The House of Favourite Newspapers

MAYANJA KUIBEBA KMC KAGAME

UONGOZI wa timu ya KMC, jana ulimtambulisha Mganda, Jackson Mayanja kuwa ndiye kocha wao mkuu ambaye ataanza kazi kwenye michuano ya Kombe la Kagame. KMC iliondokewa na kocha wao, Ettiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC na…

Mbinu za Pluijm, Mayanja zafanana

Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Waandishi Wetu, Dar es Salaam MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimekolea, ushindani sasa unaanza kuonekana kuwepo kwa timu tatu za juu ambazo ni Yanga, Azam na Simba, lakini wakati presha ikiwa kubwa…

Mayanja ndiye bosi Simba Sc

Hans Mloli na Nicodemus Jonas MECHI tatu, ameshinda zote, hajafungwa bao lolote. Huyu ni Jackson Mayanja ambaye alisaini Simba kama kocha msaidizi lakini taarifa zimesema uongozi wa klabu hiyo umeamua awe kocha mkuu hadi mwisho wa msimu.…

Chameleone Afuata Nyayo za Mondi

LICHA ya kwamba alitangulia kwenye gemu lakini anachokifanya kwa sasa ni kama staa wa muziki kutoka Uganda, Joseph Mayanja ‘Chameleone’ anamuiga staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa kuja na kituo cha televisheni.…