Kassim Majaliwa: Tanzania Imepiga Hatua Kwenye Mawasiliano
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na teknolojia ya habari.
Amesema kuwa mipango na mikakati iliyowekwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika…