×

Global TV Online

Israel Yasema Khamenei Ameuawa Katika Shambulio Kwenye Makazi Yake

Israel imetangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, katika shambulio kubwa la kijeshi lililofanywa asubuhi hii, ambalo...

READ MORE

Makamu wa Rais Amwakilisha Rais Samia Mazishi ya Kardinali Pengo Pugu Dar (Picha +Video)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Ashiriki mazishi ya Kardinali Pengo Pugu Dar (Picha +Video)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Februari 28, 2026 ameshiriki mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar...

READ MORE

Israel Yaishambulia Iran Kwa Makombora Mazito – Video

Israel imeanzisha mfululizo wa mashambulizi ya makombora dhidi ya Iran mapema leo Jumamosi asubuhi, kufuatia wiki kadhaa za mvutano mkali...

READ MORE

Mamia Washiriki Misa ya Mazishi ya Kardinali Pengo Pugu, Dar – Live

Mamia ya waombolezaji wamejitokeza asubuhi hii kushiriki Misa ya mazishi ya Kardinali Pengo katika eneo la Kituo cha Hija, Pugu,...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Ashiriki Ibada Ya Kuaga Mwili Wa Kardinali Pengo (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Askofu...

READ MORE

Askofu Mkuu Ruwa’ichi Aongoza Ibada ya Mwisho Kuaga Mwili Kardinali Pengo – (Picha+Video)

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi OFMCap, akishirikiana na Askofu Msaidizi Henry Mchamungu, leo...

READ MORE

Msanii Janka Rino Afariki Dunia Kwa Kifua Kikuu – Video

Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva na mwanzilishi wa kundi la LWP Majitu, pamoja na kuwa sehemu ya kundi la Maingizo...

READ MORE

Mwili Kardinali Pengo Ulivyowasili Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – (Video +Video)

Mwili wa Marehemu Mwadhama Polycarp Pengo ulivyowasili katika viunga vya Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – Jimbo Kuu la Dar...

READ MORE

Saleh Aipa Moyo Simba Kabla ya Dabi ya Kariakoo ‘Wajiamini’ – Video

Mchambuzi nguli wa soka nchini, Saleh Jembe, amesisitiza kuwa hakuna sababu kwa Simba kuiogopa Yanga Machi 01, 2026 katika dimba...

READ MORE

Muinjilisti Mtoto Edwin Asimulia Alivyokamatwa Akiwa Anahubiri Stendi – Video

Muinjilisti Mtoto, Edwin Msigwa amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Global TV na kueleza kuwa aliwahi kukamatwa na Jeshi la...

READ MORE

Aliyekuwa Anawauza Wakenya Kujiunga Na Jeshi Urusi Akamatwa

Idara ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imemkamata mshukiwa mmoja anayedaiwa kuhusika katika mtandao wa kuwarubuni raia...

READ MORE

Msingwa: Hatutavumilia Matumizi Mabaya ya Usajili wa Meli – Video

Serikali imethibitisha kuwa meli iliyokamatwa nchini El Salvador ilikuwa imesajiliwa Tanzania kupitia upande wa Zanzibar, huku ikieleza kuwa tayari hatua...

READ MORE

Video: Polisi Kuhusu Mwenyekiti BAVICHA Kupotea – ”Amekimbia Kesi ya Mauaji”

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa ufafanuzi rasmi kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa watuhumiwa wanne,...

READ MORE

Kafulila – ”Kardinali Pengo Aliamini Umoja wa Kitaifa Bila Kujali Upepo wa Kisiasa”

Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa...

READ MORE

Video: Serikali Ya Tanzania Yajibu Meli Iliyokamatwa Na Dawa Za Kulevya El Salvador

Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amezungumzia tukio la kukamatwa kwa meli ya FMS Eagle katika nchi ya El Salvador, baada...

READ MORE

Video: Maryam Bint Amran Foundation, Global Publishers Wazigusa Familia Zenye Uhitaji

Mkurugenzi wa Global Publishers na Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amekabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo vya...

READ MORE

Video: Magari Yagongana Uso kwa Uso Na Kuwaka Moto, Mmoja Afariki

Mtu mmoja amefariki dunia na watu wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili ya kubeba mizigo kugongana uso kwa uso na...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Mwigulu – ”Mtauana Bure Ardhi Haiongezeki”

Leo Februari 26, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Manyara, wilayani Kiteto, ambako amewahutubia...

READ MORE

Kifo cha Baba Kimeacha Pengo Kwa Mtoto Mlemavu, Mama Afunguka – Video

Ni siku ya pili sasa tangu kufanyika kwa mazishi ya marehemu Yohana Kamingwe, baba mzazi wa mtoto Gidion mwenye ulemavu...

READ MORE

Video: Ajali Ya Lori La Mafuta Na Mbao Yaua Watu Watatu Morogoro

Watu watatu ambao majina yao bado hayajatambuliwa wamefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha magari mawili ya mizigo yaliyogongana...

READ MORE

Wizara ya Afya Yatoa Tahadhari Ongezeko la Influenza, UVIKO-19, Dengue na Kipindupindu – Video

WIZARA ya Afya imetoa taarifa kwa umma kuhusu mwenendo wa magonjwa ya mlipuko nchini, ikiwemo mafua makali ya Influenza, UVIKO-19,...

READ MORE

Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali Dhidi ya Uhalifu Dar, Ajibu Kuhusu Alipo Mafwele – Video

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia vitendo vya kihalifu ndani ya...

READ MORE

Dkt. Samia Afyatua Bastola Kuzindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo Dodoma – Video

 Dodoma, Februari 24, 2026 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE

Waziri wa Ulinzi Afunguka Walivyomnasa El Mencho Kupitia Mwanamke – Video

 Taarifa kubwa duniani kwa sasa ni kifo cha Kiongozi wa kundi la madawa ya kulevya Jalisco New Generation Cartel (CJNG),...

READ MORE

Video: Rais Samia Azindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, tarehe 24 Februari 2026 amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi...

READ MORE

Mufti Aomboleza Kifo cha Kardinali Pengo Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph – Video

Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally, leo Februari 23, 2026 amefika katika Kanisa Kuu...

READ MORE

Video: Ajali Kubwa Kwa Idd, Arumeru: Basi la Dar Express Lagongwa na Daladala

Ajali mbaya imeripotiwa katika eneo la Kwa Idd, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, baada ya basi la kampuni ya Dar Express...

READ MORE

Donald Trump Ahoji Kwa nini Iran Bado Haijakubali Masharti, Atoa Siku 10 – Video

Rais wa Marekani Donald Trump amehoji kwa nini Iran bado haijakubali masharti ya makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia, licha...

READ MORE

Video: Trafiki Akipigana Na Dereva, Polisi Watoa Ufafanuzi

Dodoma, Tanzania – Jeshi la Polisi nchini limezungumzia picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikionyesha tukio la askari wa polisi...

READ MORE

Video: Kishandu Anusurika Kuuawa Arusha, Pikipiki Yachomwa Moto

Ni mtiti! Mtu mmoja ambaye bado hajafahamika jina, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali huku pikipiki yake ikichomwa moto,...

READ MORE

Tazama Ujasiri wa Binti wa Kilimanjaro Girls Mbele ya Waziri Mkuu – Video

Binti mmoja wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kilimanjaro ameonyesha ujasiri mkubwa alipata nafasi ya kuzungumza hadharani mbele ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Awasisitiza Wanafunzi Kusoma Kwa Bidii Kilimanjaro Girls

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wanafunzi wanaosoma shule ya sekondari ya wasichana ya mkoa wa Kilimanjaro wasome kwa bidii...

READ MORE

Radi Yaua Watu Watatu Wakivuna Mahindi, Mbeya – Video

Watu watatu wakazi wa Kitongoji cha Goye, Kijiji cha Goye, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, wamefariki dunia...

READ MORE

Historia ya Maisha ya Kardinali Pengo: Utoto, Mafunzo na Uongozi wa Kiroho – Video

Dar es Salaam, Tanzania – Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Cardinal Pengo, amefariki dunia...

READ MORE

Mazishi ya Abdilah Mussa ‘Banjoo’ Yafanyika Sanawali, Arusha – Video

Arusha, Tanzania – Mwili wa mfanyabiashara wa madini, Abdilah Mussa, maarufu Banjoo, umezikwa nyumbani kwake, Sanawali, mkoani Arusha. Waombolezaji wakiwemo...

READ MORE

Rais Samia Aomboleza Kifo cha Kardinali Pengo

  Rais Samia Suluhu Hassan ameomboleza kifo cha Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar...

READ MORE

Jamaa Ambananisha Chalamila Sakata La Mgogoro Mabibo – Video

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

READ MORE

Ramadhan 2026 Yaanza Rasmi Tanzania Baada ya Kuandama kwa Mwezi – Video

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amethibitisha taarifa ya kuandama kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Amewaambia waandishi wa habari mkoani...

READ MORE

TRA Yafungua Kituo Kipya cha Huduma Masaki Kusogeza Kodi Karibu na Wananchi – Video

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefungua kituo kipya cha huduma katika eneo la Masaki, jijini Dar es Salaam, kilicho chini...

READ MORE