×

Global TV Online

Ufaransa Yajibu Iran Yawafukuza Wanadiplomasia Wawili – Video

Ufaransa imetangaza kuwa itawafukuza wanadiplomasia wawili wa Iran kutoka nchini humo katika siku zijazo, hatua inayoongeza mvutano wa kidiplomasia kati...

READ MORE

Video: Shigongo Aishukuru Serikali kwa Ujenzi wa Shule Mpya Mizororo

BUCHOSA: Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameishukuru Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa...

READ MORE

Tetesi za Penzi! Pinela Afunguka Uhusiano Wake na Vunjabei – Video

Mwanadada maarufu mitandaoni, Pinela Justine, amefunguka kuhusu tetesi zinazomhusisha na mfanyabiashara maarufu Bongo, Fred Vunjabei, akikanusha kuwa wawili hao wana...

READ MORE

Sefu Musa Afariki, Vijana wa Arusha Watoa Ya Moyoni Kuhusu Madai ya Kuteswa – Video

Vijana kutoka Arusha wameeleza masikitiko na hasira kufuatia kifo cha mwenzao, Sefu Musa, ambaye amefariki dunia katika mazingira yanayodaiwa kuhusisha...

READ MORE

Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaahirishwa Baada ya Shahidi wa 18 Kupata Dharura ya Kiafya – Video

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeshindwa kuendelea leo Ijumaa, Agosti 14,...

READ MORE

TEC Yafunguka Kuhusu Kikao na Rais Samia, Yatoa Ushauri wa Kuponya Nchi – Video

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limesema lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....

READ MORE

Mamilioni Wajitokeza Kushuhudia Maajabu ya Kupatwa kwa Jua – Picha

MADRID, Hispania — Mamilioni ya watu katika maeneo mbalimbali ya Dunia walielekeza macho yao angani Jumatano, Agosti 12, 2026, kushuhudia...

READ MORE

Video: Jamhuri Yaomba Ahirisho, Kesi ya Lissu Yahairishwa Hadi Kesho

Kesi inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa hadi kesho, Alhamisi Agosti 13, 2026 baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kwa...

READ MORE

Lissu Aibua Maswali Kuhusu Ushahidi wa Video Katika Kesi ya Uhaini- Video

IKIWA ni mwendelezo wa maswali ya dodoso kwa ACP Amini Mahamba, shahidi wa 16 katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti...

READ MORE

Makamu Wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Kikwete (Picha +Video)

DAR ES SALAAM: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 10, 2026,...

READ MORE

Viongozi Wa Chadema, TLS Na ACT Wafika Mahakamani Kufuatilia Kesi Ya Lissu – Video

DAR ES SALAAM: Viongozi na baadhi ya wadau wa siasa na sheria leo Agosti 10, 2026 wamefika katika Mahakama Kuu,...

READ MORE

Mama Wema Awaonya Wazushi wa Mtoto wa Mwanaye “Acheni Kumwandama Mwanangu” – Video

Mama mzazi wa staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amefunguka kuhusu tuhuma zinazoenezwa mitandaoni zinazodai kuwa mtoto wa mwanaye si...

READ MORE

Jinsi ya Kusikia Sauti Halisi ya Video za YouTube Badala ya Tafsiri ya AI

YouTube imeanza kutumia teknolojia ya kutafsiri sauti kwa kutumia Akili Bandia (AI Dubbing) kwenye baadhi ya video, hali inayowafanya baadhi...

READ MORE

Twanga Pepeta Yatikisa Mlimani City, Asha Baraka Atoa Zawadi ya Vyombo Vipya – Video

Mwenyekiti wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka, ametoa zawadi ya vyombo vipya vya muziki kwa...

READ MORE

Rais Samia Azindua BRT Awamu ya Pili, Safari Gerezani–Mbagala Yaanza (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 7, 2026, amezindua rasmi Mradi wa Mabasi...

READ MORE

Rais Samia Azindua Tume Maalum Kuchunguza Ghasia za Uchaguzi 2025 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua Tume ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji...

READ MORE

Kikwete Atoa Tahadhari Afrika, Asema Elimu ya Kidijitali Ni Muhimu kwa Vijana – Video

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amezitaka nchi za Afrika kuongeza uwekezaji katika elimu na maendeleo...

READ MORE

Polisi Wavunja Ukimya Kuhusu Sanduku Lililotelekezwa Mwenge – Video

Jeshi la Polisi limetoa tamko kuhusu sanduku lililokutwa limefungwa kwa kufuli na kutelekezwa katika eneo la Mwenge jijini Dar es...

READ MORE

Video: Chalamila Aagiza Uzio wa Ghorofa Masaki Ubomolewe Papohapo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, leo Agosti 6, 2026, ameagiza kubomolewa mara moja kwa uzio uliokuwa...

READ MORE

Taharuki Yatanda Mwenge Baada ya Boksi Lisilojulikana Kukutwa Kituo cha Mabasi – Video

Taharuki imezuka katika Kituo cha Mabasi ya kwenda Tegeta kilichopo eneo la Mwenge, Dar es Salaam, baada ya boksi ambalo...

READ MORE

Barker Afunguka Baada ya Simba Kutua Nchini, Atuma Ujumbe kwa Mashabiki – Video

Kikosi cha Simba SC, leo Agosti 5, 2026, kimerejea nchini kikitokea Kigali, Rwanda, kilikoshiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup pamoja...

READ MORE

Rais Samia Aeleza Umuhimu wa Nishati Safi katika Ukuaji wa Uchumi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema upatikanaji wa nishati safi na ya uhakika ni...

READ MORE

A – Z: Biashara Ya Mafuta Ya Magendo Inavyofanyika Tanzania, Bandari Bubu Hatari Zatajwa – Video

Uchunguzi uliofanywa na Global TV kupitia makala yake maalum umeweka wazi ukweli unaoshtua kuhusu biashara ya mafuta ya kula ya...

READ MORE

Mtu wa Karibu na Wema Ajibu Madai ya Ujauzito wa AI – Video

Baada ya kuzagaa kwa mijadala mitandaoni inayowalinganisha Wema na Zuchu kabla na baada ya kujifungua, huku baadhi ya watu wakidai...

READ MORE

Shalulile: Kuondoka Mamelodi ni kama Ronaldo Alivyoondoka Real Madrid – Video

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Peter Shalulile, amesema uamuzi wake wa kuondoka Mamelodi Sundowns na kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania...

READ MORE

Rais Samia: Serikali Haitatoa Ruzuku kwa Sekta ya Madini, Amani Ni Msingi wa Dira 2050 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali haitatoa ruzuku kwa sekta ya madini kwa...

READ MORE

Mnyika: Afya ya Lissu Gerezani Siyo Nzuri, Awaomba Watanzania Kumuombea – Video

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Iran Yafichua Sababu ya Kutotoa Sauti ya Kiongozi Wao Mojtaba Khamenei – Video

Gazeti la Hamshahri, linalomilikiwa na Manispaa ya Tehran, limedai kuwa sababu ya kutotolewa kwa sauti ya Kiongozi mpya wa Jamhuri...

READ MORE

Video: Yanga Wamchagua Tena Hersi Said, Arafat Haji Abaki Makamu wa Rais

Wanachama wa Yanga leo Agosti 2, 2026 wamewapitisha Eng. Hersi Said kuwa Rais na Arafat Haji kuwa Makamu wa Rais...

READ MORE

Nyumba ya Mwijaku Yazua Mjadala, Global TV Yafika Eneo la Tukio, Mlinzi na Mjumbe Wafunguka – Video

Taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa nyumba ya msanii na mtangazaji Mwijaku imezungushiwa utepe zimeibua mjadala mkubwa miongoni...

READ MORE

Mambo 7 Usiyoyajua Kuhusu Robert Mugabe, Rais Aliyeitawala Zimbabwe Kwa Miaka 37 – Video

 Msomaji wetu, tunatumaini unaendelea vizuri. Leo tumekusogezea mambo saba huenda ambayo hukuyajua kuhusu marehemu Robert Mugabe, mwanasiasa aliyekuwa Rais...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lafuta Zuio la Mikutano ya Hadhara, Latoa Masharti ya Kufuata – Video

Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuondoa zuio la mikutano ya hadhara lililokuwa limewekwa awali, likisema hali ya usalama nchini kwa...

READ MORE

CCM Yamteua Aggrey Mwanri Kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara – Video

Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Mbunge wa zamani...

READ MORE

Video: Waziri wa Ulinzi wa Israel Atoa Kauli Nzito Kuhusu Mashambulizi ya Iran

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema ndege za kijeshi za Marekani zilitumia baadhi ya vituo vya kijeshi vya...

READ MORE

Mwanasheria Atoa Ufafanuzi Kuhusu Sheria ya Ugaidi Nchini – Video

Mwanasheria Nathaniel Samson amesema sheria ya ugaidi nchini Tanzania si jambo jipya, bali imekuwepo kwa muda mrefu kwa mujibu wa...

READ MORE

Video: Dkt. Nshala Ahoji Kesi ya Ugaidi, Asema Inachafua Taswira ya Tanzania

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema chama hicho kina wasiwasi na matumizi ya...

READ MORE

Moto Wateketeza Madarasa na Mabweni ya Shule ya Bigwa Sisters Morogoro – Video

Moto mkubwa umezuka katika Shule ya Sekondari Bigwa Sisters, iliyopo Manispaa ya Morogoro, na kuteketeza baadhi ya madarasa, mabweni pamoja...

READ MORE

Video: Majaliwa Amtembelea Mkubwa Fella, Amkabidhi Msaada wa Milioni 20

Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, Julai 25, 2026 amefika nyumbani kwa mdau wa muziki na mlezi wa vipaji nchini, Said...

READ MORE

Video: Dkt. Nchimbi Awataka Watanzania Kuweka Nguvu Kwenye Katiba Mpya

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa Katiba ndiyo sheria kuu ya...

READ MORE

Video: Ajali Moro Yaua Watu Wawili, Lori Zagongana, Moja Yawaka Moto

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia Julai 24, 2026, katika...

READ MORE