’ono kwa waliomshuhudia.…

Jini kabula amwanika wa ubani wake

Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’. NA gladness mallya MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni alimwanika mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kuambatanisha na maneno ya kimahaba.…

Kabula Amchana Live Mr. Chuz

SANII wa kitambo kwenye anga la sinema Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amemchana live mzazi mwenzie ambaye pia ni msanii mwenzake, Jumanne Kihangala ‘Mr. Chuz’ kwa kumtaka aoe, aache kutangatanga. Kabula alimpa makavu hayo baba mtoto…

Hofu Yatanda Walipo Mastaa Hawa!

MIONGONI mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu…

Ngoma Mpya:Miss Bella – Sepa

Ni official Audio kutoka kwa Isabela Mpanda aka Miss Bella, mwana dada mahiri katika sanaa ya u miss Ruvuma mwaka 2006 na kuwa top 10 ya Miss Tanzania mwaka huo huo, ndiye aliyekuwa katika kundi la Music la Scorpion Girls,…

Jokate Amtamani Rihanna!

MWANAMITINDO Jokate Mwegelo amefunguka kuwa pamoja na kukutana na wanamuziki mashuhuri, Shawn Carter ‘Jay Z’, Beyonce Knowles na mchezaji Thiery Henry, mwingine anayetamani kukutana naye maishani ni mwanamuziki Robyn Fenty ‘Rihanna’…

Lulu Atamani Kuzaa

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka wazi kuwa kwa umri alionao, imefika wakati na yeye anatamani sasa kuzaa. Akizungumza na 4-Tamu hivi karibuni baada ya kubanywa maswali mawili matatu, Lulu hakusita…