The House of Favourite Newspapers

Mayele: Hao Mtibwa Sugar Waje

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ameapa kuipambania Yanga katika mchezo unaofuata wa ligi kuudhidi ya Mtibwa Sugar kwa kuhakikisha timu hiyo inaibuka na ushindi wakiwa ugenini. Yanga katika mchezo huo, wanatarajiwa…

Mtibwa Yaahidi Kuitibulia Yanga

UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umebainisha kuwa, kikosi chao kipo tayari kuvunja rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo hata mmoja kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Februari 23, mwaka huu ambapo Mtibwa…

Mtibwa Waitaka Yanga Manungu

UONGOZI wa Klabu ya Mtibwa Sugar, umeweka wazi  kuwa, mchezo wao dhidi ya Yanga utafanyika Uwanja wa Manungu uliopo mkoani Morogoro na wala hawatauhamisha kwenda popote. Februari 23, mwaka huu, Mtibwa watakuwa wenyeji wa Yanga katika…

Yanga Yaitengea Mtibwa Siku 15

KIKOSI cha Yanga, kimeitengea Mtibwa Sugar siku 15 za kuhakikisha zinaibuka na ushindi katikamchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Februari 23, mwaka huu kwenye Uwanja wa Manungu,Morogoro. Yanga wametamba kuwamaliza Mtibwa…

Simba Yabanwa Na Mtibwa Manungu

Wekundu wa Misimbazi Simba leo Januari 22, imeshindwa kutamba mbele ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Manungu Turiani Morogoro. Mashabiki wa soka leo wameshindwa kupata burufani ya baada ya uwanja wa Manungu kujaa…

Omog Aomba Wiki Mbili Mtibwa

BAADA ya kuanza vibaya Ligi Kuu Bara msimu huu, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar raia wa Cameroon, Joseph Omog ameomba apatiwe muda wa wiki mbili ili kukinoa upya kikosi hicho na kuweka mambo sawa ili wafanye vizuri. Mtibwa Sugar tayari…

Omog Akwama Mtibwa Sugar

LICHA ya kutambulishwa rasmi kukinoa kikosi cha Mtibwa Sugar kwa msimu wa 2021/22, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog ameshindwa kuiongoza timu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Bara baada ya vibali vyake vya kazi kutokuwa sawa. Mtibwa…

Omog asaini miaka miwili Mtibwa

UONGOZI wa Klabu ya Mtibwa Sugar umempa mkataba wa miaka miwili kocha Joseph Omong kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho katika msimu mpya wa 2021/22. Omog, mwenye uraia wa Cameroon, ametua kikosini hapo kwa ajili ya kuchukua mikoba ya…

Omog Atajwa Mtibwa Sugar

BAADA ya aliyetarajiwa kuwa Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Hitimana Thierry kutimkia Simba, inatajwa kuwa uongozi wa timu hiyo upo kwenye mazungumzo na aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog. Omog aliwahi kuzinoa timu…

Mtibwa Yaichapa Bao Moja KMC

KIKOSI cha Mtibwa Sugar leo Desemba 11 kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Bao pekee la ushindi limepachikwa na Salum Kihimbwa dakika ya 21 kwa…

Azam Wachezea Kichapo Mbele Ya Mtibwa

Azam Fc baada ya kuanza vizuri kwa kushinda mechi zote saba za ligi kuu bara, leo matajiri hao wa jiji la Dar es salaam, wamepoteza mchezo wao ugenini dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa bao 1-0. …