Kuwatimua TBC! Wanahabari Wamtaka Mbowe Kuomba Radhi
CHAMA cha waandishi wa habari Dar es Salaam (DCPC) kimetoa taarifa inayomtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuomba radhi kwa kitendo chake cha kuwaamrisha wanahabari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka…